Kuanzia leo naanzisha mtandao wa kubamiza wanawake wanaofumaniwa na waume za watu. Sipendi kuona fumanizi halafu anapigwa mwanaume tu! Why? Huu ni mpango!! Mume anayefumania kwanza abamize mke wake akiwa bwana aliyefumaniwa kamfunga kamba/pingu halafu ndio ambamize huyo aliyemfumania. Ajue, wengine wanaofumaniwa-huwa na nguvu atakutoa wewe macho na meno. Hata hivyo-sheria inasemaje? Inaruhusu kumfumania na kumpiga? Awafikishe ktk vyombo vya sheria tu. Kwanza naye ameaibika mke kuwa chakula cha wengi!! Si haki kumfumania mtu ukampiga ukamweka kilema-kumtoa meno, macho, kumvunjwa na kumtia bisisisi matakoni. Kisha-umekwenda na police kuona ushahidi. Halafu, mnaambiwa mkaamue nyumbani!? Police huyu na aliyemg'oa mgoni na kumtia bisibisi WAKAMATWE. Tunaomba vyama vya wanaharakati wayaone haya na kuhakikisha haki inatendeka wanakamatwa au kutoa tamko ktk vyombo vya habari kama TV ili wakamatwe. hii ni kuchukua sheria mkononi wakati chombo cha umma ni witness. Ni sawa wale police wanaokamata changudoa na mashoga kisha wanawaingiza ndani vya vyumba vya kolokoroni hapo police station na kuwafanya uchafu kucha wakaita na watu nje na kuwakaribisha mahaburu wengine hapo wawafanye uchafu eti kuwakomesha. Hao nao wakamatwe na DNA test iwe ushahidi. Tunataka tujenge taifa la maadili. Vile vile upite msako wakamatwe wale wenye madanguro ya siri ya kuuza vijana me na ke; kufanya lodging za chapuchapu kwa kipato. Hao mashoga na changu doa wanazijua ndio wanakokwenda ili hao waheshimiwa na waswalihina wasionekane lodging za kawaida wakifanya hivyo. AIBU kubwa kwa mwanaume umtume mkeo kwenye mtego wa kuzini ukijua amezini tayari ili umsamehe. Kila aliyeoa au kuolewa atulie ktk ndoa na kila mwenye mpenzi hata kama hawajaoana atulie. Maradhi ni mengi -kaswende, kisonono, herpes etc pamoja na HIV/AIDS. Aibu-tunafundisha nini watoto wetu? Inafikia mtu anafumaniwa na kuwatembeza wagoni hao pamoja na mkewe uchi barabarani halafu police hawamkamati anayefanya hivyo. Wataalamu wa Social Welfare wanakula jiwe. Kutembea uchi hadharani ukiwa na akili timani ni kosa kisheria. Kuwaje anayewatembeza asishitakiwe na Jamuhuri watu wanabaki kuwazonga walio uchi na kufurahia? Serikali ya Mtaa na police jamii zisilale katika masuala haya ya maadili. Mkamateni huyo mume aliyeng'oa meno rafikie aliyemfumania kwani amechukua sheria mkononi. Alipe gharama za matibabu na za meno bandia. Hiyo fumanizi kaipanga, apate kisago wengine namna hiyo wapate fundisho. --- On Thu, 2/5/13, ananilea nkya <ananilea_nkya@yahoo.com> wrote:
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment