Sunday 12 May 2013

Re: [wanabidii] Mazishi ya Wakristo (wafiadini) waliouwawa kwa bomu Arusha yafanyika

Sio wakristo kwani?

On 12 May 2013 16:14, <saidmdee@gmail.com> wrote:
Wewe ni mdini... Hilo neno "Wakristo" halikuwa na sababu hapo, ukisema "wahanga"
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
Date: Sat, 11 May 2013 02:12:56 -0700
Subject: [wanabidii] Mazishi ya Wakristo (wafiadini) waliouwawa kwa bomu Arusha yafanyika

Arusha. Watu watatu, waliofariki katika shambulio la bomu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti, mkoani Arusha wamezikwa jana na mamia ya watu, huku ulinzi ukiwa umeimarishwa kuliko kawaida na viongozi wa dini na Serikali kutoa kauli nzito.
Marehemu hao, ni  Regina Loning'o Laizer (45), James Gabriel(16) na  Patricia Joachim Assey(9) walizikwa katika eneo la kanisa hilo Katoliki, mazishi yaliyohudhuriwa na maaskofu wanane wa majimbo tofauti ya Kanisa Katoliki, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT), Askofu Alex Malasusa, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na viongozi mbalimbali wa dini, Serikali na kisiasa.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment