Tuesday 21 May 2013

Re: [wanabidii] Lowassa jembe-jk

Kwa bahati mbaya unasema jambo ambalo hata Lowassa mwenyewe anaweza kukushangaa maana urais hautokani na ujembe au unyundo isipokuwa kuna mazingira yanayotengenezwa ndani na nje ya nchi na kisha wenye kufaidika kuchukua hatua ya kujiridhisha kuwa huyu au yule ni bora kuliko wengine ndani ya timu moja dhidi ya timu pinzani.
 
Ujembe wa Lowassa si kuwa rais isipokuwa anaweza kuwa mtu muhimu katika Serikali ijayo endapo "afya" yake itamruhusu. Nakubaliana na wewe, Lowassa jembe maana Tanzania tunahitaji majembe mengi maana shamba la bibi ni pana mno.

--- On Tue, 5/21/13, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:

From: lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] Lowassa jembe-jk
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, May 21, 2013, 5:46 AM

Nani sasa atabisha kua huyu ndie rais mtarajiwa? Jk mwenyewe anamkubali kua ni jembe!! Huyu ndie anaefaaa kupeperusha bendera ya ccm kuwania upresidee wakuu....anaebisha na abishe kujifurahisha lakini ukweli hili ni jembe la ukweli

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment