Sunday 14 October 2012

Re:[wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

TCRA ni wahuni. Ni lini mmesikia wakiwaelimisha watu kuhusu simu fake? Nitaomba apology kama kweli kitu hiki kipo.
Ninachoona wamekishikia bango ni kuzima technology ya analogy kwenye TV na kwenda digital.

Nitaupokea uamuzi huo kwa mikono miwili.

Lutinwa

On Oct 14, 2012 11:13 AM, "STEVEN ROBERT" <stvrobby@gmail.com> wrote:
Hapo itasaidia sana, huu wizi wa simu umekithiri mtu unajipanga unanunua kitu cha bei kali the unaibiwa.Kuna tetesi niliskia hii kitu ilikuwa ianze kutumika ata kabla ya kenya kutangaza ila makampun ya simu yalikuwa yanazuia kwamba yatapoteza wateja wengi ukizingatia simu nyingi sana tunazotumia hasa zile za bei kuanzia tsh150,000/, USA= na kuendelea ni zakupigwa nchi mbalimbali has SA, USA, EUROPE and CANADA. na zingine hazipo katika grade inayotakiwa, zingine zina IME namba zaidi ya moja.
 
On Sunday, October 14, 2012 12:10:28 AM UTC-7, kiganyi wrote:
TANZANIA will join her neighbour Kenya in getting rid of counterfeit telephone handsets in the country by switching them off.

Speaking to "Sunday News' the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Acting Corporate Communication Manager Mr Semu Mwakyanjala said the regulatory authority is first planning to educate the public on the need to buy genuine mobile phones. "It is a long term plan to switch off counterfeit mobile phones in operation, for now we are only focusing on educating the public into buying genuine mobile phones," Mr Mwakyanjala noted. He said the move will eventually be taken by all the other East African Member states, including Rwanda, Uganda and Burundi.

http://wotepamoja.com/archives/8659#.UHplOPY837Q.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment