Wednesday 17 October 2012

Re: [wanabidii] Zanzibar hali imeanza kuchafuka

Rais Mkapa na Rais Nyerere walikuwa na upeo mkubwa kiuongozi,hawakuruhusu ujinga wa aina hii utawale. Bahati mbaya hapa katikati ndio tunajikuta kwenye transitions. Mungu Ibariki Tanzania.

On Oct 17, 2012 7:30 PM, "Godfrey Ngupula" <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

rais mkapa alijua dawa ya mpumbavu ni upumbavu na sio diplomasia.Kwa kutafuta kupendwa serikali imeyambua macho mengi ya matendo ya waislam,na sasa ndio mshahara wake..Ngupula godfrey

------------------------------
On Wed, Oct 17, 2012 18:20 EEST John Nkumbaruko wrote:

>Haya tena Zanzibar hali imeanza kuchafuka.
>Written by ole  //  17/10/2012  
>Na. B.OLE,
>Hali si shuari Zanzibar hivi sasa hii ni kutokana na kutekwa kwa Sheikh Farid jana usiku. Baadhi ya vujo zimeikumba sehemu ya Mji mkongwe lakini pia kuna taarifa ya kushambuliwa kwa maskani Mama ya kisonge hapa Michezani.
>Tutajaribu kuwaleteeni habari kadri ya hali itakavyo kuwa hapa, hata hivyo baadhi ya Maduka yameshaanza kufungwa na hali sio shuari,hatuwezi kujua nini hasa hatma ya hali kwa wakati huu.
>Tuombeni dua kwa sote.
>Chanzo: Mzalendo
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment