Ndugu zangu tuache ushabiki,
Kwa wale wanaojua jazba za wanafunzi wanapofikwa na masaibu hawapaswi kubeza hatua alizochukua Lema. Mh Hamis umeshakua kiongozi wa wanafunzi Mhimbili unajua hayo yote. Kwa wanafunzi waliotaharuki ni rahisi kufanya lolote; Lema amejitahidi kuzuia hilo sisitokee.
Uzoefu unaonyesha kua maranyingi wanafunzi wanapofanya migomo inahitaji busara kubwa na uvumilivu kuwatuliza. Kwa wanafunzi kuzomea ni njia ya kukuambia kua hawakubaliani na hoja yako. Kwahiyo inapasa kujua lugha ya wanafunzi wenye jaziba.
Pia tukumbuke kua, wale watu wamefiwa na wanasema sio tukio la kwanza (kwahiyo wanaona waliopaswa kuwalinda wamezembea mahali fulani). Mkuu wa mkoa alipaswa kutambua hilo na kujishusha. Nasio kutaka utukufu wa vipaza sauti. Tunaambiwa kua alisema hawezi kuongea na wanafunzi bila kipaza sauti, na hawezi kuongea na watu wasio na nidhamu nk. Tusisahau kua mda wote wenzake waliomtangulia kwenye tukio walikua wanaongea bila kipaza sauti.
Mkuu wa mkoa alipaswa kufahamu kua ile ni dharura na huwezi kutegemea kupata kipaza sauti pale. Na kama alijua hivyo ni yeye ndie alipaswa kubeba kipaza sauti na sio wanafunzi waliofiwa na wenye munkari wakufanya maandamano.
Pia Kuwaambia watu waliotaharuki kua hawana adabu nikuwaongezea jazba. Ukiangalia you-tube utaona hata Lema mwenye alivyokua akikatishwa na kuzomewa na wanafunzi alipoku akijaribu kuwatuliza na kuwaasa. Lakini tunaona amevumilia kuwasikiliza na kuwaelimisha wanafunzi. Mkuu wa Mkoa alipaswa kufanya zaidi ya Lema (maana kwakawaida unapompa mtu nafasi ya ukuu wa mkoa anapaswa awe na udhoefu wa kiuongozi na hata kutatua migogoro).
Ni ajabu wengine hapa jamvini wanataka kusema kesi ilikua Police kwahiyo Lema alipaswa asifanye chochote. Hapa sio sawa kumbuka pamoja na kua kesi ilikua polisi bado wanafunzi walikua wanataka kufanya maandamano kwenda kwa mkuu wa mkoa. Piq inasemekana nyumbani kwa Mbunge ni jirani na chuoni. Kwahiyo mimi sioni kosa la Lema hapo.
Ninachikiona kwa Mkuu wa mkoa ni inferiority complex 'why mbunge wa upinzani amefanya jambo hili kwa vyovyote atapata sifa na heshima kuliko yeye mkuu wa mkoa? Hekima ya kawaida inatuambia mkuu wa Mkoa alipaswa kumshukuru Mbunge maana amemsaidia kazi yake kama mwenyekiti wa kamati ya Usalama ya mkoa.
Jamani Tanzania ni yetu sote wote tunapaswa kuungana kuzuia uhalifu ilitusonge mbele. Bila hivyo hakuna cha maana tutakacho kifanya maana vurugu zikitokea hazitaangalia wewe ni CCM, CUF, CHADEMA k´nk Wahenga wamesha tuasa kua VITA HAINA MACHO.
Alexander
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, April 26, 2013 1:24 PM
Subject: Re: [wanabidii] Mbunge Lema mikononi mwa polisi.usiku huu
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Kama nimesoma yaliyotangulia Lema alikwenda pale kutuliza gasia kwa kutumia umaarufu na kukubalika kwake. Kama hili ni kosa Basi Mbunge wa Mbeya Sungu akamatwe pia maana wakati wa maandamani ya machinga baada ya Polisi na Mkuu wa Mkoa kuzidiwa walimuomba yeye akatuliza gasia na suluhisho lilipatikana. Ndicho inasemekana Lema amefanya. Kumuita mhuni kwa kufanya hivyo ni uhuni uliopindukia --- On Fri, 4/26/13, Gaudencia Ngetti <gaudencia.ngetti@yahoo.com> wrote:
|
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment