Sunday 7 April 2013

Re: [wanabidii] Kigogo TBC afumaniwa

Ndio maana hii forum iko chali siku hizi.

On 4/8/13, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
> Inasikitisha ila mtoa habari kiboko kama nawaona wazee tambi tambi zao
> wakimuenzi tyson lol
>
> On 4/8/13, magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com> wrote:
>> .................................................................
>>
>> Mwanamke mmoja ambaye amebainika kuwa ni Kigogo wa TBC amefumaniwa
>> katika
>> fumanizi kati yake- hawala yake wa muda mrefu, mstaafu wa TBC na
>> Kigogo wa TRA akiwa katika majukumu ya kazi hapa Mbeya.
>>
>>
>>
>> Safari hiyo ya kikazi kutoka D'salaam kuelekea Mbeya ilianza kwa
>> Kigogo huyo
>> mwanamke kuchukua fungu la pesa ili kuweza kukamilisha jukumu
>> Nyanda
>> za
>> Juu Kusini mwa Tanzania, akiwa na wafanyakazi wengine wa TBC.
>>
>> Mwanamke huyu amekuwa akidaiwa kuwachanganya mno vigogo wa shirika hili
>> ata katika maamuzi hadi kuweza kumpa nafasi nyeti za shirika hili.
>>
>>
>>
>> Mtoa taarifa hizi anadai kuwa mama huyo amekuwa akitumia kaumbo kake
>> kama
>> chambo kwa wanaume wakware ambapo mara nyingi wamekuwa hawawezi
>> kuruka vihunzi
>> vya ushawishi huo.
>>
>> Cha kushangazwa mara baada ya kuwasili Mbeya wakiwa katika majukumu yao
>> kama kawaida mara usiku mmoja (tarehe imehifadhiwa) yalisikika
>> makelele mengi
>> ndipo watu wakajaa mara wakamuona mtu mmoja ambaye aliyejitambulisha
>> kuwa
>> mfanyakazi wa TRA(Jina limehifadhiwa) huku akirushiana makonde na kigogo
>> mmoja mstaafu wa TBC(Jina limehifadhiwa), ambaye kutokana na umaarufu
>> wake
>> watu waliokimbilia tukio hilowalimtambua kwa haraka.
>>
>> Huku chumba kimoja kikiwa wazi nguo zikiwa zimetawanyika miongoni
>> mwao zikiwa
>> nguo za ndani, khanga na suruali moja ya mwanaume ikiwa juu ya
>> kitanda.
>>
>>
>>
>> Kila mmoja akidai mwezake mwizi anamuibia mkewe. Lakini mtoa habari
>> hizi
>> anadai kuwa mama huyo ameolewa na mjeda mmoja. Si Bosi wa TRA wala
>> mstaafu wa TBC hawana ndoa naye.
>>
>> Inadaiwa kuwa Kigogo wa TRA alikuwa nae kwa siku moja na siku ya pili
>> aliaga na kuondoka kumbe alikuwa akimfuatilia nani anapika nae chungu
>> kimoja.
>>
>> Ahmadi, ndipo alipotambua kuwa ni mstaafu mmoja wa TBC, alikuwa akivunja
>> nae
>> amri ya sita kama yeye alivyokuwa akifanya.
>>
>> Mle mle alipokuwa amelala nae jana yake ndipo alipomkaribisha yule
>> mstaafu. Duu kuokoa jahazi mama mmoja kibonge aliokoa kwa kumchukua
>> mwanamke mwezake na kumficha chumbani kingine cha hoteli. Ikasaidia watu
>> kuondoka na walinzi wa hoteli wakalimaliza lile soo kimya kimya, huku
>> waliokimbilia tukio hilo wakipatwa na bumbuazi na yaliyotokea na wengine
>> wakijiokotea pesa na business cards.
>>
>> .....................................................................
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>


--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
Alternative: +255 (0) 784 24 67 64
Skype: Mohamedi.Mtoi
Twitter: @mohamedimtoi
Facebook: http://www.facebook.com/mouddymtoi
--

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment