Wednesday 17 April 2013

[wanabidii] NISIAMBIWE SIMPENDI MAMA WATOTO WANGU!

Jamani, samahanini. 
Tafadhalini nisiambiwe kuwa simpendi mama watoto wangu, lakini haya ya Mzee JK naona sasa yanazidi.
Inakuaje Rais akiwa anaongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na ujumbe wa serikali ya nje 
hawezi kuachana na mama watoto wake hata kwa dakika moja? Hivyo hawa wawili hawawezi kuachana hata kidogo 
ili baba akafanyakazi tuliompa Watanzania? Hivyo kweli patakuwa na mazungumzo hapo na mama akiwa pembeni?
Naona hata Membe yamemshinda haya maanake kajiweka kipembeni.
Is our delegation on an official visit or on a love affair?

Ona mwenyewe hapa kutoka ippmedia:

0 comments:

Post a Comment