Sunday 5 May 2013

Re: [wanabidii] Legal advice

 

 

Lesian,

Poleni sana na kadhia hiyo.

Aliyefiwa na mtoto anatakiwa kumshtaki mwenye gari. Ana "cause of action" dhidi ya huyo mwenye gari na sio Bima. Hii ni kwa sababu mwenye mtoto hana mkataba wowote na Bima hivyo sio "privy" kwenye mkataba huo.

Mwenye gari akiisha shitakiwa, akitaka anaweza kuiomba mahakama kuijumuisha Bima kupitia utaratibu wa "Third Party Proceedings"

Jumapili njema

MJL
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment