Thursday 23 May 2013

Re: [wanabidii] Rais Obama kutembelea Tanzania Juni?

MAREKANI HAWNA RAFIKI WA KUDUMU ISIPOKUWA WANA MASLAHI YA KUDUMU, TUWE MAKINI

On 5/18/13, heche suguta <hechesuguta29@yahoo.com> wrote:
> Aondoe gunndu hapa si aende Kenya kwenye kaburi la babake, anatafta nn hapa
> anavizia mafuta na gas na pale mtwara hakieleweki ...wamarekani ni wauaji
> wakubwa...
>
>
>
>
> ________________________________
> From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Saturday, May 18, 2013 12:59 AM
> Subject: RE: [wanabidii] Rais Obama kutembelea Tanzania Juni?
>
>
>
>
> Muganda,
> Tanzania si nchi yenye utawala bora kama ilivyokuwa Ghana alipoitembelea
> ikiongozwa na marehemu  Rais John Atta Mills,  ila  kama ilivyo Rwanda, ni
> nchi muhimu katika kulinda maslahi ya Marekani DRC na Somalia.  Hivyo hivyo
> Africa ya Kusini. Halafu kumbuka kumegunduliwa  mafuta, gasi na urani hapa
> kwetu  na husije ukadhani Rais Obama nitofauti  sana  na Rais Bush inapokuja
> kwenye kulinda masilahi ya Marekani. Hata uhusiano wa Marekani na Urusi ya
> Rais Putin na China ya chama cha Kikomunisti cha China hii ya leo ya 'state
> capitalism' ni uhusiano husiozingatia maswala ya  eti nchi kuwa ya
> kidemokrasia. Wapambanaji wa kuimiza  kuwepo kwa  demokrasia  pana Tanzania
> watumie ziara hiyo kuimiza Marekani kuaacha kuwabemba mafisadi ndani ya
> chama tawala  cha CCM    kwani ilo halina manufaa katika kulinda  maslahi ya
> kudumu ya Marekani  sehemu hii ya dunia mbele ya safari.
> Mwl. Lwaitama
>
>
> ________________________________
> Date: Fri, 17 May 2013 19:12:16 +0100
> From: ekunyaranyara@yahoo.co.uk
> Subject: Re: [wanabidii]
> To: wanabidii@googlegroups.com; emuganda@gmail.com
>
>
> Wewe unaonaje mzee Muganda.
> Sent from Yahoo! Mail on Android
>
>
>
>
> ________________________________
> From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>;
> To: <wanabidii@googlegroups.com>;
> Subject: Re: [wanabidii]
> Sent: Fri, May 17, 2013 5:59:20 PM
>
>
> Hivi Tanzania tunajua maana ya utawala bora? Tunao?
> em
>
>
> 2013/5/17 salum mkango <salumkango@yahoo.com>
>
> Rais Barack Obama
>>Rais Barack Obama wa Marekani anatarajia kuanza ziara yake ya pili katika
>> bara la Afrika mwishoni wa mwezi June, ziara ambayo itamfikisha Africa ya
>> Kusini, Tanzania na Rwanda.
>>Katika ziara yake hiyo, atapitia Nigeria na kuongea na rais Goodluck
>> Jonathan pamoja na waandamizi wa serikali ya Nigeria.
>>Mpango wa awali ulikuwa kwamba rais Obama angetembelea Nigeria kwa siku
>> mbili lakini kutokana na hofu ya usalama kutoka kwa magaidi wa Boko Haram
>> Nigeria inaonekana kwamba itashindwa kutoa ulinzi wa kutosha wa rais huyo
>> wa Marekani hivyo atalazimika kukaa Nigeria kwa muda mchache.
>>Habari kutoka Ikului ya White House zinadokeza kuwa usalama utazingatiwa
>> sana katika ziara hiyo na kama kutakuwa na sababu yeyote ya kuwa na
>> wasiwasi juu ya usalama wa Rais Obama basi ziara hiyo itakatizwa wakati
>> wowote katika nchi ya Nigeria.
>>Mwaka 2009 Obama alitembelea Africa na alichagua nchi ya Ghana ambapo
>> alikutana na Raisi (marehemu) John Atta mills, na akatoa hotuba katiba
>> bunge la Ghana na kisha kutembelea Cape Coast Castle sehemu ambapo watumwa
>> wa Trans Atlantic walikuwa wanapakiliwa kupelekwa Marekani wakati wa
>> biashara ya utumwa.
>>Kwa sis watanzania, ziara hii ya kiongozi mkubwa duniani ina manufaa gani
>> kibiashara, kiuchumi, kiusalama? Kuna fursa gani kwa Watanzania kama
>> ilivyoluwa kwa Rais wa China? Ni matumaini yetu kuwa ziara hii itazidi
>> kuliweka Taifa letu katika sura nzuri kimataifa na kitaifa. Ikumbukwe
>> kwamba, Marais wa nchi kubwa kama Marekani wanachagua kutembelea nchi zile
>> zinazofanya vizuri katika utawala bora, demokrasia madhubuti, uhuru wa
>> haki za binadamu, uhuru wa vyombo vya habari, kusimamia na kutimiza vyema
>> malengo ya millenium..... Hivyo kwa Tanzania kupata ugeni kama huu ni
>> ishara nzuri na chachu ya kuendelea kufanya vizuri zaidi. Mungu Ibariki
>> Tanzania
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment