Pamoja na rafudhi yake ya kihaya lakini "tumemuelewa" jamani kasema ya msingi kabisa tabia ya watu wengine kujiona miungu watu kwenye secta fulani si kitu kizuri tunapaswa kujirekebisha , mfano ni kitendo cha mh Ruge kuamuru muziki wa bongo fleva usipigwe siku nzima radio clauds, inajidhihilisha kile JIDE alichosema ni sahihi,
2013/5/9 Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
Hapa mimi nimependa kiswahili tu wadau. No wonder huyu mwandishi ni mtani wangu kutoka upande mwingine wa ziwa Viktoria. Haya matumizi ya maneno yanahitaji uwe makini.Mfano mwanamziki 'hasipoingia kwenye mtandao wa Ruge Mtaaba' inamaanisha mwamamziki asipoingia kwenye mtandao wa Ruge Mutahaba.Ni hayo tu kwa leo
--2013/5/8 joyneth mbogo <joymbogo@yahoo.com>
Kama lugha inasumbua ni vizuri hata ukatumia lugha unayoielewa, Watanzania Kiingereza shida na Lugha ya Taifa shida sasa tunaweza nini? au lugha za makabila yetu?
From: elias mhegera <mhegeraelias@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>; Bukoba Wadau <bukobawadau@gmail.com>
Sent: Wednesday, May 8, 2013 1:40 PM
Subject: Re: [wanabidii] Fwd: Ruge Mtahaba kashindwa kujibu shutuma na hoja za Lady Jay Dee
--sawa Buberwa lakini jaribu kuwaomba watu wahariri mada zako kabla ya kuziposti humu kwa sababu umetumia sana lafudhi ya Kihaya kiasi kwamba umepoteza utamu na maonjo ya mada yako
nawasilisha,EliasElias MhegeraMedia & Information OfficerTanzania Human Rights Defenders CoalitionTel: 255-0754-826272Email: mhegeraelias@yahoo.comThe only thing we have to fear is fear itself
From: Buberwa Jackob <buberwajackob@gmail.com>
To: Bukoba Wadau <bukobawadau@gmail.com>
Sent: Tuesday, May 7, 2013 3:27 AM
Subject: [wanabidii] Fwd: Ruge Mtahaba kashindwa kujibu shutuma na hoja za Lady Jay Dee
--Boss wa Clouds FM Bw.Ruge Mutahaba katika mahamuzi ya "hasira za mkizi"Ruge Mutahaba kashindwa kujibu shutuma za comando Lady Jay DeeWasanii hamkeni kujua nani mchawi wa kazi zenuWatanzania leo tulikua tukimsikiliza mkurugenzi wa utafiti wa redio Clouds FM Bw.Ruge Mtahaba katika mahojianona redio yake ya clouds fm mahojiano ambayo tulikua tukitegemea boss Ruge ajibu shutuma dhidi yake za kumtilia kauzibe katika kupata ridhiki mwanamuziki Lady Jay Dee bint machozi, katika mahojiano hayo ambayo sisi wasikilizaji tunayafananisha sawa na KESI YA NYANI mwamuzi awe Ngedere .Tulichokua tunakitegemea katika mahojiano ni majibu ya shutuma dhidi ya Bw.Ruge lakini cha kushangaza Ruge kashindwa kabisa kujibu shutuma zinazomkabiri baadala yake akawa anarusha rushua maneno na kuhusisha mifano yawasanii walishuka na nani kapanda , na kuenda nje ya hoja ya msingi,mwisho wa mahojiano Bw.Ruge alikurupuka kwakauli za kuamrisha kuwa ni maarufu kupiga nyimbo za kizazi kipya (Bongo Fleva) kwa mda wa siku nzima katika kituo cha clouds fm.Sasa watanzania tunajiuliza hivi redio ya Clouds FM au Redio ya Ruge na wasanii pamoja na sisi wanachi nani ? muhimu.kwa karne hii ambayo taifa lina vituo vya redio zaidi ya 80?Kwani wasanii wanamuhitaji sana Ruge na mshirika wake Bw.Kusaga,yaani wao ndio tuseme miungu ya wasanii?
Wananchi walio wengi wanamuunga mkono Lady Jay Dee kwa kutokukubali afanywe ngazi au kitendea kazi cha kuwanufaisha wanyonyaji katika soko la muziki,na kahamua kujitegemea.mahamuzi hayo ya Jay Dee ndio yanamfanya Jide atake kugeuzwa "Kondoo wa Sadaka" .
MRADI WA RUGE MTAABWA KATIKA SEKTA HII YA MUZIKI NI KUUA MUZIKI WA DANSI NA TAARABU NA KUJENGA MSINGI WA UTAMADUNI NA MZIKI WA KIZAZI KIPYA .Ukisikiliza sana maelezo ya Ruge katika mahojiano utagundua wazi kuwa alijenga au alijaribu kujenga mtandao wakuwamiliki na kuwajenga wanamuziki wa kizazi kipya kwa manufaa yake,yaani mwanamuziki hasipoingizwa katikamtandao huu basi hatojulikana na kazi zake azitotambulika ,yaani mtandao ambao pia unampendekeza msanii ganiaukubalike kupewa tuzo hata kama si msanii mzuri, mtandao huu pia unatumika kama sululu la kuuchimbia kaburimuziki wa dansi na muziki wa taarabu,mtandao huu pia unawalazimisha watanzania walio wengi muziki gani wakusikiliza, na mara nyingine kuwalazimisha wanamuziki nini cha kupiga( Beat) n.k.Leo Ruge anapomsema Lady Jay Dee ampe kijiti mwingine na Lady Jay Dee anaposema yeye ni Lady Jay deeanapiga muziki kwa maisha yake na kuwalidhisha washabiki wake,hakuna haja ya kupokezana vijiti katika gemula muziki. Bali mfumo huu kupokezana vijiti ni mfumo unaoitwa "Ruge Mtahaba System" na wasananii wameshaistukia kuwa si mfumo mzuri. Je ? wanamuziki wapo tayari kufanywa kete za kuchezea bao au chess!kwanini? lazima wasanii wapate pumuuzi ya uhai kutoka katika mtandao wa Ruge? hivi wasanii hawezi kusimamakidete na kuungana kwa pamoja wakajipigania na kukataa kufanya wapagazi katika sekta hii? Ruge kaonyeshaKiburi kwa kusema mziki wa bongo flava usipigwe kwa siku nzima redioni Clouds ! Sasa wasanii na nyinyiOnyesheni mshikamano na msimamo wenu kwa Ruge,kuwa nanyi ni muhimu kwa jamii ya watanzania.Je ? Nani mchawi wa kazi za wasanii na muziki wa Tanzania?Watanzania na serikali ya Tanzania imeshuhudia kuangushwa kwa makusudi muziki wa dansi wa tanzania,na kuchimbiwa kaburi utamaduni na sanaa za maonyesho wa watanzania,ujuma ambazo zinafanywa na mtandaoya siri ya wajanja wanaujumu utamaduni na muziki wa watanzania.Na wanamtandao ambao wanaangaliwa macho bila ya kufanywa chochote na watanzania au kuchukuliwa hatua zozotena serikali kupitia idara husika.Leo watanzania tunajiuliza hivi hawa akina Ruge Mtahaba wanazijua historia ya muziki wa Tanzania? na misingi yaMiziki wa Tanzania, na wale waliojitoa waenga muhanga katika kujenga misingi hiyo imara? mbona nchi za wenzetuwanaendeleza misingi na miziki yao ya awali,kama ilivyo taarabu na mziki wa dansi.Inakuaje leo hapa kuna baadhi ya wajanja wasiojua hata historia ya muziki wa tanzania watuchagulia nini? cha kusikiliza."JOTO HASIRA" KUNA HAJA YA KUWAFUKUZA KAZI NA KUVUNJA MTANDAO HUU UNAUJUMUUTAMADUNI ,MUZIKI NA WASANII WATANZANIA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--

Victor Caleb MwitaMinistry of Livestock and Fisheries DevelopmentP.O. Box 9152Dar Es SalaamTel: 0766750673, 0789142275--

0 comments:
Post a Comment