Monday 10 December 2012

Re: [wanabidii] Semina ya ujasiriamali kwa watu wote

Harufu ya uelimikaji naipongeza bt watanzania wanapenda vya bure msife
moyo wakielimika watakuja kwa wingi andikeni na vitabu vyenye lugha
rahisi na vya garama nafuu mtanzania atakombolewa kwa vitendo

On 12/10/12, Charles Nazi <cnazi2002@yahoo.com> wrote:
>
> Wapendwa,
> Napenda kuwafahamisha kwamba tumeanzisha semina za ujasiriamali kwa watu
> wote. Semina hizo zitaendeshwa kila siku ya jumamosi kuanzia tarehe
> 15/12/12, saa 4.00 asubuhi mpaka saa7.00 mchana .Semina hizo zitaendeshwa
> kwenye ofisi yetu ya Mshauri wa biashara, iliyopo eneo la barabara ya
> Mandela mkabala wa kituo cha daladala Mabibo Hostel, Dar es salaam.
> Muwezeshaji atakuwa ni Charles Nazi, Mshauri wa biashara na Mtunzi wa
> kitabu cha mbinu za biashara . Kiingilio ni Sh. 10,000 kwa kila mshiriki.
> Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;
>
> 1. Namna ya kuanzisha biashara.
> 2. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
> 3. Namna ya kupambana na vikwazo katika biashara yako.
> 4. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
> 5. Mifano hai ambayo unaweza kuifuata na kuanzisha biashara
> 6. Maswali na majibu.
> Kwa wale ambao watahudhuria wapige simu au watume ujumbe simu namba
> 0755394701
>
> CHARLES NAZI
> Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara;
> http://www.squidoo.com/mshauricharles
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> DELL LATITUDE D 620 & D30
>
> 80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,2 GB RAM
> DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .
>
> TSHS : 380,000 , 1 YEAR WARRANTY
>
> CALL : 0786 806028
> Free Delivery in Dar es salaam
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

DELL LATITUDE D 620 & D30

80 GB HardDisk ,CORE 2 DUO , 2.0 GHZ CPU ,1 GB RAM
DVD/CD - RW ,WINDOWS 7 /WINDOWS XP ,WIRELESS , BLUE TOOTH .

TSHS : 360,000 , 1 YEAR WARRANTY

CALL : 0786 806028
Free Delivery in Dar es salaam

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment