Friday 3 May 2013

Re: [wanabidii] Re: AIBUUU.... PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA

Hivi baraza la MAADILI LIPO?Je, akina Mama NKYA,BISIMBO na URSULA wako wapi?Picha za GLOBAL PUBLISHERS ni BOMU linalokaribia kuripuka hasa katika eneo la haki za binadamu na maadili!!!Watueleze  katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inasemeje kuhusu haki za binadamu na hasa privacy section!!!Na pia katika common sense mambo yakoje maana siyo kila sheria iandikwe ndipo itumike.

2013/5/3 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Hildegarda unatisha kwa takwimu dada'ngu!!!!
 
Mwaga shule...........................

2013/5/3 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Media haipo immune na sheria. Tusiige ulaya-tutunze maadili yetu. Tuache kuviziana.
Wanaume wakae chonjo na wanawake kwa sasa. Wanawake wakae chonjo na wanaume pia. Wote sio wema.

Tunashuhudia pia wale ambao ni HIV positive kuwarubuni watoto wa kike wa wenzao ili kuwaambukiza kwa makusudi kumkomesha mzazi ambaye yeye ana tofauti nae. Ukitofautiana naye au ukiwa mpinzani kwa namna moja au nyingine na anajua una familia-anamsaka mkeo au mwanao kwa pesa nyingi hata $ ili amuambukize. Kama ni ke akuletee nyumbani.  Hivyo, wasichana wanaweza kutumwa akusake na kujipendekeza kwako akisha kukupata anakwenda kulipwa posho ya mihela. Keshakuletea matatizo hata kama ni Kaswende. Kama una girlfriend weak-anamfuatia ambaye ana afya ya matatizo. Anamlipa kijana ampatie uambukizo akuletee wewe unayejidai sana na ana tofauti nawe. Atampa mihela mingi na magari kumbadilishia mradi mama amuone kijana/mwanaume  huyo ana hela. Siku unamfuata hapo kumsaka nyumba hiyo anapokupeleka unaambiwa huyo hujaga tu hakai hapo-hawamjui.

Hii ndio inayoendelea kwa sasa. Akisha hakikisha amempata-anaacha mahusiano haendelei na hapatikani kwa simu wala mtaa huo na ofisi anayokupekeka kukuambia yupo wala si ofisi yake. Siku hiyo ndio utaambiwa ukweli hapo ofisi hiyo kuwa ni kanyaboya hapo hajaajiriwa hujileta tu kwa aliosoma nao au walioishi mtaa mmoja.

Wanaotengana muda mrefu hasa wababa hufanya hivyo pia kumrejea mke kwa nia hiyo. Kisha wazee huingilia na kusuluhisha kuomba ndoa ya kikristu irejee wasitengane tena. Baada ya mofa inakuja kujulikana kuwa mrejeo umeleta tatizo.

Mawizarani na taasisi-wasichana kutembelea ofisi fulani daima ambayo ina wageni-wazungu kwenye mradi fulani ushoga unawika ili mradi ajisogeze labda atamuwinda na kumpata mmoja. Hakai ofisini kwake daima ni kutembelea hapo tu.

Na sasa nyongeza ya wasichana wanaofagia au kufanya usafi maofisini-taasisi walioletwa na makampuni binafsi chini ya mikataba ya kazi-ni kuhurumia tu ndoa za watu na kuwahurumia wao wasichana. Mishahara yao midogo wanatafuta misaada ya nauli daily kwa kuitikia miito mingi maofisini kwenye milango iliyofungwa na viyoyozi zikiunguruma. Hawa hawaelezi background ya mtu ila wanaangalia kipato tu msaada wa nauli daily.

Bado haya ya mume na mke kuwa ndani ya ndoa lakini wana mihanjo na waume wengine kuwa na mahusiano na mashoga na hata kumpangia chumba au nyumba.

Ni miezi michache tu shoga kafumaniwa na mke wa mtu Temeke lakini ni huyo shoga kijana tu aliyepigwa na yule mama na mashabiki wake lakini mume hakupigwa au hata kuvuliwa nguo wala kutiwa bisibisi sehemu nyeti. Mama akilinda penzi na ndoa.  Kijana akaambiwa na mwenye nyumba kuwa-ahame nyumba (japokuwa akipokea kodi ya baba huyo) na vitu vya kijana vikatupiwa nje. Hapo alipangiwa na huyo baba mume wa mtu. Watu (wapangaji) wakamtonya mke baada ya kuona wanazidiwa masalo hapo ndani baba aikileta kwa kijana. Mama nae alionyeshwa maringo yake bure mume anashoga nyumba fulani mitaa hiyo anakoishi.

Kijana hafiki hata miaka 20 akaambiwa na mke kuwa yeye huyo kijana ndio anamuharibu mume na kumfundisha uovu-jee hii inapanda kichwani. katoto kadogo katamfundishaje uovu mtu mzima? Hapo akiokoa NDOA ambapo ni miaka au miezi mingi akichangia na kashoga anajibaraguza. Tabia hizi za kumfumania mwenzako ukamtuhumu mmoja tu ni unduma kuwili na kama ni adhabu wapewe wote na iwe katika vyombo vya kisheria. Akitembezwa mtu uchi au kutiwa bisibisi umma usaidie akamatwe hapo apelekwe polisi. Akiwepo police anashuhudia, kisha awaambie wayamalize nyumbani-naye akamatwe maana si mtii wa sheria ni mpotofu. Na hata kesi za vichanga kubakwa wanaambiwa mkayamalize nje kifamilia na kiujirani. Mbaya sana.

Kuna haja ya kuwa na mikakati ya kufufua maadili, upendo kwa utamaduni wetu na tucheze sana hata ngoma za jadi ktk sherehe za kitaifa kama afanyavyo mh Jakaya kupenda utamaduni. Pia tufundishwe sheria ambazo kwa sasa jamii inahitaji kuzijua ili kuweka amani na kulinda maadili. Hata huu mchezo kwamba kukiwa na maandamano au matatizo ya malipo basi wananchi wavamie nyumba za watumishi fulani wa umma, au viongozi au kuvunja biashara za watu na magari kote wapitako uishe. Unayemvunjia mali zake siye aliyekukosea. Au unachoma mahakama na kituo cha polisi-jamii yako ina kesi mbali mbali hapo unaathiri vizibiti, unatesa wenzako. Nawe ukipata shida utahitaji polisi au zahanati na mahakama au la. Unamatatizo shuleni-mkavunja vioo vya shule, kuchoma nyumba za walimu, madarasa. Mtihani wa form 4 waja-matasoma na kufanya mitihani wapi? Budi tuwe na akili kukichwa tusiwe vuvuzela kwa visingizio-'watu wenye hasira kali'. Mbona akifungwa familia yake itateseka pia!! Hasira itakwisha? kuongezeka? au kuchanganyikiwa huko jela? Ni mzigo pia wa society kujaza wafungwa na kuwalisha. Wote tujirekebishe-pamoja na Media kukuza mambo na MAPICHA ya HOVYO na matangazo ya kukuza USHIRIKINA. Tujilinde na kulinda mahusiano na ndoa zetu. Weekend Njema.

--- On Fri, 3/5/13, Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com> wrote:

From: Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: AIBUUU.... PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 3 May, 2013, 5:49

Hakika Dada Hilde!
Kwa uzoefu nilionao katika mahusiano ya hawa ndugu zetu ni kuwa mara nyingi Mapadri hawa hawawezi kuwaanza wana wanawakehata katika mahusiano.Hii ya Padri wa Moshi,nimefuatilia sana maelezo hayo nikaona kuwa hii ilipangwa na mme na mke ili kunusuru ndoa yao.Yaani IKO HIVI...Mme wa mama P,alimtuhumu mke kuwa ana mahusiano na Padre, na baada ya hapo wakakosa ushahidi na baada ya kuona sasa hana ujanja,akamlazimisha mke aende ili wapate kesi ya kusema na ni kuwa mama P alitaka kulinda ndoa yake.Fuatilia,utakuta hadi leo mme anaishi na mke wake huyo huyo.Ila kwa kesi hii,GLOBAL PUBLISHERS lazima watakipata au mhusika maana hii kesi imeishafunguliwa hasa kwa kudhalilisha kwa kuvunja katiba ya Jamhuri yaani kuingilia privacy na kufanya uhalifu bila Polisi au kibali?Je,kama amesingiziwa je,nani atajua?JE,ANGEPIGWA RISASI?
UHALIFU WAJA,KAMA SERIKALI HAIZUII GLOBAL PUBLISHERS Kutoa picha za Pornography kwa kisingizio cha kurekebisha tabia...!Hii tabia itatufikisha mbali katika usalama na heshima.

2013/5/2 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Unayosema ni kweli Deo, hii itakuja kutokea nami nilichangia kusema-inapangwa na kisha unadaiwa hela na ukitoa baada ya muda wanakufuata kuomba tena ili picha isitolewe. Mpaka unaona bora uhame mji na unaathirika kisaikolojia.

Hii ya Padri huenda nayo imepangwa maana katika baadhi ya maeneo na hasa vijijini watu wamewageuza watu wa Mungu kama sehemu ya kipato wakiangalia fedha za sadaka wanazokusanya. Hivyo kila mtu mwenye njaa anamlenga padri au Mkatekista au Mchunganji. Mapadri wenye huruma ya kusaidia masikini ndio wanalengwa na kuingizwa mtegoni.

Wanawake wanaujanja mwingi. Ukiongea na madaktari watakueleza matatizo wanayopata kwa hao kujifanya wanaumwa kumbe haumwi na anaeleza anaumwa sehemu za siri ili apimwe huko na dokta akianza kumpima anaanza vituko. wapo madaktari wachache wenye ushirikeri na ujasiri wa kumtimua mkuku kumtoa nje. Desturi hasa ya mwanaume wa kiafrika hataki kushindwa. Ndio maana utakuta hata daktari anaweza akawa HIV positive sio kutokana na uzembe wa kutokutumia protective gear wakati wa kazi bali unprotected sex.

Wanawake akija mwalimu mpya, kiongozi mpya kahamishiwa kijijini au ofisini-wanamlenga. Wapo maalum wenye kazi hiyo. Kuwalenga hata viongozi wa wilaya, Mkoa, Wizara, wabunge. Nilimuona mkuu wa Mkoa mmojawapo akiwa jirani yangu Mkoa wa Mara miaka hiyo aliwaambia Police wale walinzi nje ya nyumba yake kufukuza wanawake
wowote walipitao njia ya mkato pale au kuja home kumuona wasubiri ofisini unless amewaambia walinzi kuna mtu wa jina fulani na mara nyingi hamwambii mtu huyo asimfuate home bali ofisini. Aliwalaza baadhi ndani kwa kufika kwake bila kuitwa. Wakakoma kujitembezatembeza. Wakamsingizia mengi.

Wapo akina mama ambao specialization yao ya mabwana ni viongozi. Kukiwa na miradi mipya kama machimbo, ujenzi wa barabara, kiwanda, bwawa la maji-tayari changu doa hujazana huko kutoka hata nchi jirani. wake za watu jirani na mradi huvunda ndoa hasa wale walio katika polygamy hutumia nafasi hiyo kutafuta wao binafsi. Ndio madhara ya miradi huja kuonekana baada ya miaka kadhaa ya mradi kuisha HIV/AIDS, kuonekana kubwa vijiji vya miradi. Bunge likianza-vyangu doa hukimbilia huko.
Sex tourism-msimu wa watalii nao wapo wanaowawinda watalii. Haya hufanyika kwa makusudi. Wapo vijana-kazi yao kuwinda akina mama wenye majina na hela kisha kujitangaza au mitandaoni.

Desturi za sasa watu kumuwinda mtu mashuhuri au msanii mtajwa msifika. Kawa na huyu leo kesho yule. wanajua madhara ila inatafutwa Sifa tu licha ya matatizo mengine.

Unajiuliza mtu ukiona picha magazetini-jinsi mtu alivyotolewa utupu gazetini mbona hashitaki? kama Global Publisher inawaonea, kuna watu wanapiga picha kuziuza gazetini (tuache hizi za fumanizi); daily ni Wema, Diamond picha za hovyo, barua zao za siri; picha za mtu zimeibwa kwenye laptop aliyopelekewa fundi kuitengeneza akakopi na kutoa gazetini-kwa nini hao watu wasishitaki wakapata mamilioni? Huyo aliyeitoa picha ya siri toka simu, kuwavizia au toka laptop si atajulikana na kutoza fedha nyingi na pia gazeti? Hii ikiwatia hasara-wataacha mambo ya kipuuzi.

Jee, wananchi wanajua sheria za media na taarifa za uongo au kuviziwa kisiri ukatolewa picha za utupu na kumfedhehesha mtu ktk chombo cha habari hata kama kakosea usimtoe uchi? Jee pia ikijulikana kuwa ile ya Padri ilisukwa kumrubuni-sheria gani itatumika? Kutokujua haya masuala ya sheria ndi tunaona watu wanaachia yanakua, na kuna mtandao wa Fichua Maovu ambao watu wanaweza kuwa wanautumia vibaya, kukuita mahala mtu fulani wamtakao yupo, kuwapiga picha ya pamoja mmekaa meza moja wewe huelewi nia kisha inatoka gazetini. Fujo za kisiasa sasa zinaonekana kuhamia katika jamii kwa media kuunda mtandao sio tu kusaidia kufichua maovu (ambayo si vibaya), bali kuunda kuonyesha mfumo wa maovu wa kupanga/kupika. Kama ni kufichua maovu waende mtaa hadi mtaa pia kufichua brothels ambazo zipo zinauza watoto, changudoa watu wazima na mashoga na wasaidie wanaoathirika kutolewa ktk media kiuonevu kupata haki zao pia.

Mwisho-mbona baadhi ya magazeti yanayotangaza utovu wa maadili-katika gazeti lao na matangazo madogo madogo wanatangaza masuala ya Kinyume na maadili au kushabikia ushirikina? Mfano-kumtoa gazetini hata katika TV Mganga wa Diamond anavyoongea ushirikina alivyomfanyia Diamond.Au kuafiki kusema Diamond akichukua nyota ya Bibi Kidude akiwa pembeni ya maiti.Aibu gani hii! Ukweli gani upo hapa ni kama mganga katoa hongo kumfedhehesha mtu ktk mambo binafsi na anapewa nafasi kama Rais au Kiongozi kusema mambo ya uchawi kushamirisha Imani potevu. Kama wanaipenda Jamii kutaka kufichua maovu-Baadhi ya Magazeti nchini yanatangaza uganga na ushirikina-huu ni uovu. Mfano Tangazo : Mganga kutoka Nigeria Kiboko ya Wachawi Atua DSM-cheo kazini, pete na mkufu wa bahati, Akili Darasani, na mengine mengi, pili anatibu kwa njia ya simu na mafanikio baada ya siku 3; ......ni Dawa ya mvuto wa mapenzi, humvuta mume, mke, mchumba au yoyote yule umtakae baada ya masaa 3 tu. Mvuto wa biashara, kazini na umfanye umtakae akutafute mwenyewe na hata kuacha tena. Piga simu namba....utaletewa dawa hizi (bila ya shaka kupelekewa nyumbani).

Jee, kama dawa hiyo mama kaiweka kumuwekea Padri au Mume wa mtu au kijana kaivaa hivyo kumchuma mke wa mtu-hayo ndio maadili ambayo Fichua Maovu au Global Publishers inayotajwa hapa inayataka? Baraza la Utamaduni Taifa na Chama cha Waganga wa Tabibu Mbadala, Chama cha Waandishi wa Habari waangalie masuala haya ya maadili, picha gazetini na matangazo ya biashara. Watu wa Media wasiangalie Kipato tu na kuuza magazeti bali pia MAADILI..

--- On Thu, 2/5/13, Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com> wrote:

From: Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com>

Subject: [wanabidii] Re: AIBUUU.... PADRI WA KANISA KATOLIKI HUKO MOSHI AFUMANIWA LIVE NA MKE WA MTU AKIWA UCHI WA MNYAMA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, 2 May, 2013, 19:49

TUSUBIRIE UHARIFU WA AINA MPYA SIKU ZA MBELE;

Unajua serikali inalea kitendo cha GLOBAL Publishers kutoa na kuweka picha za utupu kwenye front page za magazeti yake.This is Pornography in real sense.Wanauza na wanapata pesa kwa hii business strategy wanayotumia ya kuonyesha picha hizo.Watu wako addicted sana na masuala ya ngono na picha hizo,hivyo kwa kuweka picha hizo kwenye magazeti Mauzo yanaongezeka na hii inawapa hamasa kuendelea kutoa picha na kutafuta picha hizo kwa njia yoyote ile.
Hivyo basi,hii ni kama biashara ya madawa ya kulevya,siku wakikosa hizo picha,watakosa mauzo na kipato kitapungua.Lakini kwa kuwa wanaruhusiwa kuziweka front page,na bila kujali picha hizo zimepatikana wapi,na kwa nini basi tutegemee yafuatayo;

1.KUTANGAZA SOKO LA PICHA HIZO;
Hlili litafanyika au kwa kujificha au kuvamia nyumba ya mtu wakati wowote kwa kutumia njia mhusika aliyeahidiwa pesa.Watu tutaanza kuvamiwa hata bafuni,na unaombwa hela ukikataa wanapeleka GLOBAL PUBLISHERS wanaijengea kichwa cha habari wanauza.
Au wanakukuta ndani kama majambazi wafanyavyo,wanakuja na binti wanakuambia uvue nguo,wanawapiga picha ,wanasema uwape pesa ukiwanyima wanapeleka GLOBAL PUBLISHERS wanajengea habari wanauza.Yaani huu ni ujambazi ambao hautakuwa na malalamiko maana wana evidence fake zako na hauwezi kubisha maana tayari wana picha na binti jambazi ataenda kutoa ushahidi.Hii itakuwa hatari kwa Mapadri na Mabachelor ambao wanaonekana wana pesa kidogo.

2.UJAMBAZI KIMYA(UNYANG'ANYI WA KIMYA)
Kwa sasa GLOBAL ikiendelea hivi kuuza picha bila serikali kuangalia,basi ujue kuwa kuna hatari ya kujenga UJANGILI MPYA wa kuuza picha za uchi nchi kwa GLOBAL PUBLISHERS,.Hawa mauzo yao yanategemea uuzaji wa pics hizo hawawezi kuacha kuuza watatafuta njia ya kuzipata.Nayo ni kutumia watu hasa mabinti,au vijana ambao watatumika kuwavamia na kutumika kuchukulia picha hizo za kuuza.Unafikiri kama mtu anatumwa kuua ili apewe pesa kidogo sembuse hii ya picha tu.WATATUMIKA WENGI,NA WATU TUTAABISHWA SANA.

3.TUTEGEMEE NDOA KUVUNJIKA;
Kwa sababu hizi zinapangwa na watu wenyewe,mke akiweka mtego wa kumbamba mwanamume fulani na mwanamke huyo akatoa siri hiyo basi ujue kuwa ndoa ni mwisho.
Kiukweli kuna mengi sana ambayo vyombo vya dola visipoangalia kutatokea UJAMBAZI WA KIMY KIMYA na watu tutaathirika sana.
On Monday, April 29, 2013 7:07:52 AM UTC-5, richard bahati wrote:

Nimeshindwa kuiweka hii story katika blogu yangu kwa kuwa ninaamini aliyofundisha St. Francis na ningependa na wewe usome na pengine uamini kama mimi. Watumishi wa Mungu ni wa kuombea kwa kuwa wanakutana na vishawishi vingi sana na pengine kwa nguvu zao wenyewe si wote wanaweza kutimiza yote yanayoagizwa juu yao. Ni kama askari walio mstari wa mbele vitani, wanaonekana haraka na kwa kuwa ni hatari zaidi kwa adui (shetani) wanakuwa kwenye nafasi ya kushambuliwa zaidi kuliko wengine. Hata hivyo hiyo sio kisingizio cha kutimiza ahadi zao, bado wana option ya kuamua kama Mtume Paulo alivyosema, anayeweza kuishi kama mimi na aishi, na asiyeweza basi na aoe. 
 Now to the unmarried and the widows I say: It is good for them to stay unmarried, as I do. But if they cannot control themselves, they should marry (1 Corinthians 7:8-9)

How could anyone respect a sinful priest?! St. Francis did!

St. Francis wanted all of his brothers to honor and lovingly obey all members of the clergy, especially priests who have, as St. Paul said, 'the responsibility of watching over your souls'. Francis' rationale for honoring the clergy is based on the fact that it is GOD that has decided to act through them . . . to bring Christ back into the world physically, during the Mass, and HE ALWAYS deserves our honor and respect! .........

http://goldentz.blogspot.com/ 2013/04/aibuuu-padri-wa- kanisa-katoliki-huko.html

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
You received this message because you are subscribed to a topic in the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this topic, visit https://groups.google.com/d/topic/wanabidii/n5Hj_-pID_I/unsubscribe?hl=sw.
To unsubscribe from this group and all its topics, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment