Tuesday 21 May 2013

Re: Re: [wanabidii] Ungependa nani apeperushe bendera ya CCM 2015?

Ndugu yangu Heri umenena vyema. Tujadili changamoto za taifa na kisha tuwaangalie hao wanataka kugombea je wanauwezo wa kushirikiana nasi katika kuondoa au kupunguza hizo changamoto? Na hapa angalizo ni kwamba bila kuzingatia vyama vyao. Tukisema kwa sababu huyu anatoka chama fulani hafai au anafaa kwa sababu ya chama chake tu, si kweli tutakosea.
 
Rais wa Tanzania ana madaraka makubwa sana na hii itaendelea hata katika katiba inayokuja sioni km kutakuwa na mabadiliko makubwa katika kumpunguzia Rais madaraka. Hivyo ni lazima tuchague mtu makini ambaye hata ukimwangalia kwa macho unaona umakini usoni mwake.
 
Salum
Kalgoorlie 
Western Australia 

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, May 21, 2013 5:19 PM
Subject: Re: Re: [wanabidii] Ungependa nani apeperushe bendera ya CCM 2015?
Sioni hata mmoja anayefaa kuliongoza taifa letu ebu endelea kuongeza list pengine nitamuona anayefaa
On Mon, May 20, 2013 at 7:21 PM, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
On Mon, May 20, 2013 at 8:16 AM, heri rashid <herirashid@yahoo.com> wrote:
Mwalimu Nyerere alisema katika moja ya hutuba zake. Issue si kujadili majina ya watu, Tujadili issue zinazokabili taifa halafu tuangalie nani shupavu wa kukabili changamoto hizo. Tumekalia kujadili watu wakati huenda hata huyo tunayemjadili hajui changamoto za taifa atasaidia nini?
--- On Sun, 5/19/13, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Subject: Re: Re: [wanabidii] Ungependa nani apeperushe bendera ya CCM 2015?
To: lingsadam@yahoo.co.uk, wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, May 19, 2013, 10:55 PM
Mimi napendekeza tujadili wagombea kutoka vyama vingine ili tuipumzishe CCM Lengo ni kukikarabati kikiwa nje ya madaraka kusudi kikirudi kiwe chama cha siasa hasa.----------Sent from my Nokia Phone------Original message------From: lingson adam <lingsadam@yahoo.co.uk> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Sunday, May 19, 2013 2:21:29 PM GMT+0100Subject: Re: [wanabidii] Ungependa nani apeperushe bendera ya CCM 2015?Ongeza jina langu hapo na la Yona Maro (lakini ni pale tu kama Wanabidii mtatuomba tugombee)  . Shikamooni wana M2015!!! ________________________________ From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Sunday, May 19, 2013 2:01 PMSubject: [wanabidii] Ungependa nani apeperushe bendera ya CCM 2015? Miongoni mwa watu wanaotazamiwa kuchukua fomu kuwania Urais ni Mhe.Bernard Membe, Mhe. Mwigulu Nchemba, Mhe. William Ngeleja, Mhe. Emmanuel Nchimbi, Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe, Mhe. John Magufuli,Mhe. Steven Wassira, Mhe. Samwel Sitta, Mhe. Edward Lowassa. Watatu wamwanzo ni wanachama wa kundi la M2015 (Mustakabali 2015) tulolianzishamiaka mi2 iliyopita, halifungamani na yeyote, wkt ukifika tutaamua kumpa nani kati ya hao. Je wewe ungependa nani apeperushe bendera yaCCM 2015?Hamisi Kigwangalla FacebookPage-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.--- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    
-- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    

0 comments:

Post a Comment