Serikali kila siku inaongelea kuhusu ushirikishaji wa jamii katika
m,asuala muhimu ya kimaendeleo. hivi huwa inahubiri tu bila kutenda?
binafsi suala hili linahitaji utashi wa kiuchumi zaidi ya utashi wa kisiasa
kwani kama ni faida ipatikanayo na serikali kutoka kwenye pori hili basi
wananchi wa Loliondo nao wawe wa kwanza kufaidikia na uwepo wa pori
hili tofauti na hivyo ubabe hautatusaidia chochote kwani wanachi wameshaamuka.
From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, April 4, 2013 2:13 PM
Subject: Re: [wanabidii] TAMKO LA NGOS KUHUSU MGOGORO WA ARDHI WA LOLIONDO
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Viongozi wa serikali yetu ukiwaangalia ni kama midubwana imevaa ngozi ya binadamu. Kila nikisoma habari za viongozi wa nchi hii, kuwa vibaraka wa wageni, moyo wangu unauma sana. Yaani yamekuwa kama makasha yatembeayo. Siku zinakuja.......... --- On Thu, 4/4/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
|
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment