Kiwasili,
Kwa hiyo lengo la hizi nchi za Magharibi Afghanistani na pengine Iraq ni nini maana kwa mfano kabla ya Taleban kilimo kilikuwa juu sana lakini walivyokuja wao kilimo kikashuka sana.Wametimuliwa wamekuja hao mabwana wakubwa hali ndiyo hiyo sasa nani wa kulaumiwa hapo.
Sadam alifurushwa ili kuwasaidia wananchi wa Iraq nao wapate uhuru na demokrasia lakini hebu angalia kinchoendelea huko ni nini na hapa wanalaumiwa nani Washia au Wasuni au Wavamizi?
Bilashaka yataifika Iran kwani nao ni washenzi.
Hivyo hivyo Libya.
Leo Syria imekuwa mwiba maana aliyeko madarakani ni adui na anayempinga ni adui.Vita haieleweke zaidi ya kuchochea moto ili nchi iwe kama Somalia na watu wafe kisha mkatoe mifano kuonesha ushenzi na ukatili wa Waislam na Waarabu.
Kweli lakini dadangu?
Leo unajisifia kwa huduma za kijamii mnazozitoa hapa nchini lakini huku mkipata msaada wa serikali kisha mnawadharau wenzenu.Mlituwahi tangu kwenye Mkataba wa Berlin na matokeo yake ndicho kiburi hiki mlichonacho.
Walewale.
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, May 22, 2013 12:19 AM
Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Kitigwa-attachment hapa inafundisha kuhusu vita vinavyoendelea duniani mfano afghanistan na kwingineko ambavyo vinasemekana ni vya kidini. Lakini, pamoja na kuchomewa makanisa-mkatoliki au wakristu hawatolipiza kisasi kukawa na vita ya msalaba.Ukipiga la kushoto atageuza la kulia. Utakwenda kwenye huduma zake za afya utahudumiwa tu. Ila atasali kuomba Mungu atende Miujiza yake. Hivi DINI na madawa ya Kulevya na Mungu vinaendana? Nimehoji vita vya dini vinavyoendelea kwa wenzetu dhehebu hili vs lile na kubaka, kutia vilema na kuua. kuna Mungu hapa? Hii haiingii akilini kuwa ni mapigano ya udini. Unaua unamtaja Mola, unasali huku unalinda unga wa cocaine au maua yake ya poppy ya kukusaidia kuuza madawa ya kulevya yanayoua na kuharibu watu na ni Haram-hapa pana Mungu kweli? Unasali sana lakini fedha yako inatokana na magendo ya cocaine au mengineyo. Unasali huku unatenda uovu uwe wa dini yoyote ile. Hapa Mungu huna. Ona hivyo vitoto vya huyo bab mpiganaji ktk attachment. Kingine kimevaa hirizi kibao ila hapo vinavyovuta hewa ya unga unaoharibu ubongo na mishipa yake. Haya hata huyo Kony anayepigana kwa jila la Yesu lakini anajificha hataki afe kama Yesu msalabani. Yeye ambaye anapigana kwa jina lake Yesu hajitokezi, ameua anasakwa. huyu ni wa Yesu kweli. Hataki awe mtakatifu kama mashahidi wa Uganda wanachomwa moto wanamkiri Yesu au Mt Stefano alivyopigwa maewe hadharani akimfia Yesu na watakatifu wengineo. Kony anaua lakini yeye hataki kufa kwa kujitokeza na kutundikwa msalabani. Kibwetere kaua kazika watu kanisani na ktk majumba ya eneo la kanisa kawafukia kisiri. Kakusanya dhahabu-mikufu, pete za waumini na vito kibao vya thamani kajaza masanduku eti anavitoa mapepo. Kawafungia kutwa kucha wakisali na kuomba. Kisha akalitia kanisa moto. Kuna mama mmoja alitoroka kwenda home kula maana hawakula kutwa akaona akale akajipenyza kwenda chooni hakurudi. Anarudi ile saa kumi na mbili jioni akaona kanisa linawaka moto, lakini akamuona Kibwetere na walinzi wake wakipakia masanduku ktk gari wakitimka. Milango ya kanisa imefungwa kwa nje muda huo wa kufumba macho na kuomba kwa nguvu na kelele. Watu wanateketea kwenda kwa Mungu. Na wale zamani walipelekwa kisiwa kimojawapo (Jamaica??) wakapewa sumu kunywa waende kwa Mungu. Na lile kanisa la kizushi la Kuresh USA walivalishwa sare, wamefunga mabegi yao, mamelala kitandani na sare zao na mabegi na kunyimwa oksijeni na kufa ndege ikiwa inawasuribi kupakia roho zao ziende peponi. Kuresh hakufa. alikamatwa. Story ni nyingi za hizi dini za kuzuka zinazoanzishwa na wajanja wachache ndio zinakuja na vituko. Ni sawa na wale wanaoongeza mambo yao binafsi katika misahafu ya Mungu kwa manufaa yao binafsi Mungu hakusema hivyo ktk vitabu vyake vitakatifu asilia. Huu wao wa kuchoma makanisa au mahekalu yasiyo ya dini yao ni ubinafi. Coptic churches Egypt ni chache na wakristi labda 0.1% lakini vikanisa vinachomwa, hupati ajira ukiwa mkristu na ukisilimu kuolewa ukaja kuachika ukarudia ukristu unauawa. Hii, haijazuia wasipigane walivyofikia sasa na bado vikanisa hivyo viduchu ni Tatizo vinachomwa daily. Ubinafsi, wivu usio muono wa mbali na kujikanya, njaa, kutokuwa na malengo, uvivu na kubweteka kusiko Vision. Jiulize, Ukishakuchoma shamba lako litakuwa limelimika? Utakuwa umevuna mazao na mtoto wako atakuwa kasoma shule na kupasi? Waliobweteka Uarabuni wana visima vya mafuta makampuni ya kizungu yanachimba kwa technolojia zao wenye mali wanauza wanafaidi mihela. Sisi huku tuna ardhi oevu-tulime!! Tuache story za simba na yanga na manchester. Mswahili asiye muono wa mbali externalization of errors/mistakes ndio tija kwake isiyo na measurable positive outputs. --- On Tue, 21/5/13, F kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment