Wednesday 10 October 2012

[wanabidii] Ripoti ya Baraza la Habari ya Kifo cha Mwangosi

Jamani,
 
Sijaona hii ripoti ya pili kutoka Baraza la Habari la Tanzania ikijadiliwa au kuwekwa humu.
 
Naomba basi kwa heshima na taadhima niiweke humu ingawa mwenyewe sijapata muda wa kuisoma. Pamoja nayo, naomba niiweke na ile ya Kamati ambayo kidogo jana inipe homa nilipoidonyoadonyoa kidogo dakika chache baada ya kuwekwa humu.
 
Matinyi.

0 comments:

Post a Comment