Friday 3 May 2013

Re: [wanabidii] HAYA NDIO YANAYOUWA MAKANISA YA KILOKOLE

Hili la Ibada Ndefu hata makanisa yasiyo ya Kilokole yako guillty vile vile. Mimi ni mkatoliki na kuna wakati huwa nakwazwa na misa kuwa ndefu bila ulazima wowote........
 
Makanisa yafike mahali yajue kuwa tunayahitaji sana kama yenyewe yanavyotuhitaji!!!!!

2013/5/3 Paschal Leon <paschalleon@yahoo.com>
YES, KUNA YA MSINGI UMEANDIKA.
 
IBADA NDEFU: NI NZURI KWA SIKU YA BWANA. NI SIKU YA KUPUMZIKA, HIVYO NI VYEMA KUPUMZIKA NA BWANA KWA KUMTUKUZA. KAMA UNA DHARURA, SI LAZIMA UABUDU SIKU NZIMA, KAMA UNA MUDA; NI VEMA KUFANYA HIVYO. NIMEBARIKIWA SANA KWA KUABUDU KWA MUDA MREFU.
 
IBADA KILA SIKU: SI RAHISI KWA MAJUKUMU TULIYO NAYO. INAWEZEKANA KWA WATUMISHI AMBAO KAZI YAO NDIYO HIYO NA SII KUTWA NZIMA KUFANYA IBADA. KUNA MAJUKUMU MENGINE YA KIJAMII.
 
KUTOA SADAKA: NI KWELI; MTU AKIFUNDISHWA NA KUELEWA NI RAHISI SANA KUMTOLEA MUNGU. WATUMISHI WAFUNDISHE WAUMINI WAO BARAKA ZINAZOAMBATANA NA UTOAJI; WAKISHAELEWA, WAACHE WATATOA.
 
WASOMI MAKANISANI: WAPO NA WANAMWABUDU MUNGU. SII LAZIMA KUFUATISHA KILA ASEMACHO MTUMISHI. AKISEMA USEME AMINA MARA SABA; KAMA ROHO WA MUNGU HAJAKUSHUHUDIA KUFANYA HIVYO, ACHA. USIFUATISHE KILA KITU MAANA WALE NI BINADAMU KAMA WEWE NA MIMI.
 
PLEASE NOTE THAT SALVATION IS PERSONAL; YOU CANT FORCE IT. NI KWA NEEMA TU.
 
ASANTE.

--- On Thu, 5/2/13, F kitigwa <kitigwa@gmail.com> wrote:

From: F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] HAYA NDIO YANAYOUWA MAKANISA YA KILOKOLE
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, May 2, 2013, 8:38 AM

see the attachment uone hayo pia yanasababisha watu kukimbia

2013/5/2 Tracy John <tracykwetu@gmail.com>
TUSIPOKUWA MAKINI NA TUSIPOANGALIA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE YATAKUWA HAYAVUTII KABISA RIKA FULANI LA WATU MAANA KUNA MAMBO MENGI AMBAYO TUNADAI NI MUNGU AU ROHO MTAKATIFU AMBAYO HAYANA UHUSIANO KABISA NA MUNGU NA ROHO MTAKATIFU. RIKA LA WASOMI NA WATU MASHUHURI KATIKA JAMII TUTASHINDWA KABISA KUWAVUTA KWA BWANA MAANA KUNA UPUUZI MWINGI AMBAO TUNAUFANYA KWA JINA LA ROHO MTAKATIFU AMBAYO HAYANA UHUSIANO WOWOTE NA ROHO MTAKATIFU.

IBADA NDEFU KULIKO KAWAIDA KWA KUDAI KUWA NI ROHO MTAKATIFU ANATEMBEA ZINAWAKWAZA SANA WATU HASA WATU WA MIJINI NA MAJIJINI AMBAO WANA MAMBO TELE YA KUFANYA KUKIMBIZANA NA HALI YA MAISHA INAVYOKWENDA. JE, WAPENTEKOSTE WENZANGU HATUWEZI KUFANYA IBADA FUPI ZAIDI ILI MTU AJUE ANAKUJA KUABUDU NA BAADA YA HAPO ANAENDA KWENYE SHUGHULI ZAKE?

IBADA ZA KILA SIKU. HIVI KWELI WATU HAWANA KITU KINGINE CHA KUFANYA ZAIDI YA KUJA KWENYE IBADA KILA SIKU?

KUHUBIRI JUMBE AMBAZO HAZIJAANDALIWA VIZURI VYA KUTOSHA AMBAZO HAZINA NYAMA ZA MAARIFA YA KIMUNGU NA AMBAZO HAZINA UWEZO WA KUWASAIDIA WATU KUMWAMINI MUNGU KUTATUA CHANGAMOTO MBALI MBALI WANAZOKUTANA NAZO KATIKA MAISHA. JUMBE ZETU ZINA HALELUYAH, BWANA ASIFIWE, MPE BWANA MAKOFI, SHANGILIA, KULIKO KUWA NA NYAMA ZA KUSAIDIA WATU KUMJUA MUNGU ZAIDI.

KUWAFANYA WATU KAMA WATOTO WA CHEKECHEA WAKATI WANA HESHIMA ZAO. SEMA HALELUYAH MARA SABA ALAFU YA SABA ISEME KWA MUDA MREEEEEEEFUUUUUUU. DUH! AIBU. NDO MAANA WATU WENYE AKILI TIMAMU WANAYAKIMBIA MAKANISA YETU.

MAKANISA YETU MENGI TUNAJIINUA SISI WENYEWE KATIKA MAZUNGUMZO YETU NA KUWASHUSHA WATUMISHI WENZETU WAKATI TULITAKIWA KUMWINUA YESU NA KUMSHUSHA SHETANI. KUINUA BARAKA NA KUSHUSHA LAANA. KUZIINUA NGUVU ZA MUNGU NA KUSHUSHA ZA SHETANI.

YAPO MENGI SANA YANAYOKERA. TUSIPOBADILIKA TUTAENDELEA KUTOFAA KWA KIZAZI HIKI.

JIULIZE SWALA MPENDWA HIVI UKIONDOA KWENYE IBADA YAKO KILA KISICHO MUNGU AU KISICHO SAWA NA MAANDIKO UTABAKI NA IBADA?

KAMA UMEGUSWA NA UJUMBE HUU UWEKE KATIKA COMMENT KILE AMBACHO WEWE UNAONA I KERO KATIKA NAMNA TUNAVYOIENDESHA KAZI KAMA MAKANISA YANAYOAMINI KATIKA NGUVU YA ROHO MTAKATIFU.

BILA KUSAHAU SWALA LA KUTOZA SADAKA, MAANA ILE SIO KUTOA SADAKA NI KUTOZA SADAKA KWA KILA KITU AMBACHO WATU WANAMWAMINI MUNGU KWACHO. ACHA KUWACHOCHEA WATU KUTOA, WAFUNDISHE KANUNI ZA MUNGU ZAUTOAJI KIBIBILIA NA KAMA HAIPO KWENYE BIBILIA ACHANA NAYO ALAFU WAACHIE WATU MAAMUZI YA WATATOA AU HAWATATOA, WATATOA NINI NA KWA KIWANGO GANI. ACHA KUFANYIA WATU MAAMUZI ENEO HILO.

NGOJA NIACHIE WENGINE WAONGEZE.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment