Sunday 7 October 2012

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] JIMBO LA IRINGA MJINI KUBAKI CHADEMA KWA MIAKA 10 ZAIDI

Mwenyenzi Mungu, muumba wa mbingu na nchi ayabariki maneno ya adeladius ...

Nakuomba Mungu baba uyape kibali maneno haya yatimie ... Okoa Iringa kutoka kweny makucha ya kifisadi ya CCM .. vunja vunja nguvu za Ibilisi CCM, asiweze kupata mbunge Katika majimbo yote ya Iringa.

Bariki maneno ya utabiri ya kada wa Mafisadi ...! Bariki Mungu baba ili yatimie ...weka huru wakulima wa nyanya, mahindi na vitunguu ...wanaonyonywa jasho lao na Mafisadi CCM ...

Na watu wote tuseme Amen.

adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com> wrote:

>Jana kama Mwana CCM nilipata hamasa ya kwenda kufuatilia uchaguzi
>wa UVCCM mkoa wa Iringa angalau kwa nia moja tu kujua namna wapiga
>kura wanavyofanya maamuzi yao ya kisiasa.
>
>Kwa kuwa nimeweza kushuhudia siasa za iringa angalau tangu mwaka
>1995 wakati huo nikiwa kijana mdogo sekondari lakini niliweza kuona
>mtazamo wangu wa siasa na hamasa za Wakazi wa iringa juu uchaguzi.
>
>Kwa hakika Uchaguzi huo kwa bahati nzuri UVCCM taifa ilirudisha
>majina 3 ambayo kwa hakika majina mawili ni ya makada wa CCM na
>UVCCM tangu siasa za vyuo za UVCCM na ndani ya Chama makada hao
>ni Abba Ngwilangwa na Ramadhani Baraza.
>
>Nilitegemea sana makada wa UVCCM na wajumbe waliokuwa na haki ya
>kumchagua mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa basi kura zao
>zingeangukia katikaRamadhani Baraza ambaye kwa hakika wasifu wake
>kisiasa ni mkubwa au akipata ushindi Abba Ngwilangwa ambaye yeye
>nae wasifu wake kwa Chama hauna mashaka.
>
>Kwa hakika mimi binafsi sina imani na Tumaini Msowoya kama anauwezo
>wa kuiimarisha CCM na UVCCM Iringa ili kuweza kupambana na CHADEMA
>katika mkoa wa Iringa na wilaya zake.Nadhani hapa Chama cha
>Mapinduzi kimepotea njia bila ya kujua.
>
>Kama CCM Mkoa wa Iringa wasipokuwa makini basi kuna dalili zote
>jimbo mla Iringa Mjini kubaki upinzani na majimbo k uongezeka kwa
>CHADEMA kupata majimbo zaidi.
>
>Wajumbe na wenye nafasi ya kupiga kura siku zote wanatakiwa kuwa
>makini mno katika uchaguzi kwani uchaguzi ni uhai wa Chama na
>vinginevyo uchaguzi unaweza kuwa umauti kwa chama.
>
>
>Kama hali hii itaendelea Iringa mjini kubaki kwa CHADEMA kwa miaka
>10 zaidi.Ninasema haya kwa kuwa UVCCM ndipo moyo wa chama ulipo
>kama moyo ni dhaifu basi na mwili mzima wa chama utakuwa dhaifu
>kabisa.
>
>
>Wasalaam Adeladius Makwega
>
>--
>Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
>Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
>Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
>TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
>For more options, visit this group at:
>http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment