Thursday 11 April 2013

Re: [wanabidii] SUALA LA KUCHINJA-MWINYI AKATA MZIZI WA FITINA- ASTAHILI PONGEZI

Lwegasira,
Njoo kwa tahadhali maana mie kwa ngwala sijambo.
Salama lakini wapenda kuchinja kama magaidi wa kiislam?

Walewale.

From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, April 11, 2013 10:07 PM
Subject: RE: [wanabidii] SUALA LA KUCHINJA-MWINYI AKATA MZIZI WA FITINA- ASTAHILI PONGEZI

Chamani,

Ulijificha!!?? Naona umerudi barabara. Ninakuvutia pumzi.

------------------------------
On Thu, Apr 11, 2013 9:19 AM PDT Edgar Mbegu wrote:

>Chamani,
>Ina maana kama Mwinyi alitukanwa miaka 20 iliyopita, hawezi kusema jambo lolote tena la maana maishani mwake? Nchi yoyote isipoendeshwa kwa utaratibu wa sheria haiwezi kuwa na amani hata kidogo. Na mtu yeyote makini anapaswa kujua kwamba jambo hilo ndilo lililotufikisha hapa. Mtu anafungua kituo cha redio, anahubiri chuki na uchochezi usiku na mchana, hakuna hatua zinazochukuliwa. Mtu anaanzisha gazeti, anaandika uongo dhidi ya Serikali na baadhi ya makundi ya kijamii, vyombo husika kimyaaaa pamoja na kuwa na taarifa. Sasa hili ni moja tu Bwana Chamani; lakini yako mambo mengi, kero nyingi ambazo hazishughulikiwi kwa wakati muafaka, kwa haki na  kwa kufuata taratibu na sheria za nchi. Tangu Loliondo mpaka Mtwara, hatujasema jijini Dar ambako ujenzi holela usiozingatia sheria na taratibu husika unatuletea maafa ya ndugu zetu, bado Mvomero na kwingineko ambako kila siku wafugaji na wakulima wanatwangana, Mbarali wananchi na "wawekezaji" karibu wanatoana
roho... Mambo ni mengi mno ambayo huwezi kusema eti "tutumie busara" kwa lengo la kuvumiliana, kulinda umoja n.k. Hapa akili ya kawaida inaonyesha kwamba kuna tatizo la msingi. Siyo kuchinja nyama tu... Ndiyo maana nampongeza Mwinyi kwa sababu, angalau kwa kauli yake, anaanza kutuonyesha njia ya kututoa hapa tulipo. Siyo katika suala la nyama tu, lakini katika masuala yote, sheria na katiba vilindwe kwa gharama yoyote. Haya ndiyo yanapaswa kuwa mapenzi ya kwanza kwa nchi yetu.
>
>Date: Thu, 11 Apr 2013 08:15:28 -0700
>From: abachamani@yahoo.com
>Subject: Re: [wanabidii] SUALA LA KUCHINJA-MWINYI AKATA MZIZI WA FITINA- ASTAHILI PONGEZI
>To: wanabidii@googlegroups.com
>
>Edgar,Leo unamsifia Mwinyi aliye tukanwa na baba yenu wa Taifa kwa kuchezea katiba?Ulimsikia Jakaya alichosema juzi kuhusu hili hebu msikilize tena au tafuta usome tena.Mnaleta jambo ambalo litawaamsha waliolala.Kwa hili Nyerere alikuwa anajua kucheza karata zake.Mtu yoyote anayefikiria vizuri hawezi kufanya mtakavyo mtaigawa nchi.Nakusaidia unadhani tutakaribishana tena au tutashirikiana tena kwa mwendo huu.Kabla hatukujali kwani halikuwa jambo la mashaka lakini
> kwa ukereketwa mnaokuja nao mengi yataonekana hata wenye mapenzi makubwa sana na Tanzania kama Mtoi na Rehani watastuka jamani.Hili nalo hamlioni.
>
>
>
>
>Walewale.
>
>        From: Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com>
> To:
> wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Thursday, April 11, 2013 10:58 AM
> Subject: RE: [wanabidii] SUALA LA KUCHINJA-MWINYI AKATA MZIZI WA FITINA- ASTAHILI PONGEZI

>
>
>
>
>Selemani, sidhani kama kuruhusu kila mtu achinje na ale kadiri ya Imani yake ni ubaguzi.
>Kwangu miye najua huo ndio ustaarabu unaotoa uhuru wa kweli wa kila mtu kuchagua.
>Na nina imani kwamba, hata ikiwa hivyo, wako Wakristo wengi tu watakaokula nyama zilizochinjwa na Waislamu na wako Waislamu wengi tu watakaokula nyama zilizochinjwa na Wakristo bila shida yoyote. Umeuliza kwa nini zamani haikuwa hivi? Ni kweli. Hata Waislamu wenyewe walikuwa wanakula nyama bila kuuliza kama ilikuwa imechinjwa na nani. Kama walikuwa na wasi wasi kuwa pengine haikuchinjwa kadiri ya taratibu zao, waliacha, hawakula. Lakini sasa kwa nini waanze kuuliza? Huku kwet Rukwa/Katavi, barabara ya kwenda Mpanda, kuna kituo kimoja cha mabasi/magari kinaitwa Kizi. Miaka nenda miaka rudi mabasi yalikuwa yanasimama pale na watu wote, bila kujali imani zao, walikuwa wanashuka kujipatia nyama choma bila kuuliza ilikuwa imechinjwa na nani. Hivi karibuni, watu
> waliojifanya Waumini wa Dini ya fulani walijitwalia mamlaka ya kuanza kumwaga nyama za kuku zilizokuwa zinauzwa na akina mama, wakidai eti hazikuchinjwa kadiri ya utaratibu wa dini yao. Ndiyo kuvumiliana huko? Ni sheria gani ya Tanzania inawapa mamlaka ya kufanya hivyo? Kama wao hawapaswi kula nyama ya namna hiyo, kwa nini wasiache wengine wale? Sasa watu wa namna hii ni wachache na kwa kweli hawapaswi kuruhusiwa kuendelea na vitendo vya namna hii bila kuchukuliwa hatua za kisheria. Nampongeza Mzee Mwinyi kwa kauli yake kwa sababu inazingatia sheria za Nchi hii. Na ndivyo kiongozi shupavu na Serikali makini inavyopaswa kuwa: kuwa tayari kulinda Katiba na kusimamia Sheria halali za nchi. Mtu anamwaga nyama isiyo yake iliyochinjwa kwa taratibu za Imani ya mwenye nyama, anachukuliwa hatua za kisheria na yeye anayetaka kuchinja mnyama wake kadiri ya Imani yake na amefuata taratibu zote asizuiwe kufanya hivyo na asilazimishe wengine kula nyama hiyo. Ndiyo
> maana Mzee Myinyi anasema anashangaa kuona suala rahisi namna hii linataka kukuzwa bila sababu yoyote . Vinginevyo, tutatoa mwanya kwa watu wachache kutuvuruga kwa jina la Imani au dini yao katika masuala ambayo, kadiri ya ufahamu wangu, si ya msingi kabisa katika mafundisho ya dini husika. Tulinde Umoja, Amani na Mshikamano wa Nchi yetu kwa kufuata na kuzingatia Katiba na Sheria zilizopo. Zaidi ya hapo ni uongo!
>
>Date: Thu, 11 Apr 2013 10:20:48 +0300
>Subject: Re: [wanabidii] SUALA LA KUCHINJA-MWINYI AKATA MZIZI WA FITINA- ASTAHILI PONGEZI
>From: bmwasaga@gmail.com
>To: wanabidii@googlegroups.com
>
>Bw. Chamani, ni kina nani hao wanajaua?
>
>
>2013/4/11 Melodious Mlowe <melodiousmlowe@yahoo.com>
>
>
>
>Sent from my iphone
>On 2013 Apr 11, at 08:25 AM, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
>
>
>Selemani,
>Usiogope malumbano.
>Wanajua sana hao ila wana lao.
>
>
>
>
>
>
>Walewale.
>
>

>    From: Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>
>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Thursday, April 11, 2013 8:06 AM
>
> Subject: Re: [wanabidii] SUALA LA KUCHINJA-MWINYI AKATA MZIZI WA FITINA- ASTAHILI PONGEZI

>
>Mwinyi kaongea kama alivyoongea lakini hebu tutafakari kidogo na tuangalie mbele zaidi.  Mtu yoyote Akichinja  bila kufuata utaratibu wa kiimani hata angekuwa mwislamu, ina maana wale wanaofuata imani barabara kama inavyoelekeza kuhusu kuchinja hawatakuwa na imani na nyama yoyote inayozouzwa kwenye bucha lolote hadi wajue aliechinja nyama hiyo ni nani. Haitaishia hapo bali pia hatakula nyama ya hotelini au bar na kwingineko hadi  ajue aliechinja ni nani . Haitaishia hapo vile vile hatathubutu kula kwenye nyumba ya mtu wa imani tofauti na yake hadi ajue aliechinja nyama ho ni nani, na huo ndio mwanzo wa ubaguzi wa imani, ndio udini unafuata  na ukabila unafuata na ndio kuvujika kwa ushirikiano wa kiimani na kijmii na kuingia kwenye wakati mgumu ambao haujapata kushuhudiwa toka Tanzania iumbwe na Maulana. Hivi ni
> nani alielianzisha hili? Mbona tuliishi vizuri kwa ushirikiano kiasi kwamba tukikaa pamoja  mtu hawezi kujua huyu  imani gani na yule imani gani hadi mtu aulize. Sasa hakutakuwa na kuuliza tena  itaonekana wazi kuwa wao imani ile na sisi imani hii. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,ubaguzi wa aina yoyote ile ni dhambi na dhambi yenyewe ni sawa na kula nyama ya mtu. Ukishakula utaendelea tu. Natoa angalizo sitaki malumbano.
>
>
>
>Suleiman Swalehe
>
>
>
>
>2013/4/10 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
>
>
>Maslah yat taifa mbele si upuuzi. Mzee ruksa kaongea tena ngoja tuone
>
>
>
>On 4/10/13, Josephat Isango <joseisango@yahoo.com> wrote:
>> MWINYI AMEKATA MZIZI WA FITINA SUALA LA KUCHINJA, AMESEMA HAYO WAPI,
>
>> AMEWAAMBIA AKINA NANI?  HATAKI LONGO LONGO AMENYOOSHA MANENO SOMA HAPA.
>
>> Na Mwandishi wetu
>> RAIS mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ally Hassan Mwinyi amesema kila mtu ana
>> haki ya kuchinja kutokana na imani yake ilimradi tu asivunje sheria za nchi
>> .
>> Alisema anashangaa watu kugombania kitu kidogo kama cha kuchinja ilihali
>
>
>> Tanzania ni nchi yenye  utamaduni wa kuwa na amani siku zote na kwamba kila
>> mtu ana imani yake ya dini anayoiamini.
>> Hayo aliyasema jana katika hoteli ya Kilimanjaro wakati wa kongamano  juu ya
>> utamaduni wa kiislamu Afrika Mashariki        ambapo Tanzania imechaguliwa
>
>
>> kuwa mwenyeji wa kongamano hilo .
>>  "Imani ni nafsi ya mtu na haitakiwi mtu kumlazimisha kula nyama
>> iliyochinjwa na mwenzio na kama unaona aliyochinja mwenzio ni kibudu basi
>> usile chinja yako kula hata ukitaka kula  chura, mjusi konokono kula
>
>
>> utakacho ruksa ilimradi tu usiingie katika jinai,"alisema Alhaji Mwinyi.
>> Pia alisema majaribu kama hayo yaliwahi kumtokea katika miaka 80 wakati wa
>> utawala wake lakini alijitahidi kuweka sawa kwa kumwambia kila mtu ale kile
>
>
>> anachofikiri ni chakula bila kumlazimisha mwenzake ale anachokitaka yeye.
>> Alisema watanzania wamezaliwa ardhi moja na kwamba kinachotakiwa ni kuwa na
>> misingi ya kuvumiliana na kwamba sifa ya uislamu ni pamoja na kuwa na
>
>
>> uvumilivu si kufanya vurugu kama inayotafsiriwa na makundi ya wanaotaka
>> kuvunja amani ya nchi kwa kutumia jina la dini ya kiislamu.
>> Pia alimshukuru Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ulimwengu wa Kiislamu Duniani
>
>
>> (RABITA) Dk.Abdullah Mohsin Al-Turki  kwa kuichagua Tanzania katika kuhubiri
>> amani pia.
>> Wakati huo huo ,Waziri wa maji Profesa Jumanne Maghembe ambaye
>> alimuwakilisha Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal amesema utamaduni wa kiislamu
>
>
>> wa Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla ni kuvumiliana katika dini huku
>> akitolea mfano wakati wa kumaliza kuswali ndio maana mtu anageuza shingo
>> huku na kule.
>> Pia aliwataka waislamu kujiendeleza katika elimu huku akieleza kuwa hata
>
>
>> mtume alihamasisha hayo lakini waislamu wameshindwa kuyafuata.
>> Akitolea mfano alisema waislamu wanachuo kimoja kikuu huku dhehebu moja la
>> Lutherani wanavyuo vikuu 11 hivyo ni vyema wakaungana na kujenga vyuo kwa
>
>
>> ajili ya kusaidia kuongeza wasomi kutoka katika taaluma mbalimbali.
>> "Suala la elimu ya Dunia pia ni muhimu lakini mfano mzuri wa elimu kushuka
>> ni katika mikoa ya pwani ambapo ndio ilipoanzia mwaka 1995 wanafunzi
>
>
>> walioanza darasa la kwanza walikuwa 35,000 lakini walikuja kumaliza darasa
>> la saba 9000 hapa inaonesha kua waislamu tunarudi nyuma badala kwenda
>> mbele,"alisema Profesa Maghembe.
>> Hata hivyo alisema kua suala la kuporomoka kwa elimu wakati mwingine wa
>
>
>> kulaumiwa ni wazazi kwa kushindwa kuwasimamia watoto wao katika maadili ya
>> taaluma na wazazi kushindwa kuwasimaia katika misingi ya dini zote.
>> Dk.Abdullah Mohsin Al-Turki alisema katika nchi ya Saudia wanaishi watu
>
>
>> tofauti tofauti lakini wakiwa katika upendo huku akisisitiza kikubwa ni
>> kuheshimiana tu.
>> Alisema RABITA imekuwa ikifanya kazi katika nchi mbalimbali za
>> Nigeria,Gabon,Jamhuri ya Kongo na baada ya ziara yake nchini hapa
>
>
>> atahitimisha kwa kuitembelea Sudan.
>> Kongamano la RABITA limeandaliwa na Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa
>> Kiislamu Nchini ikiwa na lengo la kusisitiza amani nchini ambapo Alhaji
>> Mwinyi ndio mlezi wao.
>
>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>
>
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>
>
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>>
>>
>>
>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
>
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>Bariki G. Mwasaga,
>P.O. Box 3021,
>Dar es Salaam, Tanzania
>+255 754 812 387

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment