Sunday 12 May 2013

Re: [wanabidii] Mbunge anapojibu hoja za mbunge mwenzake waziri afanye nini?

HAPA SIKUMUELEWA NCHIMBI "Aliposema "unapokwenda makanisani na
misikitini, kushawishi maaskofu, mapadri wachungaji ili washawishi
waumioni wao wakuchague na ushinde urais, halafu unafikiri
utakaposhinda urais mambo yatabaki hivihivi na kuisha, hukujua kwamba
ulikuwa unachochea mbegu mbaya nchini."
Unatakiwa kujiuliza ulikuwa unawatendea haki watanzania

On 5/10/13, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> wrote:
> Hizi ndg zangu ni dalili za kuishiwa nguvu na ni madhara ya kuteua mawaziri
> wasio na uwezo na wabunge wa CCM wanalijua hilo ndo maana wanatumia muda
> mwingi kupambana na mapigo ya wapinzani, mtakumbuka juzi Lisu alivyomtoa
> jasho Waziri Nchimbi, ambaye kila jambo yeye alikuwa analifanyia mzaha
> badala ya kuwa makini akijua kwamba watanzania wanamtizama anachokifanya,
> aina ya viongozi kama Nchimbi ni watu waliolewa madaraka na watu wasiosoma
> alama za nyakati, watu wenye busara kama Samweli Sita wanaojua nini
> wanachokifanya aliingilia kati na kuokoa jahazi, majibu ya sita kwa tundu
> lisu yanaonyesha ukomavu wa wanasiasa tunaowahitaji kwa sasa.
>
>
> On Thu, May 9, 2013 at 4:44 PM, <simonnguge@gmail.com> wrote:
>
>> Wabunge wa ccm inaonekana hawana matatizo/kero toka majimbo yao au ni
>> chama kuzidiwa na upinzani kiasi kwamba sasa inabidi wabunge wasaidie
>> mawaziri. Lakini pia sasa tunashuhudia mwenendo wa shughuli za Bunge
>> ukienda ndivyo sivyo!
>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment