Monday 1 April 2013

Re: [wanabidii] Rwanda Yafanikiwa Kufundishia Kwa Kiingereza ?

Aldin,

Hakuna aliyesema kuwa Kiingereza au Kiswahili si muhimu; la hasha! 

Kasoro ni wale wanaoona kuwa kutojua Kiingetreza si ishu maana lugha ya muhimu ni Kiswahili; hapo ndipo ugomvi wangu ulipo, na ndipo nilipolinganisha na Rwanda. LKK
 



From: Aldin Mutembei <mutembei@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>; Wanamabadiliko <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Monday, April 1, 2013 1:57 PM
Subject: Re: [wanabidii] Rwanda Yafanikiwa Kufundishia Kwa Kiingereza ?

Chambi

Kama unamnukuu LKK kuwa "... eti Kiingereza si muhimu!...."
Niruhusu niseme haya:

Hivi upotoshaji huu, ni wa nini lakini?
Kwa mtu anayesema hivyo (hiyo nukuu), hasa lengo lake ni nini?

Katika watu wote wanaozungumzia kuhusu lugha ya kufundishia Tanzania, tokea miaka ya 70, na ukiangalia matokeo ya TUME ZOTE, hakuna tume hata moja ambayo ilisema KIINGEZA SI MUHIMU. Tazama hoja za watu wote MAKINI.
Sasa hii hoja inayoletwa na watu ktk jukwaa hili au penginepo, hasa MAANA YAKE na LENGO LAKE ni nini?
Kwa nini hoja muhimu inawekwa pembeni, na inaletwa hii iliyokaa kama inapigia debe na kumwakilisha mtukufu malkia ili ufalme wake uendelee kuwapo milele!!??

Uingereza inahangaika sana kudumisha na kueneeza utamaduni wake, mila na desturi zake kupitia katika lugha.
Uingereza inahangaika sana KUUINUA UCHUMI WAKE kupitia katika machapisho yake yanayosambazwa duniani kwa lugha ya Kiingereza.
Na mtu, akiuliza kuhusu hili, anaelezwa kuwa wasemaji wanadhani KIINGEREZA SI MUHIMU. Hakuna mwenye akili timamu, ambaye hajui umuhimu wa Kiingereza.
Hoja si hiyo hata kidogo, na haijawahi kuwa hiyo. Na wanaoongea hivyo wanajua.

Suala la Rwanda liangaliwe kwa ujumla na muktadha wake.
Mabadiliko katika lugha ndani ya Rwanda yaangaliwe kwa kuzingatia pia, mabadiliko makubwa yanayopigwa katika Elimu, U-dhati katika utendaji kazi, Jitihada za kufufua uchumi, umakini katika KUIJENGA RWANDA ILIYO NA USAFI (Usafi kwa mtu binafsi, kwa nchi na mazingira).
Suala hili la lugha liangaliwe na jitihada za Rwanda kuondoa wizi na ubadhirifu, utapeli na udanganyifu. ZOTE HIZI NI JITIHADA ZA WANYARWANDA kuijenga upya nchi yao.
Ninaweza kulinganisha na jitihada za Tanzania miaka ya 1967 - 1975. Wakati wa nyimbo za Ruswa ni adui wa haki, sitapokea.../ Wakati wa Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja.../ wakati wa Kisomo chenye manufaa na Mtu ni afya...

Tafadhali msipotoshe hoja ya wale wanaotetea matumizi ya Kiswahili kama lugha ya Kufundishia.
Kiingereza, wanasema wao, na mimi ninasema sasa, ni lugha muhimu. Na umuhimu huo utiliwe mkazo. Lakini mazingira ya Tanzania si sawa na ya Rwanda. Kwamba kwakuwa wao wanatumia Kiingereza kufundishia, basi ndio Tanzania tuone mfano huo.
Tuangalie utajiri wa lugha wa Rwanda kama fundisho. Kama wao na wengine wanavyoangalia umadhubuti wa Kiswahili katika kujenga mustakabali wa Tanzania na utengemano wa wananchi wake kwa uchu na hali ya kutamani.

Tafadhali!!
 
Aldin K. Mutembei   (PhD)                         Aldin K. Mutembei (PhD)
Taasisi ya Taaluma za Kiswahili                  Institute of Kiswahili Studies
Kampasi ya Mwalimu J.K. Nyerere             Mwalimu J.K. Nyerere Campus
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam                   University of Dar es Salaam, TANZANIA
+255 715 426 162      [Kiganjani]                +255 715 426 162  (Cell)

b-pepe: kaimutembei@gmail.com    
            Alternative e-mail: <kaimutembei@gmail.com>


From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
To: Wanamabadiliko <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Monday, April 1, 2013 1:52 PM
Subject: [wanabidii] Rwanda Yafanikiwa Kufundishia Kwa Kiingereza ?

LKK, hiyo nukuu haina tofauti na Tanzania - hata vyuoni kwetu kuna wanafunzi ambao wanataka Kiingereza kiendelee na wanatumia hizo mbinu, hiyo pepa inazielezea hivi na hazitofautiani na mbinu ambazo tulizitumia Azania na Tambaza wakati nasoma (nimepigia mistari na kukoleza rangi kuweka msisitizo):

 A 1: We are not perfect in languages and when we are here, there some students which are Anglo-phones and other
ones Franco-phones and when about in forming groups, we do not pay attention to English or French, we join
together like that. When you use, if you use French, Anglophone students are going to lost. When you use English,
French students are going to lost. So that we try to use Kinyarwanda because francophone students understand
Kinyarwanda and Anglophone students understand Kinyarwanda. To be understandable that is why we use
Kinyarwanda very much.

From the quotation above from A1, it is clear that Kinyarwanda is used to make sense of the content subject,
although it is not officially recognised as the medium of instruction in Rwandan higher education. Since it is a
language that students are conversant with, they resort to using it, just as any other language they might be
conversant with, in order to facilitate the understanding of the academic subjects.

A 4: Your classmate use a language which allow you together to understand, if they use Kinyarwanda because
they know Kinyarwanda, you also you use Kinyarwanda and try to express the course in Kinyarwanda or French
when you are a francophone.

Q: When they explain in different languages do you feel that you understand better?

A 4: Yes, you understand better in that case you understand better if you are using a language you understand better
you both, you use same language.

Q: So, switching from one language to another one is a strategy you use in order to understand

A 4: Yes, we use that strategy to understand the course. If the course is in English, we use French, in that case
you understand more.

The respondents pointed out that for the sake of reducing confusion, they use the languages they understand better.
Languages are vehicles through which students grasp and make sense of the content in order to convert information
into knowledge. The use of a language that learners are conversant with, in order to clear up any kind of
misunderstanding is revealed to be a common practice in higher education in Rwanda. Evidence from the recorded
group discussions also testifies to the dominant use of Kinyarwanda to complete a task in English. In fact, although
the task to complete was in English, not much of the discussion was in English at all, probably because it is not easy
for the learners to express themselves clearly in English.

----- Forwarded Message -----
From: Lutgard Kokulinda Kagaruki <lutgardkokulinda@gmail.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Monday, April 1, 2013 6:36 AM
Subject: Re: [Mabadiliko] Rwanda Yafanikiwa Kufundishia Kwa Kiingereza ?

Chambi,

Nimesema niliyoyaona!

Nimesoma hizo "citations" ulizoweka, wala hazipingi maneno yangu, zinaeleza matatizo wanayokumbana nayo wanyarwanda katika kufundisha kwa kiingereza. Halafu pale mwisho, citation yako inaonyesha kuw;

"However, English remains the preferred medium of instruction among the students mainly due to the instrumental motivation associated with the use of English as an international language (Kagwesage 2012; Samuelson and  Freedman 2010). In addition, university statistics do not highlight increased attrition or drop-out rates as a result of the language through which higher education instruction is conveyed. This intrigued the present paper and therefore, the overarching aim of the present study is to investigate strategies that higher education students use in order to cope with their academic requirements"

Linganisha Rwanda walipotoka, na sisi; si mbali sana watakuwa "better off" kwa kiingereza na si ajabu hata sasa wako bora kuliko hawa wa kwetu (96%) walioishia kupata division four na sufuri!!

Niseme pia, maofisi niliyoingia, watu wako busy, hakuna longo longo, wako "serious" na kazi zao!

Watu wana magari mazuri na makubwa ya nguvu mengi tu, ila si "mashangingi" ya serikali, bali ni mikopo "laini" wanayopewa wafanyakazi kuwawezesha kuchapa kazi! Nimeambiwa pia kuwa na mishahara ya wafanyakazi serikalini inaridhisha kabisa. Mnataka nini zaidi? LKK


On Mon, Apr 1, 2013 at 1:17 PM, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote:
LKK, naomba takwimu zinazothibitisha haya maneno yako hasa hapo nilipopigia mstari : "Vijana wa Kinyarwanda wengi wanajua lugha nne; Kinyarwanda, kama lugha yao ya asili, Kifaransa kama lugha ya Taifa; Kiswahili kama lugha ya kufundishwa, na Kiingereza, lately, kama lugha ya kufundishia darasani! Hivyo wengi, hata wasio na elimu kubwa, wanakuongelesha Kiswahili na Kiingereza vizuri tu; sisi tumekazana na lugha ya Taifa tu, eti Kiingereza si muhimu!!" Linganisha na:

"The implementation of English as the official language of instruction has led to serious hurdles in the Rwandan education system. Among them has been establishing a teaching force fluent in English. The country has experienced difficulties in finding adequate foreign and domestic instructors to teach teachers English, yet the pressure for a quick linguistic transition continues (McGreal, 2009). In 2009, out of Rwanda's 31,000 primary school teachers, only 4,700 were trained in English, and out of Rwanda's 12,000 secondary school teachers, only 600 were trained in English (McGreal, 2009). Public service workers are also taking English classes in an attempt to catch up, while elected officials are incorporating English words in speeches, and moto and taxi drivers are struggling to put together simple phrases in either colonial language (McCrummen, 2008)" - http://www.africaportal.org/articles/2012/05/31/costs-and-consequences-rwanda%E2%80%99s-shift-language-policy

"From the policy's inception, educators were massively ill-prepared for its implementation: only 15% of primary school teachers and 10% of secondary school teachers demonstrated an adequate level of proficiency to teach the language. Almost four years on, classroom observations and interviews with educators suggest most teachers, though supportive of the policy, still face great difficulty communicating and teaching in English. This gap in proficiency translates directly into the classroom. While sessions generally begin with a resounding "Good morning teacher!", educators, with limited English-speaking abilities, often end up teaching mostly in Kinyarwanda. The government did offer some training, usually during teachers' holidays, but many educators speaking to Think Africa Press described the training as "insufficient", albeit "helpful". In rural areas, teachers often cite their lack of resources as a hindrance to progress, while throughout the country, they also suffer from very high pupil-to-teacher ratios; 58:1 in primary schools and 37:1 in secondary schools, in 2011" - http://thinkafricapress.com/rwanda/speaking-language-world

"Rwanda as one African country is not an exception to the above-mentioned scenario. Recent research have highlighted the mismatch between Rwandan learners' English language abilities and the cognitive academic requirements they meet in higher education (Andersson, Kagwesage and Rusanganwa 2012; Andersson and Rusanganwa 2011; Kagwesage 2012; NUR 2010; Parliament of Rwanda 2010). Logically, if language abilities do not match with the conceptual requirement, this would lead to frustration and a request to change the medium. However, English remains the preferred medium of instruction among the students mainly due to the instrumental motivation associated with the use of English as an international language (Kagwesage 2012; Samuelson and  Freedman 2010). In addition, university statistics do not highlight increased attrition or drop-out rates as a result of the language through which higher education instruction is conveyed. This intrigued the present paper and therefore, the overarching aim of the present study is to investigate strategies that higher education students use in order to cope with their academic requirements" - http://liu.diva-portal.org/smash/record.jsf?pid=diva2:612248 cf. https://docs.google.com/viewer?a=v&q=cache:W0GkR7oJ7wkJ:www.sciedu.ca/journal/index.php/ijhe/article/download/2543/1419+language+of+instruction+in+rwanda+2013&hl=en&gl=us&pid=bl&srcid=ADGEESgNYXA87O6wsE4ybO27XGKyiPwNx_I1HxDpM0IDoadS50uRYeY0zwaCablO0LigRep0mKYgPw8eY6ntD4_0It2vQykN47Sdi0tBAQDYggZFu4sVTy8vRGYEkRTAkoMxUdSt33nX&sig=AHIEtbT5qUIOtkQCx7PL_t6Xz8pBrgs7Mw
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment