Tuesday 16 October 2012

[wanabidii] Jk Azungumzia Mahusiano ya Kidamu na Oman - Mwanzo

Tanzania na Oman zina mahusiano ya Kidamu na kindugu ambayo ni  maalum sana yanayopaswa kudumishwa, kuthaminiwa na kuenziwa kwa dhati.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemuambia Mfalme Qaboos Bin Said katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika katika nyumba ya kifalme ya Al -Alam mara baada ya kuwasili katika Taifa la Kifalme la Oman jana  tarehe 15.Octoba, kuanza ziara ya kiserikali ya siku 4.
"Tanzania na Oman zina mashirikiano maalum kuliko nchi nyingine yeyote duniani  kwa sababu ya undugu wa damu uliopo baina ya watanzania na wa Oman, hivyo hii ni ziara  maalum sana  katika nchi zetu." Rais amemuambia Mfalme.

http://wotepamoja.com/archives/8927#.UH2hsMnUmUM.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment