Thursday 2 May 2013

Re: [wanabidii] Re: AIBUUU.... PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA

Isack
 
Mimi nakuunga mkono kabisa kuwa sio vizuri watu kufanya umalaya. Wawe wameoa au kuolewa au hata wakiwa single, umalaya ni umalaya tu, period!
 
Ila ujinga mwingine sasa ni huo wa kusema umtoe mtu jicho kwa ajili ya uke au uume! Samahani lakini sioni kama kuna ujinga wa mwisho kama huo. Utawatoa macho wangapi, utawaua wangapi? Msiruhusu wake zenu au waume zenu wawageuze kuwa wauaji au watesaji. Mke wako akichukuliwa na jamaa ujue kuna makubaliano kati yao. Inauma lakini kutumia msemo wa Ndugai; kama mkeo au mumeo ANAWASHWAWASHWA achana naye, ndoa sio ndoana!!!!!
 
Narudia tena, unless mkeo kabakwa, kufanya ukatili kwa ajili ya uke au uume ni UJINGA!!!!

2013/5/2 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
KIWASILA,
 
 Mimi nimekuelewa, cha msingi wanaume punguzeni uzinzi, mnakimbia na wanawake za watu wanini? hata kama ni mtego inakuwaje unamuona mwanamke tena pengine wa rafiki yako anajirahisisha kwako hujiulizi hata kidogo we unaona zari la mentari na wewe unajirahisisha matokeo yake ndo hivyo unashikwa ugoni na meno unag"olewa! mbona mabinti ni wengi wako single tena unakuwa huna wasiwasi wa kufumaniwa!! tunapeenda vya dezo na vya rahisi kuchukuwa wake za watu, hebu wewe chukuliwa wa kwako uone mke anavyouma!
  
 KWANGU MIMI mwanaume anaejifanya kidume kwa wake za wenzake hata akigolewa macho thats fine! we fikiria unaweza kujenga gorofa ukampa kaka au mdogo wako akae lakini hata siku moja huwezi kumgawia mkeo akalale nae hata siku moja, acha siku hata dakika tu huwezi! Acheni wake za watu hata kama wakijirahisisha kimbieni hiyo ni hatali usidhani unafanya siri penzi ni kikohozi huwezi kulificha utakohoa tu! mwenye mke atagundua na za mwizi ni arobaini, MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.

2013/5/2 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Ninapenda sana mapari hasa wa dini ya kikristu zisizowaruhusu waoe-waoe. Kwanza- mwanaume asiyerijali haruhusiwi kuingia upadri ili aweze kumudu kuhimili  vishawishi. Lakini kwa sasa dunia imebadilika. Vishawishi ni vingi kwa Binadamu. wakiruhusiwa kuoa-itaondosha matatizo yaliyokuwa yanatokea na watoto wadogo na hii ya kufumaniwa na wake za watu, etc.

Biblia ni kitabu cha Mungu lakini Ulaya na marekani wameruhusu na kutambua ndoa za ushoga. Sisi tuachane na hayo pamoja kuwa ushoga na usagaji umeshamiri nchini-TUTAMBUE MAPADRI KUOA. Tukitambua hii Masista nao wataomba kuolewa. Unaweza kumcha Mungu hata ukiwa umeoa na ni mlokole, padri au sister. Kwani, mbona kuna watu wengi waliooa wange wengi ambapo ni wahuni pia hawatosheki kutokana na kujiendekeza na ngono? Pamoja na kuwepo HIV-mtu anajifanya hawezi kulala bila ya hiyo kitu ana vimada na huku ana wake zaidi ya 2. wapo wale ambao anatoka chumba cha mkewe anambaka mtoto wake mdogo chumba cha pili au housegirl.

Kuna haja pia ya kuwapa vijana mafunzo ya MAGOBE hapa chini kuhusu kujitambua, kujithamini, tujitunza, kuwa na malengo ya maisha na kujituma. Sex sio maisha. hii inawachanganya wanafunzi ambao huishia lodging, kuacha masomo akajikuta kadanganjwa na hata pale alipokuwa akipelekwa na bwana huyo kumbe sio nyumbani kwake kwa kumpata hana. Starehe ya sekunde chache sio maisha. Watu wawe na malengo na kuridhika na mmoja aliyemchagua. Hakuna mapendo sawa kwa mtu zaidi ya mmoja. Pia, ni kuharakisha maradhi ya kuambukiza hata kama si HIV yapo mengi hata kansa za aina mbalimbali.

Kuna haja ya wanaume kujua kuwa-kuna wanawake au wasichana wanatumika kumuaibisha mtu kutokana na chuki binafsi za audui. Kama anakuchukia kutokana na ushindani kibiashara, au vyovyote vile kwa vile una msimamo kikazi mlipo anakusukumizia msichana/mwanamke na fumanizi inapangwa. Mwanamke atakufuata mpaka unasema ngoja nifanyekitu sasa too much kujileta. Hapo mtandao unakula kazi unafumaniwa, unatoka gazetini wameandaa, unapigwa picha zinawekwa mtandaoni, anakuja na timu ya wajaza misuri wanakufanyia uchafu (sodomy) na kukupiga picha. Ukitaka picha zisitoke gazetini au mitandaoni wanasema uwape mamilioni ya pesa na kila wakati wanakutishia ili utoe hela. maisha yako yanakuwa duni na unaomba ufe. Kama si Padri unahama mji na biashara zako au unakimbia familia unatokomea. Tabia hii tulisimuliwa ktk tafiti mijini ushindani wa biashara au kugombania/kushindania wanawake. Kumuaibisha Padri inaweza kuwa pia ILIPANGWA. Upo mkoa mmoja kusini masuala haya ya kufumania na kutoa hela ni sehemu ya culture mama anatumwa kisha unalipa hela wanapata hela ya matumizi.

Utashangaa pia mtu anafuma message ya mapenzi ktk SM kisha anamwambia-tupange mpango niwafumanie kama unataka mimi na wewe tudumu ktk ndoa ama sivyo ondoka. Kisha mpango unafanyika wanakwenda na media, police wanafumaniwa, bwana anapigwa na kutumbukizwa bisibisi matakoni, anang'olewa meno na kufikishwa police. Yote hayo ya kipigo etc police yupo kisha wanafungiwa chumba tofauti police kesho wanaambiwa-wakayamalize kifamilia nje ya mahakama (Soma Risasi Newspaper front page an page 2 la 1-3 May, 2013). Huyu baba tony aliyefumania na mke wa rafikie ana ofisi ya Uhandisi. Unajiuliza-mbona mke hakupigwa. Alijua kaolewa kwa nini alikubali kushawishiwa? Je, kosa ni la mmoja tu? unapomfumania unampiga mwanaume tu? ujinga gani huu?  Pengine mkeo ndio alikuwa kishawishi mkubwa vipi adhabu ya Mwanaume Padri au Si Padri. Ipo namna pande zote 2 ziadhibiwe au ziache kuadhibiwa. Tuache ujinga na kuoneana

--- On Mon, 29/4/13, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>

Subject: Re: [wanabidii] Re: AIBUUU.... PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 29 April, 2013, 18:09

1. Nijuavyo mimi wanaokuwa mapadri hawalazimishwi - wanachagua
wenyewe. Kwani ni lazima uwe padri - si kuna utume wa aina nyingi?
2. Anna Nyanga - kuna colleague mmoja aliniambia kwamba hatosheki na
mke mmoja - yaani, akifanya mapenzi anadai akimaliza kwa mke mmoja
anahamia kwa mwingine. Yeye ana wake wawili. Kuna muda alienda
Marekani na akakaa miezi miwili. Nilimwuliza kama alifanya mapenzi kwa
muda huo akasema hapana. Si walau angebaka? Yaani, mwamume akae miezi
miwili bila ngono, ni mwanamume gani huyo? Nilimwuliza na mwanamke
asiyetosheka na mume mmoja wewe ungeshauri afanye nini, aolewe na
wanaume wawili? Au akimaliza kufanya ngono na huyu aende kujiiba
kwingine? Kama jibu ni ndiyo ni sawa. Kama siyo, ina maana katika kila
jambo lazima tuweze kufanya sacrifice/kujikatalia/kujizuia... Hii
ndiyo itakayotufanya tuishi kama watu - yaani hatutawaliwi na tamaa
bali tunazielekeza tamaa zetu. Mfano, kama uko kanisani/msikitini na
ukaingiwa na tamaa ya kufanya ngono si lazima uifanye muda huo.
Unaweza kusubiri na unaweza pia kutofanya kabisa kwa siku hiyo.
3. Mimi siamini kwamba suluhisho la mapadri ni kuoa. Na tutasemaje kwa
vijana ambao hawataki kuoa? Utawalazimisha? Utasemaje kwa wanawake
ambao hawataki kuolewa? Utawalazimisha?
4. Pia kuoa si automatic - ni mpaka umpate mtu ambaye amekubali
kuolewa na au kukuoa wewe. Ninakaa karibu na familia 2 - mwanzoni hizi
familia waliishi katika ndoa. Sasa hivi they just share the same roof
(familia x mume na mke wanalala kila mmoja chumba chake na familia y
pia). Hawana tena anything in common even salamu tu hamna. Hapa
mtasemaje kama ndoa ndiyo suluhisho?
5. Mimi nadhani uhalisia siyo kwamba mtu aoe basi - uhalisia wa ndoa
ni kujaribu kuishi kama wanandoa - kuvumiliana, kuheshimiana,
kupendana.
6. Wanandoa wengi wanaingia maisha haya kwa ajili ya kitu kimoja tu -
ngono. Baadaye wanagundua ngono ni sehemu tu na siyo ndoa yenyewe.
katika maisha ya mume na mke unakuta ngono inachukua muda mchache tu
kuliko ilivyo kwa mambo mengine. Labda kama watu wangekuwa wanafanya
ngono all the time (non-stop) hapo ndipo ingetolewa hoja kwamba kumbe
ngono ndiyo suluhisho la celibates ambao wanavunja viapo vyao. Lakini
Anna hebu niulize - suluhisho kwa mtu aliyeoa au kuolewa na ambaye si
mwaminifu katika ndoa ni nini?
7. Bahati, ni kweli kwa upande huo ambao ulitegemea pia tujadili
lakini hatujafanya. Kuna fr mmoja rafiki yangu anafanya kazi Zambia.
Alikuja likizo na kukaribishwa na mama fulani nyumbani maana ni family
friend. Basi akaenda kuwatembelea na mume wake hakuwepo lakini fr
alienda akidhani ni lazima atakuwepo. Basi wakaongea na fr alipotaka
kuondoka yule mwumini alimwuliza kwa nini arudi muda ule maana "mume
wake hayupo ameenda Arusha na atarudi kesho kutwa?"
8. Fr kusoma hali hiyo, akasema anaondoka maana kesho yake anaondoka
na ndege ya asubuhi sana na kwa hiyo bado atakuwa na mazungumzo na
superior wake usiku. Na pia fr aliona ni hatari kuendelea kukaa wakati
mume mtu hayupo maana kunaweza kujenga taswira mbaya. Hivyo, fr
alikomaa na kuondoka na alikuwa akinisimulia: "Tunakumbana na
vishawishi vya kila aina na usipokuwa na msimamo unaweza kujikuta
unafanya ngono kila siku maana wanaotegemea uwe mpenzi wao ni wengi na
kuna viashiria vya kila aina. Wengine ukiwasalimia wanakutekenya
kwenye kiganja cha mkono kama seduction."

On 4/29/13, salum mkango <salumkango@yahoo.com> wrote:
>
> Dada Anna unanifurahisha sana kwa jinsi unavyoweka mambo hadharani. Nilikuwa
> na mawazo kama yako lakini nikasita kuyatoa mapema kwa kuchelea kuambiwa
> kuwa naingilia utaratibu wa dini ya watu wengine wakati mimi siko huko.
> Kumbe hata wewe umeliona hilo eeeh?
>
> Tusidanganyane. Kwa jinsi mapadri wanavyohudumiwa na Kanisa, wanakuwa full
> energetic. Sasa kuwazuia ile kitu yetu ni kuwaweka katika nafasi ngumu kama
> binadamu wa kawaida. Ni kweli kuwa wameingia wenyewe katika mfumo huo wa
> maisha bila kulazimishwa na mtu lkn tukumbuke wao ni binadamu wa kawaida
> hatuwezi kuwafananisha na Yesu.
>
> Kwangu mimi naona ili umshukuru mungu vizuri na umhubiri kwa nguvu zote ni
> lazima ufahamu uzuri wa uumbaji wake. Kuoa ni moja kati ya Natural Law
> aliyoiweka mungu kwa wanadamu wake ili wapate kufahamu uumbaji wa mungu na
> kumtukuza na kumshuku.
>
> Ni wazo tu ndugu zangu. Siingilii utaratibu wa wengine.
>
>
> ________________________________
>  From: anna nyanga <luguanna@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Monday, April 29, 2013 7:32 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Re: AIBUUU.... PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI
> AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA
>
>
>
> Jamani, tujaribu kuwa wakweli kwa mwenyezi mungu. Mbaba anaekula vizuri na
> kushiba kujizuia
> kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
>
> Wakati walioa tu hawashikiki nao wanafumaniwa! kila leo
>
> Hivi kwanini wasiruhusiwe nao wakaoa, badala ya kusema wanaishi kama Yesu
> kristo!
>  badala ya kumdanganya mwenyezi mungu.
>
> Nawaza kwanguvu tu ndugu zangu!
>
>
> ________________________________
>  From: Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Monday, April 29, 2013 5:16 PM
> Subject: [wanabidii] Re: AIBUUU.... PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI
> AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA
>
>
>
> Mhhhmmmm makubwa haya...!!!HATARI PIA.Ila nafikiri tusiwe na majibu mepesi
> kwa sababu ya chuki binafsi au kwa sababu wa wivu utokanao na Libido
> zetu!!!!!!Ni muhimu kufahamu kuwa kuwa kuzini ni kosa kwa kila aliye na
> kiapo kiwe cha useja au ndoa!Je,kama Padili huyo amezini,jabu tuseme aoe kwa
> sababu amezini kwa kuwa hana mwenza!!!Je,na mwanamke huyo ambaye ana
> mme,watoto na anatimiza haja za ashiki zake kwa mmwe naye afanyeje?Je, shida
> yake kweli ilikuwa nini?Kwa hiyo kuanzia sasa,watu waache kuoa maana shida
> ya asiye na mke au mme,aoe atimize nyege zake,Je shida ya waliioa wao
> tuwaweke wapi?
> Kwa dunia ya leo,wafumaniwa watakuwa wengi maana na hili wimbi la Ma-single
> mama Mhmmm na Mabachela wa kujitakia....tusubiri mengi hadi mtu KUIAGA
> DUNIA!!
>
> On Monday, April 29, 2013 7:07:52 AM UTC-5, richard bahati
>  wrote:
>
>>
>>Nimeshindwa kuiweka hii story katika blogu yangu kwa kuwa ninaamini
>> aliyofundisha St. Francis na ningependa na
> wewe usome na pengine uamini kama mimi. Watumishi wa Mungu ni wa kuombea kwa
> kuwa wanakutana na vishawishi vingi sana na pengine kwa nguvu zao
> wenyewe si wote wanaweza kutimiza yote yanayoagizwa juu yao. Ni kama
> askari walio mstari wa mbele vitani, wanaonekana haraka na kwa kuwa ni
> hatari zaidi kwa adui (shetani) wanakuwa kwenye nafasi ya kushambuliwa
> zaidi kuliko wengine. Hata hivyo hiyo sio kisingizio cha kutimiza ahadi
> zao, bado wana option ya kuamua kama Mtume Paulo alivyosema, anayeweza
> kuishi kama mimi na aishi, na asiyeweza basi na aoe.
>> Now to the unmarried and the widows I say: It is good
> for them to stay unmarried, as I do. But if they cannot control
> themselves, they should marry (1 Corinthians 7:8-9)
>>How could anyone respect a sinful priest?!  St. Francis did!
>>St. Francis wanted all of his brothers to honor and lovingly obey all
> members of the clergy, especially priests who have, as St. Paul said, 'the
> responsibility of watching over your souls'. Francis' rationale for honoring
> the clergy is based on the fact that it is GOD that has decided to act
> through them . . . to bring Christ back
> into the world physically, during the Mass, and HE ALWAYS deserves our
> honor and respect! .........
>>
>>http://goldentz.blogspot.com/ 2013/04/aibuuu-padri-wa-
>> kanisa-katoliki-huko.html
>>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment