Friday 24 May 2013

Re: [wanabidii] RE: Dr Kingwangallah hii imekaaje?

Hayo yote ni ya uongo, nimeshauriwa na wanasheria wangu nitoe tamko lenye maelezo sahihi wakati wakitafuta namna ya kuchukua hatua za kisheria! Hivyo bado natafakari ushauri wa hatua sahihi za kuchukua.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: "ELISA MUHINGO" <elisamuhingo@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 24 May 2013 04:19:27
To: <chipalazya@yahoo.com>; <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: Dr Kingwangallah hii imekaaje?

Alexander huu mjadala ulikwa wapi Bungeni? Naogopa kufikiri tumefikia hapo. Dalili za kuwa kuna uchochezi zilikuwa wazi. Jingine lililokuwa wazi sikuhisi ushiriki wa siasa za vyama vya siasa. Nilihisi ni 'vita baridi' kati ya China na nchi za magharibi. Pamoja na mjadala huu wazo langu lazima lifanyiwe kazi kwanza. Lakini sura ya maneno ya Hawa naweza kuleta wazo la ajabu. Kuwa maadui wa Membe wanaweza kulipanga na likatosha kumchafulia. Hii ikiwa na chembe ya ukweli dawa itakuwa kukiondoa CCM kwanza kikajikarabati na kuondoa kirusi cha makundi.

----------
Sent from my Nokia Phone

------Original message------
From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, May 23, 2013 5:20:05 PM GMT-0700
Subject: [wanabidii] RE: Dr Kingwangallah hii imekaaje?

Dr. Hii habari imekaaje? imejadiliwa sana Jamii Forum unaweza kutusaidia kutupa maelezo.

REF: Wabunge wa CCM
wamemrarua waziri wa mambo ya nje Bernard membe kuwa ni kinara wa Fujo na vurugu
zinazoendelea mtwara, wa Kwanza
kuchangia alikuwa ni mbunge wa newala ,alisema membe ni mtu hatari na ni kirusi
Ndani ya chama kwani anamtumia mbunge mtwara mjini murji na misikiti kumchafua
waziri wa serekali za mitaa Hawa Ghasia, Baada ya munde alifuata Hawa Ghasia
ambaye naye alimshtutumu Membe kuwa anamfitini kwa kumtumia murji ,na murji
kupiga misikiti anaendesha mkakati kupitia misikiti ,''vurugu za mwezi January
nyumba yangu pamoja na ya Mhe Anna Abdala zilichomwa moto Mhe mwenyekiti Jana
tena wamechoma nyumba yangu na ofisi za chama moto nimefanya utafiti nimegundua
ni waziri mwanzagu ndie anaenifitini kwa wananchi wa mtwara hii ni hatari sana
kwa mustakabali wa chama na Taifa kwa Ujumla'

Waziri Ghasia alienda mbali zaidi kwa Kusema Kama investment
membe anazo za kutosha mtwara lakini hazichomwi wala hazirushiwi mawe,hii
inasikitisha ,Wakati Huo Huo mbunge wa nzega Dk kigwangallah
ameitaka serekali imuondoe mkuu wa mkoa wa mtwara Simbakali kwakuwa Hana
mahusiano mazuri na mashekhe na ili mkoa Huo utulie aondolewe mkotoliki apelekwe
muislamu.

Alexander

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment