Thursday 2 May 2013

Re: [wanabidii] Legal advice

Anatakiwa ashitaki mahakamani yule mwenye gari, na mwenye gari anatakiwa apeleke hayo madai kwa shirika la bima kama gari yake ilikuwa ina bima iliyo hai.

Kwa kifupi atalipwa na shirika la bima alilokata yule mwenye gari iliyosababisha ajali

kitigwa

2013/5/2 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>

Hi wandugu, nina mtu wangu wa karibu kapata tatizo moja as follows.mwaka jana mwanae aliyekua akisoma sekondar moja maeneo ya kibamba aligongwa na gari na kufariki dunia...ni ajili mbaya sana kwani watoto walipotoka shule wakiwa njiani kurudi kituoni basi gar moja iliokua ikiendeshwa ilkataa njia na kuwagonga wanafunzi wale wakavunjika na kujeruhiwa lakini likawa limemlalia mtoto wa huyo rafiki yangu akafariki dunia....sasa baada ya kufanya process zoote  muhimu it seems kuna hela inatakiwa walipwe familia waliathirika, wale mavaluer wameshafanya valuation but  still kuna giza ktk ulipwaji-compasation...swali afanyeje ili apate hii compasation, je afungue kesi, kwa nani...mwenye gari anadai ana ushirikianaakimuhitaji anytime anatoa ushirikiano...hajui afanye nini..... Those brotheren brothers can hel us laymen isnt it?

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment