Thursday 23 May 2013

Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto

Kaka chamani, unapoteza muda bure, kiwasila ana force behind
inamsumbua, anachuki bonafsi ndani ya moyo wake. usipate tabu hapo
ndipo akilia yake ilipoishia

On 5/22/13, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
> Kiwasila,
> Nimesoma mara mbili nimeelewa japo inawezekana nilichoelewa sicho ulichotaka
> nielewe.
>
> 1.Naomba usome tena nilichochangia kisha linganisha na hiki ulichojibu.
>
> 2.Utumwa ulifanywa zaidi na Wazungu(Tajiri) kuliko Waarabu(Dalali) bahati
> mbaya lawama zote anapewa Mwaarabu kwanini nadhani unajua.Hata ukiangalia
> athari yake iko zaidi huko kuliko Arabuni.
>
> 3.Kwamba mnachanga sana ni kweli lakini na rasirimali za nchi karibia zote
> mnazo ninyi kumbe sasa shida ni nini? Lakini nilichosema ni kwamba pesa za
> umma mnapewa kuendesha huduma za afya au na kwa hilo nina wivu?
>
> 4.Nakunukuu "Kama vile serikali ya TZ inavyotumia akili kutokumfunga Sheik
> Ponda  jela kifungo cha ndani
> na kutokukurupuka katika huu uchomaji makanisa kuamua vya kuamua kwa
> kuogopa moto utawaka nchi nzima, ndio Europe na USA na UN inavyo buy
> time suala na Syria kuacha wajiteketeze wenyewe na Somalia imechosha.
> Ukikurupuka na uamuzi-wenye elimu ndogo wasioona mbali watachoma nchi
> nzima kama vile wachomavyo mahakama na vituo vya police na magari yao
> lakini kesho wanataka waje police wawasaidie kuna ujambazi au matatizo
> na mafaili mahakamani wamechoma ushahidi wa kesi za ndugu zao numepotea.
> Police atakujaje jana umempiga mawe. Choma Muhimbili au Aga Khan/TMJ
> hospital. katika walioungua na moto huo ni nduguzo wanaohitajiwa
> kutibiwa hiyo hospitali ya rufaa. utawatibuje? Kuna akili hapa? Tuige
> Somali kuharimu namna hii Why?"
> Unamaana gani?
> Umaona hukumu ya kesi yake? Alifatilia hata kilichokuwa kinaendelea huko
> mahakamani lakini zaidi ni kwamba inaonekana haya mambo unayaelewa kabla au
> ni maagizo kutoka kwa Mababa Maaskofu? Ni ajabu kwamba hata wewe si tu
> huelewi chochote katika hili ila unamawazo mfu.
> Umehitimisha nukta hiyo kwa kuwasema wenye elimu ndogo wasiona mbali ni
> kweli lakini kama hii nchi ni yetu sote kwanini hatuna elimu kama ninyi
> wakati Nyerere alishataifisha shule kwa lengo la kutusaidia sie mabwege!
>
> 5.Nakunukuu tena "Tukikubali kutumika
> na kukubali mawazo finyu kama haya utoayo hapa ya kuona uadui ni ukristu na
> makanisa katika nchi ambapo wakristu na waislamu ni 40% vs 51% na
> kukubali kutumiwa na wazungu au waarabu kidini au kiuchumi-tutaishia
> kumalizana wenyewe na kurudi ktk umasikini mkubwa kuliko huu....."
> Hakuna sehemu nimesema kwamba adui ni Ukristo au Makanisa aidha unarudia
> kosa lile lile la kutoa takwimu sijui unazipata wapi wakati mlikataa
> zisipatikane wakati wa sensa mwaka jana?
>
> 6.Rudi kwenye mada ya msingi ya mwanzo wacha hizo ndalile.
>
>
>
>
>
> Walewale.
>
>
>
> ________________________________
> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Wednesday, May 22, 2013 1:31 PM
> Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto
>
>
>
>
> Ungejua kama makanisani michango mpaka mtu unapata kizunguzungu. Hatuna hela
> za kutoka ulaya bali ni kila jumuia ktk mtaa kupewa kiasi cha kuchangia hili
> na lile. Dini za Kikristu zimetoka Ulaya kama Uislamu ulivyotoka Uarabuni
> ila zimekuja na misingi tofauti. Kwa Mfano wa Waprotestanti ambao
> walijitenga na ukatoliki-wao kufanyakazi kwa bidii na kuzalisha mali kuondoa
> umasikini ndio kumcha Mungu na kuuona Uwingu. Huuoni uwingu ukiwa masikini,
> ombaomba uliyebweteka-hufanyi kazi. Utamkosea Mungu kwa mengi. Ndio
> wakaendelea nchi za ulaya. Wakaja kutafuta masoko kwa wenye raslimali
> wasiojitambua.
>
> Ujue hadi leo hii kama utaongozana na mzungu kuingia kijijini utaona
> waafrika wanakimbilia kumpokea mzigomzungu na kujipendekeza. Ongozana na mtu
> mweupe (Mhindi, Mwarabu, Mzungu) hata akiwa mwanafunzi ombaomba wao
> watamuona ndio mhisani. Bado hatujitambui. Mpaka Mchina anakuzaba vibao
> usoni kukuchapa fimbo humkong'oti kichwa cha nguvu ukamtoa meno kama ambapo
> ungemfanya hivyo mswahili mwenzako! tatizo.
>
> Ninadhani unafahamu kuwa uonevu huku TZ ulianza na Mwarabu kutoka Oman akiwa
> matembezini kuona Kisiwa cha Mafia kisha za ZNZ vilivyo vizuri akaamua
> kuhamia. Alikuja kustarehe na alituumiza hasa manake mama anapasuliwa
> kuangalia mtoto analalaje tumboni. Mkwezi anatunguliwa juu mama aone mtu
> akifa inakuwaje. Bwana kakaa na mtwana anafanya kazi. hii ya kubweteka
> imeumiza na inamaliza pale mwarabu alipokaa. Coastal areas (Pwani, Morogoro
> Region, Lindi, Mtwara, Tanga) na kwengine walipokaa-(Tabora) ni Sleeping
> Giants pamoja na kuwepo raslimali bwerere. Mbeya, Rukwa, Iringa, Ruvuma
> maeneo makubwa ya wakristu-The Big Four katika uzalishaji chakula cha Ziada
> na Kilimanjaro hasa Moshi-The Industrialists. Kagera-Bukoba-Wasomi mafao ya
> kuwa close na Uganda. Lakini ndio wanaongoza nchini kwa Malnutrition? Kuna
> Missing links katika maisha yetu, penye miti hapana wajenzi!! tutatue haya
> yanayoonekana badala ya kuumba mengine ya kutugharimu usalama na uhai na
> umasikini
> wetu.
>
> Kama kuuza nchi kwa waarabu na wazungu mababu zetu waliuza. Kisiwa cha Kilwa
> kikanunuliwa kwa Kitambaa ya yadi 40 kisha mtawala mbantu akaambiwa hama!!
> Mwaramu aliivamia ZNZ utumwa kila kona tukiuzana wenyewe kwa wenyewe
> tukivamiana na kuuzana mateka kama inavyotokea huko Iraq, congo, Somalia,
> Sudan. Toa hela ukomboe mateka.
> Mzungu kaja kukomesha utumwa na kutawala. Na tunatawaliwa hadi leo kwani
> hatufanyi kazi kwa juhudi kujikwamua. Akina Mchina, Mkorea atatulimisha na
> tutapanga
> foleni kutwa na majembe yetu ya mkono ambayo tunapiga kelele eti hayalimi
> hayafai. Huko kwa Mkorea yanalima na kufaa.
> Jibaba kutwa linatembeza chupi na sidiria za mitumba DSM ardhi kwao hata
> mtama ukidondoshwa na kinoga-ndege ukaota mahala utaushangaa ulivyoota vema
> na mzuri. Tupo amekaa anasubiri bajeti isomwe na gas ielezwe ama
> sivyo-Achome nyumba za serikali na makanisa. Hizi za kuchuma makanisa si
> dini bali Cults.
>
> Tumebweteka, bado hatujitambui. Tuna kila kitu ila tupo tunataka vitelemke
> kama mvua. Tunajitia tu watu wa dini huku tuma imani potofu na maovu kibao.
> Unasali sana lakini unaongoza kusafirisha, kupokea na kutawanya madawa ya
> kulevya. Unasali sana lakini umepangia shoga chumba au nyumba au u mbakaji.
> Hii kugombana Sunni na Shia  ni ubinafsi tu na visingizio vya kijinga kwa
> binadamu. Kwani kama wewe na Imani yako ukisali sana nami nikisali sana kwa
> utiifu na karama kumcha Mungu kuna tatizo gani na kila mtu ana hekalu lake?
> Ukichanga hela msikitini kwa maendeleo ya watu wa dini yako kuna ubaya
> gani? nani anakukataza?
>
> Kuja wazungu na kumsaidia Saadam na whoever kisha kuwapinduka kuwaua ni
> mwendo katika society na stage zake ya primitive communalism, feudalism,
> capitalism, neo-colonialism na sasa post-neo colonialism Digital-Liberalism.
> Kama tukizubaa-UDINI utatumiwa sio tu na wageni hata Sisi wenyewe
> tuliobweteka tusiojitambua wenye visingizio visioisha. Inatakiwa tujue dini
> ni nini na Cult ni kitu gani. Ndio maana unaona wafuasi wa cult hizo-Al
> gaeda, Njanjaweed, Al-Shaabab etc; Kibwetere, Kony wanaua, wanatia vilema
> watu, wanabaka, wanaiba mali na kusafirisha ulaya au kununua sialaha na
> kuzipa kampuni maeneo wachimbe madini huku wakiua. Wanabaka vitoto, me na
> ke. Wanalinda mimea ya kutoa cocaine na huku anasali sala 5 anaonyeshwa ktk
> TV anasali. Hii ni Cult. Mungu awe wa Mwislamu au Mkristu-Mungu wa kweli
> haruhusu haya. Tusitetee ujinga.
>
> Mbona tulipigana
> vita kuu zote wababa wetu wakaenda kupigana kwa ajili ya mzungu nje ya
> Afrika. watumwa walitolewa africa na kwenda visiwa vingi kumfanyia kazi
> mzungu na mwarabu? Na bado, tunabaguana kwa rangi mwafrika huyu bora na huyu
> anajiona bora kuliko huyu wa mchanganyo huu au ule. Na ukifahamu baadhi ya
> visiwa vinawatu waliouzwa utumwa huko na kuchanganyika lakini ni toka africa
> pande moja-bado tunabaguana. Waafrika nasi ni watu wa kujitambua? hata
> ukiambiwa funika biashara ya zamaki zisitue inzi, usiuze biashara
> barabarani-mavumbi, moshi wa magari chakula kinaingia sumu za lead; maji
> machafu umwagayo na taka ngumu mitaroni ni hatari-unaandamana na kupiga
> police. ila ukipata tende na busha, kifaa etc-unaye wa kumlaumu kama
> tunavyolaumu ukristu/makanisa na maendeleo.
>
> Unapoletewa msaada/misaada ujenge misikiti ya rangi moja kuanzia dar hadi
> Tunduma-wewesema-kati ya hiyo misikiti mia 50 tu ijengwe hela zilizobaki
> zijenge mashule na zahanati. Ili usichange
> hela za maendeleo kama makanisa-wale mbuzi na ngamia wa Ifta jenga
> hospitali kuu. Unamlisha leo kesho hali bora utumie hela kwa maendeleo
> endelevu ndivyo yafanyavyo makanisa. Muige jirani afanyavyo vema usikodoe
> macho tu na kucheza bao kutwa bila malengo.
>
> Hivi Mzungu hajaingia Syria-wanapiga kelele kuwa wametengwa mbona USA
> haiingii kama ilivyoingia kwingine. Wanaomba kutumia njia itakayotengwa
> kutoa misaada kwa waathirika. Lakini silaha za huko wanazipata nchi jirani
> ktk magomvi yao. Unafahamu pia kuwa Mama wa Kijana wa Syria ni Muingereza,
> wataingia bila uangalifu kuua vijukuu?
>
> Wamuingie Iran avurumishe mabomu ya sumu aue ulimwengu mzima.Huyo ni mbabe
> kama kijana wa Syria. Huyo ni kifaa-Jembe.
>
> Kama vile serikali ya TZ inavyotumia akili kutokumfunga Sheik Ponda  jela
> kifungo cha ndani na kutokukurupuka katika huu uchomaji makanisa kuamua vya
> kuamua kwa kuogopa moto utawaka nchi nzima, ndio Europe na USA na UN inavyo
> buy time
> suala na Syria kuacha wajiteketeze wenyewe na Somalia imechosha.
> Ukikurupuka na uamuzi-wenye elimu ndogo wasioona mbali watachoma nchi nzima
> kama vile wachomavyo mahakama na vituo vya police na magari yao lakini kesho
> wanataka waje police wawasaidie kuna ujambazi au matatizo na mafaili
> mahakamani wamechoma ushahidi wa kesi za ndugu zao numepotea. Police
> atakujaje jana umempiga mawe. Choma Muhimbili au Aga Khan/TMJ hospital.
> katika walioungua na moto huo ni nduguzo wanaohitajiwa kutibiwa hiyo
> hospitali ya rufaa. utawatibuje? Kuna akili hapa? Tuige Somali kuharimu
> namna hii Why?
>
> Ukatili wa waislamu au uarabuni haukuletwa na Ukristo au wazungu. Infact
> wakristo wana vituo vya watoto yatima na waliotupwa, zeruzeru karne toka
> dini iingie. Imelea wazee ktk vituo vya wazee na wagonjwa wa ukoma mpaka
> vilipotaifishwa na GVT baada ya Uhuru. Na bado wanavyo baadhi. Lakini
> ukatili ambao upo uarabuni, india na hata petu wazungu wametetea na
> kutufundisha haki
> za binadamu tuzizingatie. Ndoa za umri mdogo kimila au kidini (jampo kidini
> mnataka GVT isiingile); kukata viungo watu kutokana na makosa; kuua kwa
> ajili ya heshima kifamilia eti msichana kabakwa na ubakaji ndani ya familia
> (Soma women in Arabic World. Google tafuta kitabu hiki) na documentaries
> nyingine kibao.
>
> Berlin ilishapita karne pia utumwa tusikubali kuvirudisha hata kama vikija
> na digitali kabambe. Mh Nyerere baba wa taifa alisema-akikuhonga ili umpigie
> KURA, KULA akupacho lakini KURA ni SIRI yako-USIMCHAGUE. zitahesabiwa tu na
> kuonekana pungufu atakomoka. Tuitumie digitaly, ushauri wa kiuchumi bali kwa
> manufaa yetu sio yao waje kwa mbinu za misikiti au misaada kikanisa!! kama
> kumuua Saadam na Gadafi mbona Sisi tumemuua Marehemu Karume Msikitini.
> Tumepata mafanikio gani kwa kumuua mtendakazi huyu. Tunashiriki na magaidi
> kuua watu wetu kwa faida gani kama kumuua Gadafi-wamepata walichotaka hao
> washiriki rafiki wa waovu wa nje? Hata ktk
> familia wapo wanafamilia wachochezi, wachonganishi, dhuluma ya mali ya
> milathi, wabinafsi na huwa tunawakabili. Sembuse ktk Nchi au jamii? Sio
> Ukristu tu unaonea ktk jamii ya makabila na dini nyingi.
>
> Tukikubali kutumika na kukubali mawazo finyu kama haya utoayo hapa ya kuona
> uadui ni ukristu na makanisa katika nchi ambapo wakristu na waislamu ni 40%
> vs 51% na kukubali kutumiwa na wazungu au waarabu kidini au
> kiuchumi-tutaishia kumalizana wenyewe na kurudi ktk umasikini mkubwa kuliko
> huu. Kuna mahala dhehebu moja ni 90% au 99% na resources zote
> zipo-tumebweteka. TZ  rape ipo ya vichanga, wasichana, watto me.
> Sodomy/Ulawiti upo sana TZ vijana wanaongezeka sana na majority ni vijana wa
> kiislamu.nimefanya tafiti hizi na ninamtandao mkubwa sana wa vijana hawa.
> Tuna mengi ya kufanya nchini kuokoa taifa kutoka umasikini na uovu.
> Tukikubali kumuadhibu aduai kivita kwa kumbaka au kumlawiti-tunaongeza
> UKIMWI ambao hauna dawa-tunaua taifa kama
> itokeavyo kwa wenzetu. tayari tuna matatizo mengi. Tukatae uovyo wa Vita,
> Ushoga na Vita na uovu wake. Tudumishe mila na desturi za kiafrika kabla ya
> kuja wageni ambapo mtumwa uliyemteka katika mapambano ya vita kikabila
> ulimuoa akakuzalia watoto, alikaa kwako akafanyakazi na akaja kuitwa jina la
> kabila lako linaloonyesha kuwa huyu Mhehe alisia na huyu mhehe-mtekwa. Mungu
> mmoja ya Suni na Shia hayana tija kweu wayatakayo ni wabinafsi na huu upo
> ktk dini zote-tuukemee.
>
> Uvivu, kubweteka, majungu na Ujinga ndio tatizo kuu nchini sio udini. DINI
> ni kisingizio tu wa hao wenye Cult ya ubinafsi.Ndio hao wanaokaa kuhamasisha
> vurugu ambapo ktk maeneo yao wameshindwa kuhamasisha maendeleo pamoja na
> kuwepo raslimali. wanatafuta short-cut ya misifa.Easy come- Easy Go.hata
> reasoning yetu inaelekea huko ktk kugundua chanzo cha umasikini wetu
> (Ukristu!!?). Pole Chamani. Adios Amigo. Nimechangia ya kutosha-udini
> siupendi.
>
>
> --- On Wed, 22/5/13, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
>
>
>>From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>>Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto
>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Date: Wednesday, 22 May, 2013, 5:41
>>
>>
>>Kiwasili,
>>Kwa hiyo lengo la hizi nchi za Magharibi Afghanistani na pengine Iraq ni
>> nini maana kwa mfano kabla ya Taleban kilimo kilikuwa juu sana lakini
>> walivyokuja wao kilimo kikashuka sana.Wametimuliwa wamekuja hao mabwana
>> wakubwa hali ndiyo hiyo sasa nani wa kulaumiwa hapo.
>>Sadam alifurushwa ili kuwasaidia wananchi wa Iraq nao wapate uhuru na
>> demokrasia lakini hebu angalia kinchoendelea
> huko ni nini na hapa wanalaumiwa nani Washia au Wasuni au Wavamizi?
>>Bilashaka yataifika Iran kwani nao ni washenzi.
>>Hivyo hivyo Libya.
>>Leo Syria imekuwa mwiba maana aliyeko madarakani ni adui na anayempinga ni
>> adui.Vita haieleweke zaidi ya kuchochea moto ili nchi iwe kama Somalia na
>> watu wafe kisha mkatoe mifano kuonesha ushenzi na ukatili wa Waislam na
>> Waarabu.
>>Kweli lakini dadangu?
>>Leo unajisifia kwa huduma za
> kijamii mnazozitoa hapa nchini lakini huku mkipata msaada wa serikali kisha
> mnawadharau wenzenu.Mlituwahi tangu kwenye Mkataba wa Berlin na matokeo yake
> ndicho kiburi hiki mlichonacho.
>>
>>
>>
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>________________________________
>> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Wednesday, May 22, 2013 12:19 AM
>>Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto
>>
>>
>>
>>
>>Kitigwa-attachment hapa inafundisha kuhusu vita vinavyoendelea duniani
>> mfano afghanistan na kwingineko ambavyo vinasemekana ni vya kidini.
>> Lakini, pamoja na kuchomewa makanisa-mkatoliki au wakristu hawatolipiza
>> kisasi kukawa na vita ya msalaba.Ukipiga la kushoto atageuza la kulia.
>> Utakwenda kwenye huduma zake za afya utahudumiwa tu. Ila atasali kuomba
>> Mungu atende Miujiza yake.
>>
>>Hivi DINI na madawa ya Kulevya na Mungu vinaendana? Nimehoji vita vya dini
>> vinavyoendelea kwa wenzetu dhehebu hili vs lile na kubaka, kutia vilema na
>> kuua. kuna Mungu hapa?  Hii haiingii akilini kuwa ni mapigano ya udini.
>> Unaua unamtaja Mola, unasali huku unalinda unga wa cocaine au maua yake ya
>> poppy ya kukusaidia kuuza madawa ya kulevya yanayoua na
> kuharibu watu na ni Haram-hapa
> pana Mungu kweli? Unasali sana lakini fedha yako inatokana na magendo ya
> cocaine au mengineyo. Unasali huku unatenda uovu uwe wa dini yoyote ile.
> Hapa Mungu huna.  Ona hivyo vitoto vya huyo bab mpiganaji ktk attachment.
> Kingine kimevaa hirizi kibao ila hapo vinavyovuta hewa ya unga unaoharibu
> ubongo na mishipa yake.
>>
>>Haya hata huyo Kony anayepigana kwa jila la Yesu lakini anajificha hataki
>> afe kama Yesu msalabani. Yeye ambaye anapigana kwa jina lake Yesu
>> hajitokezi, ameua anasakwa. huyu ni wa Yesu kweli. Hataki awe mtakatifu
>> kama mashahidi wa Uganda wanachomwa moto wanamkiri Yesu au Mt Stefano
>> alivyopigwa maewe hadharani akimfia Yesu na watakatifu wengineo. Kony
>> anaua lakini yeye hataki kufa kwa kujitokeza na kutundikwa msalabani.
>>
>>Kibwetere kaua kazika watu kanisani na ktk majumba ya eneo la kanisa
>> kawafukia kisiri. Kakusanya dhahabu-mikufu, pete za waumini na vito kibao
>> vya thamani kajaza masanduku eti anavitoa mapepo. Kawafungia kutwa kucha
>> wakisali na kuomba. Kisha akalitia kanisa moto. Kuna mama mmoja alitoroka
>> kwenda home kula maana hawakula kutwa akaona akale akajipenyza kwenda
>> chooni hakurudi. Anarudi ile saa kumi na mbili jioni akaona kanisa
>> linawaka moto, lakini akamuona Kibwetere na walinzi wake wakipakia
>> masanduku ktk gari wakitimka. Milango ya kanisa imefungwa kwa nje muda huo
>> wa kufumba macho na kuomba kwa nguvu na kelele. Watu wanateketea kwenda
>> kwa Mungu.
>>
>>Na wale zamani walipelekwa kisiwa kimojawapo (Jamaica??) wakapewa sumu
>> kunywa waende kwa Mungu. Na lile kanisa la kizushi la Kuresh USA
>> walivalishwa sare, wamefunga mabegi yao, mamelala kitandani na sare zao na
>> mabegi na kunyimwa oksijeni na kufa ndege ikiwa inawasuribi kupakia roho
>> zao ziende peponi. Kuresh hakufa. alikamatwa. Story ni nyingi za hizi dini
>> za kuzuka zinazoanzishwa na wajanja wachache
> ndio zinakuja na vituko.
>>Ni sawa na wale wanaoongeza mambo yao binafsi katika misahafu ya Mungu kwa
>> manufaa yao binafsi Mungu hakusema hivyoktk vitabu vyake vitakatifu
>> asilia.
>>
>>Huu wao wa kuchoma makanisa au mahekalu yasiyo ya dini yao ni ubinafi.
>> Coptic churches Egypt ni chache na wakristi labda 0.1% lakini vikanisa
>> vinachomwa, hupati ajira ukiwa mkristu na ukisilimu kuolewa ukaja kuachika
>> ukarudia ukristu unauawa. Hii, haijazuia wasipigane walivyofikia sasa na
>> bado vikanisa hivyo viduchu ni Tatizo vinachomwa daily.
>>
>>Ubinafsi, wivu usio muono wa mbali na kujikanya, njaa, kutokuwa na malengo,
>> uvivu na kubweteka kusiko Vision. Jiulize, Ukishakuchoma shamba lako
>> litakuwa limelimika? Utakuwa umevuna mazao na  mtoto wako atakuwa kasoma
>> shule na kupasi? Waliobweteka Uarabuni wana visima vya mafuta makampuni ya
>> kizungu yanachimba kwa technolojia zao wenye mali wanauza wanafaidi
>> mihela. Sisi huku tuna ardhi oevu-tulime!! Tuache story za simba na yanga
>> na manchester. Mswahili asiye muono wa mbali externalization of
>> errors/mistakes ndio tija kwake isiyo na measurable positive outputs.
>>
>>
>>--- On Tue, 21/5/13, F kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:
>>
>>
>>>From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
>>>Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto
>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>Date: Tuesday, 21 May, 2013, 6:39
>>>
>>>
>>>Chamani,
>>>Wanaoendeleza mateso na kuvunja, kuchoma makanisa lazima ni wa imani ya
>>> kiislamu tu na si vinginevyo.
>>>Kuna watu wanasema ni maadui toka nje wanataka tupigane wenyewe kwa
>>> wenyewe mi nasema hizo zote ni propaganda tu ya kutaka kuficha
> ukweli,
>>>Kama wangekuwa ni maadui kutoka nje wala wasingelenga makanisa na wakristo
>>> ambao hawajishughulishi kulipiza kisasi, wangechoma, bomoa au lipua
>>> msikiti mmoja tu na kesho yake waislamu woote wangekuwa mtaani
>>> wanaandamana na kuleta fujo za kulipiza kisasi kwa kuvamia na kuharibu
>>> mali za wakristo.
>>>Kwa hiyo ndugu yangu Chamani jiangalieni sana huko kwenye kambi yenu na
>>> mjirekebishe kwa kuambiana ukweli la sivyo pakinuka nchi hii hata nyie
>>> hamtasujudu kwa raha misikitini kwenu.
>>>
>>>
>>>kitigwa
>>>
>>>
>>>2013/5/21 amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>>>
>>>Alexander,
>>>>Hivi uwezo wenu kwa kufikiri ukoje?
>>>>Hivi tatizo la duniaa hii ni Alqaida na Taliban?
>>>>Hivi siyo vita yenu ya Msalaba mlioianzisha huko Afganistani na Iraq?
>>>>Mnazipiga nchi za watu kisha mnawalaumu wanaopigwa?
>>>>Wakati mwingine naomba mjitahidi kuwa huru kutoka katika UBUBUSA(DOGMA}
>>>> wa imani zenu.
>>>>Mifano mbona ipo mingi tu ya LRA ya Kony mpaka Kibwetere!
>>>>Ububusa wenu unaipeleka nchi pabaya.Kila chochote kinachofanyika dhidi ya
>>>> kanisa na viongozi wake tayari kimefanywa na Waislam ndiyo maana mnapata
>>>> tabu hata suala la mlipuko wa Arusha.
>>>>Ukizungumzwa udini ni waislam jamani mpaka lini ninyi?
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>Walewale.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>________________________________
>>>> From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
>>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>Sent: Monday, May 20, 2013 10:19 PM
>>>>
>>>>Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>Kiwasila,
>>>>Hao wachoma mahekalu hawaogopi CCTV nitofauti sana na vibaka, maana wao
>>>> wanasukumwa na IMANI.  Ndio maana inakua vigumu kushughulikia Boko
>>>> Haramu, Taleban, Al-qaeda, na Alshababu. Wako tayari kufanya lolote kwa
>>>> gharama yoyote maana wanaitetea 'IMANI'. Kumbuka wengine wamefundishwa
>>>> na kushika, 'Ukiua kafiri unaenda ahela na ukijilipua na kuuwa walei na
>>>> maaskofu utapewa zawadi ya mabikra ahela. Ni imani za jinsi hii ndio
>>>> zinawafanya watu wasiwaze mara mbili kufanya mauaji yasiyo elezeka.
>>>>Alexander
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>________________________________
>>>> From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>Sent: Monday, May 20, 2013 3:00 PM
>>>>Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>Angalia faida ya CCTV cameras na ya Video Camera na Camera za Kawaida ktk
>>>> kufichua uovu. Jamaa kafumaniwa, lakini gari la kumpokea kutoka gholofa
>>>> la juu liliitwa kumpokea. jee sisi tuna magari namna hii ya vono?
>>>> uliziona gari za Police USA Boston kulikotokea mripuko ni ya kutisha na
>>>> kiusalama hali ya juu. Maendeleo kiuchumi na mabadiliko kijamii yaje na
>>>> maendeleo kiteknolojia.
>>>>
>>>>Pili-Wazo: Kama mpira wa yanga na simba siku moja umeingiza milioni mia
>>>> tano- si tunaweza kuchangia maendeleo sio kuangalia mpira tu? Makanisa,
>>>> misikiti inaweza kuleta maendeleo ya jamii zao kwa kuchangia au kufanya
>>>> au kuandaa mashindano ya namna hii kama ya ushindani wa Simba na Yanga
>>>> kukusanya mapato ya kujenga na kuongezea michango ya waumini. Twachangia
>>>> arusi (send in, send-off) na mipira. Twaweza. Chuki na kuchomeana
>>>> mahekalu why?
>>>>
>>>>Tumejenga kwa miaka 50 bado tupo
> hapa-tuanze kubomoa inakuwaje tena. Wivu wa elimu ni pamoja nawe kusoma
> sana, wa maendeleo ni wa wewe kuiga kuyatafuta. Mbona michango ya arusi
> mikali sana? vipi ukiwa msikitini/kanisani kuchangia shule ya vidudu,
> zahanati, kisima cha maji. Pili, kila kanisa au msikiti-uwe na borehole ya
> maji kutoka huduma. Kila msikiti mkuu kikata uwe na shule ya vidudu au ya
> Msingi na kila wa wilaya shule ya msingi, kimkoa kila dini/dhehebu iwe na
> secondary na high school moja na kitaifa Chuo Kikuu, hospitali ya Kitaifa.
> Kila dhehebu linachangia wenyewe kwa toa ndugu au sadaka. Lawama itakwisha.
> Kila dhehebu linagharimia mfumo wake wa mahakama ambao unatambulika kitaifa
> kwa ajili ya rufaa ikitakiwa.Vyeti vya ndoa vimekwisha kutolewa kwa
> madhehebu yote vinatambulika na GVT. Ni mambo madogo tu yakiwa coordinated
> na walezi kimadhehebu kupata TOT training-Tutapeta kama tutajituma.
> Maana-hata kwenye dini moja wanapigana anyway na vita haiishi, vilema kila
> kona hawana
> msaada, wanateseka. Why tuwaige Alexander?
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>--- On Mon, 20/5/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
>>>>
>>>>
>>>>>From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] KUTOKA TANGA - Makanisa mawili yachomwa moto
>>>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>Date: Monday, 20 May, 2013, 11:54
>>>>>
>>>>>
>>>>>Kiwasila inauma sana, hakuna maendeleo katika ubinafsi.
>>>>>
>>>>>
>>>>>Huu ushauri wako nimuhimu...'Ufike
> wakati nchi za ulaya sisipokee wakimbizi, isiwauzie silaha nchi za africana
> bara la Asia, UN iache kwenye nchi zipiganazo zijimalize
> zenyewe bila misaada labda wataacha.Faida gani miji ya Somalia, Syriakuwa
> maghofu? gharama ya miaka/karne ya kujenga
> miji hiyo ya maghorofa kamaLibya, Syriana sasa kubomoa'
>>>>>
>>>>>
>>>>>Nafikiri UN ikifanya hivyo watu watatia akili. Haingii akilini nchi kama
>>>>> somaliland kutotawalika maana ni kabila na dini moja. Hawa siasa kali
>>>>> wanataka kusilimisha dunia nzima, ila sasa hata mahala ambapo nchi
>>>>> nzima ni islam hakuna amani.
>>>>>
>>>>>Alexander
>>>>>
>>>>>________________________________
>>>>>
>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>Disclaimer:
>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>---
>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>>
> --
>>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>
>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>> ukishatuma
>>>>>>
>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>>---
>>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>
> --
>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>Disclaimer:
>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>---
>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
> --
>>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>Disclaimer:
>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>---
>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
> --
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
> --
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>
>>>>--
>>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>>Disclaimer:
>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>>>> that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>>---
>>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>--
>>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>>---
>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
> --
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>>
> --
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment