Monday 10 December 2012

Re: [wanabidii] Fastjet - nauli ya ndege Dar Mwanza elfu 32 tu

Hildergarda Kiwasila

napenda sana mtizamo wako wa mambo. Ni mpana na ambao kiukweli huonesha jambo katika hali yake halisi. Wengi wetu hatupendi ukweli na tumejijengea uzio wa kuona kwamba sisi tunaonewa kila wakati. Lakini majukumu yanayoambatana na wajibu wetu hatuyatekelezi.

Swala la kuwahi ni la mtu mwenye safari na siyo la jukumu la mwenye chombo cha usafiri kukusubiri, afterall hajui unatokea wapi na uko wapi. Ndege hii ya Fastjet kwenye ticket zake wameandika kabisa kwamba taratibu za kucheck-in zinzfungwa kabla ya dkk 40 ndege kuruka. tatizo hatusomi hizo tiketi zetu kama tulivyo watz wavivu wa kuangalia maandishi.

Kuhusu swala la nauli Tony PT aliwahi kulieleza vizuri hapa kwamba kwa ndege hizi za gharama nafuuu nauli huwa siyo Permanent, inategemeana na wakati na matukio yaliyopo kama Sikukuu ambapo unakuta nauli inakuwa kubwa au muda wa kuruka kama asubuhi au jioni. Kwa hiyo nauli kamili inabadilika kila wakati. Ila kwa Mwanza mimi natarajia kusafiri nayo DSM - MZA - DSM nimefanya booking ya shs 182,080.00 ikiwa ni pamoja na return Ticket. Gharama hizi ni pamoja na kodi zote za uwanja na nyingine.

Ukiangalia gharama ya kutoka Mwanza kuja DSM ni tofauti kidogo kulingana na muda wa kuondoka. Ukiondoka asubuhi iko juu wakati ukiondoka jioni nauli inakuwa juu. Hivi ndivyo nilivyoona mimi. Salaam.....
 
K.E.M.S.

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, 10 December 2012, 17:11
Subject: Re: [wanabidii] Fastjet - nauli ya ndege Dar Mwanza elfu 32 tu

Kulalamika watanzania ndio kazi yao Misango. Mimi hii ndege nimeiona ikitangazwa ktk Tv na kuna kuku/jogoo akiongezea kitu ktk tangazo na wakisisitiza kuwahi saa moja nzima kabla ndege kuondoka. sasa Mtanzania anayelalama kwa kuchelewa mwenyewe airport umfanyeje. Kuna masuala ya usalama kukagua mizigo na watu baada ya mizigo kupimwa; kupakia mizigo ikisha kukaguliwa. unataka nini mtu ufike umechelewa upate usafiri. Kama kutoka nyumbani kunakuwa na foleni barabarani ni juu yako kuwahi. Inaweza ikatokea ajali barabarani na vinjia vya Mwanza vilivyofinyu utazungukia wapi uwahi. Ondoka nyumbani masaa 3 kabla ya safari (inategemea unatokea wapi) ukiwa na saa 2 marabarani na hiyo moja ya kuwahi airport. Kuna siku DSM mnaweza mkapanda wachache ndege ya  kwenda Kilimanjaro airport. Foleni imezuka alfajiri ikakufanya ule mihanjo toka ubungo upite mabonde ya mabibo-kigogo, uingie tabata ukatokee machinjioni uende Ukonga upate njia ya kutokea Mombasa-Ukonga uingie airport JK Nyerere Dar upande Precision air uende KL. Lori zimebana, daladala etc bila kutegemea saa 11 ya alfajiri. Tunataka nini sisi wa kulalama daima. Abiria alijuaje kuna fastjet kama si matangazo kupitia vyombo mbalimbali akose kujua nauli? Hata bei ikiwa ndogo, umuhimu ni usalama ktk safari, maana midege mingine nayo ni ile iliyokarabatiwa kutoka ughaibuni huko haitakiwi nasi wengi wetu hatuna life insurance. Mungu atusaidie hizo ndege bei poa ziwe salama na za kudumu tuepukane na ajali za madereva wa mabasi wanaosoma na kutuma SMS, kuongea na simu njia nzima, kujaza marafiki mbele na kula story, mwendo kazi na huku amepika tungi uchao wanaweka vilema na kuua watu. Na hao majambazi wa kupora na kusachi hela mpaka maiti aliye sandukuni. na binadamu wajao kuokoa watu ambao kama bado unahema na unaona upo uhai atakukaba kwanza ufe ili akupore.

--- On Mon, 10/12/12, Charles Misango <misangocharles@yahoo.com> wrote:

From: Charles Misango <misangocharles@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Fastjet - nauli ya ndege Dar Mwanza elfu 32 tu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 10 December, 2012, 9:24

Inasikitisha kwamba maelezo ya wachangiaji wengi hayajamsaidia mtu ambaye hajui huduma za shirika hili, kujua kwa uhakika nauli ya Dar-mza kwenda na kurudi ni kiasi gani. mmoja kasema haizidi 80, na mwingine badala ya kusema ni kiasi fulani, anasema ni kama ....112,000.

Last week nilikuwa Mwanza na wakati narudi kwa kutumia Precision nimekuta zaidi ya abiria 15 waliokuwa wasafiri na Fastjet wakiwa wanalalamika kwa kitendo cha kuachwa na ndege hiyo. Kosa lao ni kwamba wamechelewa kufika, na kwamba muda wa mwisho kupokea abiria ni dakika 55 kabla ndege haijaruka! Kilichoandikwa katika tiketi zao ni muda wa kuripoti tu, na hakuna sisitizo kwamba abiria akichelewa dk kadhaa basi aachwa.
najua washindani wao, wanataka abiria awe amekaguliwa dk 40 kabla ndege haijaruka!

--- On Mon, 12/10/12, Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Fastjet - nauli ya ndege Dar Mwanza elfu 32 tu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, December 10, 2012, 4:32 AM

Njovu,

Kutoka Arusha kuna shuttle, unalipa Shilingi 10,000/=

2012/12/10 xavery njovu <njovucom@gmail.com>
Lutinwa 

Kutoka  arusha/  moshi    unajitegemea  usafiri  ili  kufika  KIA  au  wanashuttle   services.

Regards

XN

2012/12/10 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
Ijumaa nimesafiri na hiyo Airbus, nimelipa  Tzs. 107,000 kutoka KIA mpaka  DSM- JNIA  one way.
Tickect nilikata a day before. Ukifanya booking mapema unaweza pata bei poa.
Local beer Tzs 5000, soda 3500.

Lutinwa
Sent from Samsung Tab 10.1
On Dec 9, 2012 10:57 PM, "Alex Manonga" <manonga2003@yahoo.com> wrote:
Sijawahi kusafiri na Fastjet lakini ukiongeza na kodi bei haiwezi kuwa chini ya elfu 80.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

Date: Sun, 9 Dec 2012 19:52:55 +0000
Subject: Re: [wanabidii] Fastjet - nauli ya ndege Dar Mwanza elfu 32 tu

Aliyewahi kusafiri kwa hiyo nauli humu Jukwaani atoe ushuhuda

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Date: Sun, 2 Dec 2012 17:08:57 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Fastjet - nauli ya ndege Dar Mwanza elfu 32 tu

Safari za Fast jet zinaenda vizuri na abiria ni wengi wengi mno. Baadhi ya mabasi yaliyokuwa yanafanya safari za Mwanza Dar sasa yemebadili njia na kwenda Mwanza - Bukoba na Mwanza - Kigoma. Lililobaki sasa ni kuboreshwa kwa uwanja wa Mwanza na kuwa International airport, naimani Dr.Tizeba atalifanyia kazi hili.

2012/11/25 John George <georgejn2000@gmail.com>
Panga safari mapema, kata tiketi mapema. hutaona tatizo unless una dharura. Mwaka unapoanza panga safari zako hsa za likizo/mapumziko utafaidika na low cost airlines

2012/11/25 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Ken,

Hiyo bado ipo kwenye long haul flights! Software za reservation zimekuwa more sophisticated siku hizi, zinaangalia hourly seat capacity, sector, time na degree of convenience conditions. Mfano from Dar-KIA unaweza kuambiwa bei tofauti kwenye siku hiyohiyo, kama utasafiri ucku au asubuhi au mcha, bei zinabadilika kutokana pia na ujazo wa ndege.

Kuna siku nauli ya kwenda na kurudi ni mara 2. ukilinganisha na mida mingine! Pia airlines zinazo operate kwa misingi ya low-fare, no frills, huwa zina conditional parameters nyingi kuliko normal airlines. Wasipofanya hivyo kula hasara ni rahisi sana! Unakumbuka Community na nyingine zilizowahi kuanzishwa na kuporomoka! Ni biashara fragile sana!

Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com>
Date: Sun, 25 Nov 2012 21:47:11 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Fastjet - nauli ya ndege Dar Mwanza elfu 32 tu

Tony

Naelewa hilo lakini kwa hawa waliotoa hawakutoa ufafanuzi kuwa ni rate ya kipindi gani. Kwa mashirika yaliyojikita katika biashara hiyo wanatoa ratiba inayoonyesha blocks za nauli kutokana na season kwa mfano wakati wa summer nauli always huwa juu kwa sababu ya demand

2012/11/25 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Ken,

Nauli hubadilika kulingana na siku, sekta, na booking conditions. Kama ndege ipo karibu kujaa, hakuna sababu ya kutoza lowest na kama ipo less than half-full, then computer system ina sense na kutoa baadhi ya seats kwa lowest rate na kadhalika.

Unaweza kwenda ku-book leo ukaambiwa rate tofauti na aliyekwenda jana. Hii ni kwa airline karibu zote zinazotumia booking systems kama Amadeus n.k.
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com>
Date: Sun, 25 Nov 2012 21:31:24 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Fastjet - nauli ya ndege Dar Mwanza elfu 32 tu

Sasa ndo tushike lipi kati ya 112,000/=, 86,000/= na 95,000/=?

2012/11/24 Rashid Omar <rotawipu@gmail.com>
Wanatakiwa waongeze ndege ili kuweza kutoa huduma kwa urahisi zaidi.
 
Precision, Air Tanzania, 540 n.k kaeni mkao wa kupigwa bao maana mapinduzi yamewajia ila nnachojiuliza kwani hawa fast Jest wanatumia market strategy gani ambayo ilikua ngumu kutumika hata na Air Tanzania ikapata market kwa wakati huu ambao inajikongoja .....??

2012/11/23 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
shida ni kuwa tunavyoongea sasa hakuna tiketi mpaka february.sasa hii nini?

2012/11/23 MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com>
Nauli ni 95,000/= Dar- Mza -Dar, one way 50,000 hiyo ndio fast Jest

2012/11/23 John George <georgejn2000@gmail.com>
Budget airline is a low cost airline kwa waendeshaji na abiria. Abiria ndiye hufaidika zaidi kwa kupanda ndege bila kulipia vitu asivyohitaji. Mfano hakuna haja ya kulipia gharama ya chakula au vinywaji katika ndege unayoruka kwa dakika 45. Garama zingine ambazo huwa tunalipia ni mizigo ambayo unaweza usiwe nayo pia. Kila huduma inayoongezeka inabidi abiria ailipie.
 
Kitu kingine kikubwa katika low cost airline ni kulipia gharama ya usafiri mapema. Mfano ukilipia dola 20 kwa kampuni ya ndege inayokusafirisha miezi minne ijayo ni faida kubwa kwa shirika la ndege kwa sababu wataweza kutumia ile pesa hata katika fixed deposit au kitu kingine kinachoweza kuingizia shirika pesa miezi kadhaa kabla ya abiria kusafiri.
 
Kwa baadhi ya masirika ukiishakata tiketi na hukuitumia pesa zako zinakuwa zimepotea. Ila sina uhakika iwapo hata shirika la Fast Jet watafanya hivyo pia.

2012/11/23 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Kuna mtu mwenye uelewa na haya mambo ya budget airlines atumwagie shule hapa?
On Nov 21, 2012 3:38 PM, "Boniface Magessa" <magessabm@gmail.com> wrote:

ahsante ndaki..nimeangalia kutokea kia mpk dar hakuna nafasi mpk tarehe 29 nov! na fare ni shs. 43,040/-
On Wednesday, November 21, 2012, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>
> Jamani, hebu waulizeni au kama kuna wanaojua hapa watuambie inatumia muda gani kuruka hadi MZA.
>
> KEMS
>
>
> ------------------------------
> On Wed, Nov 21, 2012 07:09 GMT Peter Lwegasira wrote:
>
>>Wanachaji mizigo yote kwa shilingi 10,000/= kwa kilo moja hata kama ni chini ya kilo ishirini. No free luggage. Hapa ndipo kuna kiini macho.
>>
>>
>>
>>________________________________
>> From: "ngwananzela@yahoo.com" <ngwananzela@yahoo.com>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Wednesday, November 21, 2012 9:17 AM
>>Subject: Re: [wanabidii] Fastjet - nauli ya ndege Dar Mwanza elfu 32 tu
>>
>>
>>Dar- Mwz, to and fro is tshs 86,000/= all charges inclusive.
>>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>>________________________________
>>
>>From:  Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
>>Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>>Date: Tue, 20 Nov 2012 20:26:59 +0300
>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
>>Subject: Re: [wanabidii] Fastjet - nauli ya ndege Dar Mwanza elfu 32 tu
>>
>>Hiyo nauli ni promotional mpaka December mwishoni. Wanatumia ndege kubwa yenye Uwezo wa kubeba abiria 150. Ni Airbus A318,moja ya toleo jipya katika generation ya Airbus. Kodi na gharama nyingine ni kama 40,000/.
>>Return ticket dsm/mwz ni kama 112,000/ tax inclusive.
>>Asubuhi unaenda mwanza kuvua samaki, jioni unarudi. Lol.
>>LL
>>Sent from Samsung Tab 10.1
>>On Nov 20, 2012 6:18 PM, "Yona Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>>
>>Inasemekana wanajaribu hiyo kwa miaka 2 kuona itakuwaje lakini pia kuna baadhi ya gharama wamepunguziwa na mamlaka nyingine za nchi na kuna tax holiday hapo .
>>>
>>>
>>>2012/11/20 Ipyana Lwinga <ipyanalwinga@gmail.com>
>>>
>>>Mie sina wasiwasi sana na hiyo business. Inaweza ikadumu jamani, ndege
>>>ni kujipanga na kuanguka kwao kutasababishwa na mizengwe kutoka kwa
>>>makampuni mengine ya ndege.
>>>
>>>--
>>>Ipyana Lwinga
>>>
>>>Email:    ipyanalwinga@gmail.com
>>>Mob:     +255 757 065577
>>>Skype:   ipyana.plwinga
>>>
>>>"Mpende Jirani yako kama nafsi yako..."
>>>
>>>--
>>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>>--
>>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>> 
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk
> CORE 2 DUO
> 2.0 GHZ CPU
> 2 GB RAM
> DVD/CD - RW
> WINDOWS 7 /WINDOWS XP
> WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0718 637905
> 0786 806028
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
> --
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
DELL LATITUDE D 620 & D30
 
80 GB HardDisk
CORE 2 DUO
2.0 GHZ CPU
2 GB RAM
DVD/CD - RW
WINDOWS 7 /WINDOWS XP
WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0718 637905
0786 806028
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" IT IS MORE IMPORTANT  TO  USE YOUR  MIND TO THINK  THAN TO USE IT  AS  A WAREHOUSE  OF  FACT"

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
 
TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY
 
CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment