Sunday 28 October 2012

[wanabidii] Gold export earnings jumped 47 percent to $2.226 billion last year

Hi All,
Jamani sina hakika kama hii ni kweli. Nimeona kwenye article moja ya hapa chini kuwa ...."Tanzania is Africa's fourth biggest gold producer. 
Gold export earnings jumped 47 percent to $2.226 billion last year."
Sasa pesa hizi zote zinakuenda wapi? Inakuwaje mpaka leo watoto wetu wanakaa chini kwenye sakafu mashuleni? Au ndio hizo pesa zilizowekwa Switzerland? 
Hebu kaka Emmanuel Muganda tupe hio list ya hao jamaa walizoziweka hizi pesa huko Swiss ili tukiwaona njiani angalau tuwatemee mate kama sio kuwapiga mawe.
Mzee Vijisenti nasikia siku hizi haonekani!
Na hawa investors nao wanasikitika eti tunabadilisha agreements kila mara na kwahivyo watatukimbia. Wakitukimbia sio watakula hasara wao?
Pesa zipo nje nje hizi watazikataa?
Anyway, maskini hachagui!


//Nkumba.

0 comments:

Post a Comment