Kiwasila,
Every conflict has a far-impacts.
Kama Mkuu wa Mkoa + Mbunge wangeungana kutatatua tatizo na wakasahau vyama vyao na past history ya migogoro ya Arusha yote hayo yasingetokea.
Wandugu kufunga chuo kuna athari kubwa sana. Ikumbukwe kua bodi ya mikopo imeshawapa hela wanafunzi kwa ajili ya hii semester ambayo imeharibiwa. Kwahiyo, wanafunzi kuondoka kwao chuoni kutawafanya wazitumia hizo hela kwa matumizi mengine tofauti na ilivyokusudiwa. Chuo kitakapofungua watakua hawana hela; wataanza kupata shida na kusoma na njaa na wengine kushindia mikate. Huwezi kupata wasomi bora kwenye mazingira kama hayo. Hii pia ndio mwanzo wa wasichana wasio na uvumilivu kuanza kujiuza na kuishia kupata Virusi vya Ukimwi.
Kwahiyo lazima kuwa makini tunaposhughulikia migogoro na kupima athari za maamuzi tunayoyafanya kabla ya kuyatoa. Tanzania ni yetu sote, na hatuna nchi nyingine ya kwenda tukivuruka amani tuliyo nayo. Mkuu wa mkoa, vyombo vya uaslama na raia wanatakiwa kutambua hilo.
Alexander
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, April 26, 2013 2:26 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge Lema mikononi mwa polisi.usiku huu
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Wanasema mwanafunzi alikodi bodaboda akakataa kulipa nauli aliyotaka huyo wa bodaboda. Akasema kuwa yeye ana hiyo tu basi akitaka zaidi hana alale zake mbele. Hivyo huyo wa bodaboda akakasirika akamchoma kisu. Niliwasikia watu wakiongea mahala pa kuuza magazeti. Kama ni ulinzi-kila mtu anawajibika kujilinda pia. usipite vichochoroni usiku, usigombane na mwenye taxi au bodaboda ukiwa safarini anaweza kukufanyia uharamia. Watajua zaidi kilichotokea. Jazba italeta mvunjiko wa amani, uharibifu wa mali za watu wasio hatia; kufungwa chuo na wengine kupata utata wa hela za safari, makazi na kujikimu na matatizo na wazazi/walezi wao. Ona hasara iliyotokea Mtwara Alexanda ni mambo kama hayo ya jazba badala ya mawasiliano na subira. --- On Fri, 26/4/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment