Friday 26 April 2013

[wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community Bank

Kwenye kikao cha Nzega Full Council (Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Nzega) tumefanikiwa kupitisha uamuzi wa kuanzisha Nzega Community Bank, mtaji unatokana na pesa za ushuru wa huduma tulizokusanya kutoka kampuni ya Resolute (Tanzania) Ltd baada ya harakati zangu nikishirikiana na wananchi wa Nzega. Ni uamuzi wa busara na wa kimabadiliko, ni imani yetu kuwa tutakamilisha mapema mchakato wa kusajili benki hiyo

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment