Friday 5 October 2012

Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo

Ayii Mtume !!!

Kenneth,
Kiswahili cha Nairobi ndicho ambcho ni Sheng, mchanganyiko wa
Kiwahili, KiLuo, Kiluhya, Kikuyu, Kikamba na lugha zenginezo za Kenya.

Kiswahili sanifu ni Mombasa na pwani ya Kenya kwa ujumla. Lakini hicho
Kiswahili cha Pwani ya Kenya nacho chafanana sana na kile cha Pemba
na Unguja. Very heavily influenced by Arabic.

Courage

On 10/5/12, Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com> wrote:
> Sasa wewe Paul, ukisoma historia unaambiwa kuwa Rebman alikuwa mtu wa
> kwanza kugundua Mlima Kilimanjaro na ukisoma hivyo unaamini hivyo? Kwani
> kabla Rebman hajaja Kilimanjaro wenyeji hawakuuona huo Mlima? Basi vilevile
> kwa hili Kama Krapf ndo alikuwa wa kwanza kuandika kamusi na akawahusisha
> watu wa Rabai kumpa tasfiri haina maana kuwa Warabai ndiyo walioanzisha
> kiswahili. Rudi kwanye makataba ukachimbe zaidi uje na hoja yenye mashiko.
> Na vile vile wewe kujua maana ya utohozi haikufanyi wewe kuwa bingwa wa
> kiswahili kwa sababu kiswahili cha kikenya ni cha kutohoa zaidi lakini
> mbaya zaidi kwa kuharibu na kukipa jina la "Sheng"
>
>
>
> 2012/10/5 Paul Liyai <pauliyai@yahoo.com>
>
>> Bwana Matinyi,
>> wajua utohozi nini? Je wewe unaujua msamiati wote wa Kiswhili? Kama kuna
>> mtu hat mmoja anyeujua msamiati wa lugha yoyote ile hatungekuwa na maana
>> ya
>> kuziandika kamusi.
>>
>>
>> ------------------------------
>> *From:* Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>> *To:* Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
>> *Sent:* Friday, October 5, 2012 4:18 AM
>>
>> *Subject:* RE: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>
>>
>> Paul,
>> Sijaelewa unachokitaka.
>> Si ulijitetea kwamba hukufanya makosa ya kisarufi bali ni makosa ya
>> uandikaji tu? Sasa unataka nikwambieje?
>> Kama Wakenya wameandika vitabu vingi vya Kiingereza, sasa inaua vipi hoja
>> yangu, kimsingi hata hoja haifi hapa. Unatakaje?
>> Kila pointi niliyokuwekea hapo ina maana yake - kwa ufupi nilikuwa nataka
>> kukata ngebe zako. Juzi mwalimu mmoja wa Kiswahili Mtanzania hapa
>> Marekani
>> amekutana na profesa wa Kiswahili Mkenya hajui maana ya msamiati
>> "magonjwa
>> sugu." Mwalimu mwingine wa Kiswahili Mkenya mwenye shahada ya uzamivu
>> (PhD)
>> nimemkuta anawafundisha Wamarekani kusema eti "wikiendi bora"
>> akimaanisha:
>> "...have a nice weekend!". Hii ni nini? Halafu unabisha kitu gani?
>> Angalia hapo chini umeweka Kiswahili cha Kikenya: "....majivuno isiyo
>> msingi."
>> Angalia pia herufi kubwa na ndogo zinavyogongana kwenye Kiswahili chako -
>> uthibitisho kwamba unakijua vizuri sana Kiswahili.
>> Galagabaho hivyo hivyo.
>> Matinyi.
>> ------------------------------
>> Date: Thu, 4 Oct 2012 14:07:44 -0700
>> From: pauliyai@yahoo.com
>> Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Ndugu Matinyi,
>> Nakuonea huruma wewe. Pole sana. Nikweli wewe hufahamikiwi kwani
>> unatapatapa hapa napale. Nilikuuliza unionyeshe nivipi ninakivuruga
>> Kiswahili, umeruka umekwnda Kwa Nyerere, msumbiji sijui nini,....
>> Nilikwambia kwamba wakenya wameviandika vitabu vingi katika Kiingereza,
>> kuandika vitabu hakuwafanyi Wakenya kuwa mabingwa. Soma hii profile
>> ujionee
>> mwenyewe
>> http://www.ku.ac.ke/schools/humanities/images/stories/docs/prof_mbaabu.pdfTena
>> mtafute bewana huyu Meja Mwangi aliyeandika Vitabu kama the Cocroach
>> Dance, Carcase for hounds na vingine vingi. Hapa chini Orodha ya
>> Watanzania
>> walioandika Vitabu mbali mbali. Je idadi yao ni sawa na ya wakenya? Ujibu
>> swali hili wacha kutapatapa na majivuna isiyo msingi. Mimi Kiswahili ni
>> lugha yangu ya Kwanza. Si KAMA UNAVYO FIKIRAI WEWE.
>> Tanzania <http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania>
>>
>> - Agoro
>> Anduru<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Agoro_Anduru&action=edit&redlink=1>(1948–1992),
>> short story writer.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Mark Behr <http://en.wikipedia.org/wiki/Mark_Behr> (1963– ), fiction
>> writer also connected with South
>> Africa<http://en.wikipedia.org/wiki/South_Africa>
>> .
>> - Chachage Seithy
>> Chachage<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Chachage_Seithy_Chachage&action=edit&redlink=1>(
>> –2006), sociologist and Swahili novelist.
>>
>> [146]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-145>
>> - Abdulrazak Gurnah
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Abdulrazak_Gurnah>(1948– ), novelist and
>> critic.
>>
>> [Gikandi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi>
>> ] [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Ebrahim N.
>> Hussein<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Ebrahim_N._Hussein&action=edit&redlink=1>(1943–
>> ), playwright, essayist, poet and translator.
>>
>> [Gikandi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi>
>> ] [Gikandi &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ] [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Euphrase
>> Kezilahabi<http://en.wikipedia.org/wiki/Euphrase_Kezilahabi>(1944– ),
>> novelist, poet and scholar.
>> - Jacqueline
>> Kibacha<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Jacqueline_Kibacha&action=edit&redlink=1>,
>>
>> poet.[147]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-146>
>> - Aniceti Kitereza
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Aniceti_Kitereza>(1896–1981), novelist.
>> - Amandina
>> Lihamba<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Amandina_Lihamba&action=edit&redlink=1>(1944–
>> ), playwright.
>>
>> [148]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-147>
>> - Ismael R.
>> Mbise<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Ismael_R._Mbise&action=edit&redlink=1>,
>> novelist and
>> academic.[Gikandi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi>
>> ]
>> - Penina
>> Mlama<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Penina_Mlama&action=edit&redlink=1>,
>>
>> playwright.[149]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-148>
>> - Sandra A.
>> Mushi<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Sandra_A._Mushi&action=edit&redlink=1>,
>>
>> poet.[150]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-149>
>> - Elvis
>> Musiba<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Elvis_Musiba&action=edit&redlink=1>(
>> –2010), businessman and Swahili novelist.
>>
>> [151]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-150>
>> - Godfrey
>> Mwakikagile<http://en.wikipedia.org/wiki/Godfrey_Mwakikagile>,
>> writer and specialist in African studies.
>> - Ras Nas <http://en.wikipedia.org/wiki/Ras_Nas>, musician and poet.
>> - Julius Nyerere
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Julius_Nyerere>(1922–1999), politician and
>> writer.
>> [Gikandi &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ]
>> - Peter
>> Palangyo<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Peter_Palangyo&action=edit&redlink=1>(1939–1993),
>> novelist.
>>
>> [Gikandi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi>
>> ] [Gikandi &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ] [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Prince
>> Kagwema<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Prince_Kagwema&action=edit&redlink=1>(1931–
>> ), novelist.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Hammie
>> Rajab<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Hammie_Rajab&action=edit&redlink=1>,
>> Swahili
>> novelist.[152]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-151>
>> - Shaaban Robert
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Shaaban_Robert>(1909–1962), Swahili novelist
>> and poet.
>>
>> [Gikandi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi>
>> ]
>> - Gabriel
>> Ruhumbika<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Gabriel_Ruhumbika&action=edit&redlink=1>(1938–
>> ), novelist and short story writer.
>>
>> [Gikandi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi>
>> ] [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Edwin Semzaba <http://en.wikipedia.org/wiki/Edwin_Semzaba>,
>> novelist, playwright, actor and director.
>> - Robert Bin Shaaban
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Robert_Bin_Shaaban>(1902–1962), poet, author
>> and essayist.
>> - Shafi Adam
>> Shafi<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Shafi_Adam_Shafi&action=edit&redlink=1>,
>> Swahili
>> novelist.[153]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-152>
>> - Neema
>> Komba<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Neema_Komba&action=edit&redlink=1>,
>> Poet.
>>
>> Kenya <http://en.wikipedia.org/wiki/Kenya>
>>
>> - kenneth
>> kinyanjui<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Kenneth_kinyanjui&action=edit&redlink=1>(2012-),novelist,actor.
>> - Jared
>> Angira<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Jared_Angira&action=edit&redlink=1>(1947-),
>> poet.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Khadambi Asalache
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Khadambi_Asalache>(1934– ), poet and
>> author.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Karen Blixen <http://en.wikipedia.org/wiki/Karen_Blixen> aka Isak
>> Dinesen <http://en.wikipedia.org/wiki/Isak_Dinesen> (1885–1962),
>> novelist.
>> - Rocha Chimera <http://en.wikipedia.org/wiki/Rocha_Chimera>, Swahili
>> author and critic.
>> - Corney
>> Gichuki<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Corney_Gichuki&action=edit&redlink=1>(1968
>> -), writer of popular children's fiction.
>> - Elspeth Huxley
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Elspeth_Huxley>(1907–1997), journalist and
>> autobiographical writer.
>> - Philo
>> Ikonya<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Philo_Ikonya&action=edit&redlink=1>,
>> poet and human rights
>> activist.[89]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-88>
>> - Francis
>> Imbuga<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Francis_Imbuga&action=edit&redlink=1>(1947-
>> ), director and playwright.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Samuel
>> Kahiga<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Samuel_Kahiga&action=edit&redlink=1>,
>> short story writer and novelist.[Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Jomo Kenyatta
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Jomo_Kenyatta>(1892?–1978), politician and
>> writer.
>> [Gikandi &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ]
>> - Leonard
>> Kibera<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Leonard_Kibera&action=edit&redlink=1>(1942–1983).
>> novelist and short story writer.
>> [Gikandi &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ] [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - John
>> Kiriamiti<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=John_Kiriamiti&action=edit&redlink=1>(1950-
>> ), writer of popular fiction.
>> [Gikandi &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ]
>> - Muthoni
>> Likimani<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Muthoni_Likimani&action=edit&redlink=1>(1926-
>> ).
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Marjorie Oludhe
>> Macgoye<http://en.wikipedia.org/wiki/Marjorie_Oludhe_Macgoye>(1928– ),
>> novelist, essayist and poet.
>> - Charles Mangua <http://en.wikipedia.org/wiki/Charles_Mangua>(c.1940–
>> ), fiction writer.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Ali A. Mazrui <http://en.wikipedia.org/wiki/Ali_A._Mazrui> (1933– ),
>> academic and political writer.[Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Mwana Kupona binti
>> Msham<http://en.wikipedia.org/wiki/Mwana_Kupona_binti_Msham>(died c.1865),
>> Swahili poet.
>> - Micere Mugo <http://en.wikipedia.org/wiki/Micere_Mugo> (1942– ),
>> playwright, academic and poet.[Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Wahome Mutahi <http://en.wikipedia.org/wiki/Wahome_Mutahi> (−2003),
>> satirical journalist.
>> - Joseph Muthee <http://en.wikipedia.org/wiki/Joseph_Muthee> (1928– ),
>> Kikuyu writer.
>> - Meja Mwangi <http://en.wikipedia.org/wiki/Meja_Mwangi> (1948– ),
>> novelist.[Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Rebecca
>> Nandwa<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Rebecca_Nandwa&action=edit&redlink=1>,
>> Swahili children's
>> writer.[90]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-89>
>> - Mona L.
>> Nduilu<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Mona_L._Nduilu&action=edit&redlink=1>(1976
>> -)
>>
>> [91]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-90>
>> - Stephen N.
>> Ngubiah<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Stephen_N._Ngubiah&action=edit&redlink=1>(1936-
>> ), novelist.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Ngugi wa Mirii <http://en.wikipedia.org/wiki/Ngugi_wa_Mirii> (1951–
>> ), playwright.
>> - Ngũgĩ wa
>> Thiong'o<http://en.wikipedia.org/wiki/Ng%C5%A9g%C4%A9_wa_Thiong%27o>(1938–
>> ), English-language and Gikuyu writer.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Rebeka
>> Njau<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Rebeka_Njau&action=edit&redlink=1>(1932-
>> ), novelist, playwright and poet.
>> [Gikandi &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ] [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Chacha
>> Nyaigotti-Chacha<http://en.wikipedia.org/wiki/Chacha_Nyaigotti-Chacha>(1952–
>> ), playwright.
>> - Atieno Odhiambo
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Atieno_Odhiambo>(1945–2009), academic.
>> - Oginga Odinga
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Oginga_Odinga>(1912–1994), writer,
>> philosopher and politician.
>> [Gikandi &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ]
>> - Margaret Ogola <http://en.wikipedia.org/wiki/Margaret_Ogola> (1958-
>> ).[Gikandi &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ]
>> - Grace Ogot <http://en.wikipedia.org/wiki/Grace_Ogot> (1930–
>> ).[Gikandi
>> &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ] [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Yvonne Adhiambo
>> Owuor<http://en.wikipedia.org/wiki/Yvonne_Adhiambo_Owuor>(1968- ), winner
>> of the Caine
>> Prize <http://en.wikipedia.org/wiki/Caine_Prize> 2003.
>> - Shailja Patel <http://en.wikipedia.org/wiki/Shailja_Patel>, poet,
>> playwright and activist.
>> - Mwangi
>> Ruheni<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Mwangi_Ruheni&action=edit&redlink=1>(born
>> 1934), scientist and popular novelist.
>> [Gikandi &
>> Mwangi<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Gikandi_.26_Mwangi>
>> ] [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - M. G. Vassanji <http://en.wikipedia.org/wiki/M._G._Vassanji> (1950–
>> ), novelist and editor.
>> - Koigi wa Wamwere
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Koigi_wa_Wamwere>(1949– ), politician and
>> writer.
>> - Godwin
>> Wachira<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Godwin_Wachira&action=edit&redlink=1>(1936-
>> ), novelist.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Charity Waciuma <http://en.wikipedia.org/wiki/Charity_Waciuma>(1936–
>> ), novelist.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Wangui Wa
>> Goro<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Wangui_Wa_Goro&action=edit&redlink=1>,
>> academic and
>> translator.[92]<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-91>
>> - Binyavanga
>> Wainaina<http://en.wikipedia.org/wiki/Binyavanga_Wainaina>(1971– ), winner
>> of the Caine
>> Prize <http://en.wikipedia.org/wiki/Caine_Prize> 2002.
>> - Gakaara Wanjau
>> <http://en.wikipedia.org/wiki/Gakaara_Wanjau>(1921–2001), writer and
>> Gikuyu nationalist.
>> - Kenneth
>> Watene<http://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Kenneth_Watene&action=edit&redlink=1>(born
>> 1944), playwright.
>> [Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Miriam Were <http://en.wikipedia.org/wiki/Miriam_Were> (1940– ),
>> public health advocate, academic and novelist.[Killam &
>> Rowe<http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_African_writers_by_country#cite_note-listref-Killam_.26_Rowe>
>> ]
>> - Moraa Gitaa <http://en.wikipedia.org/wiki/Moraa_gitaa> - author,
>> novelist, short story writer, 2010 Penguin Prize for African Writing
>> nominee, 2008 National Book Development Council of Kenya Literary
>> Award
>> winner. {Nsemia Inc. Publishers, Author Me, G21}
>>
>> ------------------------------
>> *From:* Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>> *To:* Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
>> *Sent:* Wednesday, October 3, 2012 2:33 AM
>> *Subject:* RE: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>
>> Paul,
>> Unapoteza muda bure tu. Kwanza hatuna ushahidi wa unayoyasema. Pili, hata
>> kama ushahidi upo, cha ajabu ni nini? Mbona hapa Marekani tuna maprofesa
>> wa
>> Kiingereza ambao ni Watanzania mmojawapo ana blogu yake anaitwa prof.
>> Mbele
>> na hata humu Wanabidii yumo? Hamna cha ajabu kama kuna Wakenya
>> walioandika
>> vitabu vya Kiingereza lakini sivijui zaidi ya vile vya Ngugi wa Thiong'o
>> labda na kingine kimoja kwa vinavyotumika kwenye mitihani. Nitajie
>> vingine.
>>
>> Aidha, si lazima ukubaliane na sababu za huyo aliyesema kwamba Watanzania
>> ni mabingwa lakini ukweli unabakia hivi: Huwezi kuwalinganisha watu
>> wowote
>> hapa duniani na Watanzania kwenye lugha ya Kiswahili. Basi! Hakuna ukweli
>> mwingine! Ili Mkenya azungumze Kiswahili safi ni lazima awe amefundishwa
>> darasani na kukifanya kiwe sehemu ya utaalamu wake maishani, siyo hivi
>> hivi
>> tu, mathalani wewe. Ukimchukua Mkenya yeyote utakumbana na madudu.
>>
>> Halafu, ili kuweka rekodi vizuri - Watanzania hatukitumii Kiswahili kwa
>> sababu labda Kiingereza chetu si kizuri, bali tunakitumia Kiswahili kwa
>> sababu ndiyo lugha yetu. Ukisoma historia utaambiwa kwamba Watanzania
>> walikitumia Kiswahili kama silaha mojawapo ya kupigania uhuru lakini
>> Wakenya hawakuwa wanakijua ingawa huwa wanadanganya kwamba eti na wao
>> walishiriki kwenye kukianzisha - sijui kivipi. (Ule msemo: Kiswahili
>> kilizaliwa Zanzibar, kikakulia Tanzania, kikafia Kenya, kikazikwa
>> Uganda).
>>
>> Aidha, baada ya uhuru sisi tulitangaza Kiswahili kuwa lugha yetu ya kila
>> kitu lakini Kenya ilisubiri hadi mwaka 1974 ndipo Rais Kenyatta alipotoa
>> Amri ya Rais (decree) - tena kwa kumuiga Dikteta Idi Amin aliyefanya
>> hivyo
>> mwaka 1973. Ndiyo kusema kwamba Uganda walikitangaza Kiswahili kuwa lugha
>> ya taifa kabla ya Kenya ingawa ni kweli kwamba ilibidi tangazo hilo
>> lirudiwe tena na akina Museveni kwa kura ya bunge. Hata Kongo
>> Mashariki imeitangulia Kenya kwenye Kiswahili isipokuwa hamu ya kutaka
>> kukipora Kiswahili ndiyo inawalazimisha Wakenya kukivamia kwa shida shida
>> hivyo hivyo.
>>
>> Tunafurahia kusikia watu wengine wakiivamia lugha yetu ya Kiswahili, hasa
>> Wakenya, lakini ukweli unabakia pale pale, kwamba kila lugha ina nyumbani
>> kwake na kwa Kiswahili nyumbani kwake ni TANZANIA. Haiwezekani lugha
>> ikawa
>> na makao kwenye nchi ambako haijulikani na wala haitumiki vema. Kila
>> kiongozi wa Kenya anazungumza Kiswahili mbofu-mbofu na hata bungeni
>> mnashindwa kukitumia, sasa mnang'ang'ania nini? Jifunzeni kwanza. Wakenya
>> wengi wanalijua hili isipokuwa wewe!
>>
>> *Kumbuka tena,* kuna marais wa nchi mbili duniani waliowahi kuhutubia AU
>> kule Addis Ababa kwa Kiswahili: Rais wa Msumbiji na Rais wa Tanzania. Kwa
>> nini? Kwa sababu rais wa Kenya hawezi.
>>
>> Matinyi.
>>
>>
>> ------------------------------
>> Date: Tue, 2 Oct 2012 11:27:34 -0700
>> From: pauliyai@yahoo.com
>> Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Magiri,
>> Ulikwenda shule gani wewe? Mbona hunionyeshi nilivyokivuruga Kiswahili?
>> Watanzania kukitumia Kiswahili sana ni kutojiweza katika Kutumia
>> Kiingereza. Nilisoma na wengi mno ambao hata kiswahili kiliwashinda,
>> sarufi
>> yao ilikuwa ya kubabaisah tu. Hamna mabingwa wa Kiswahili. Watanzania
>> wala
>> si miamba na Kiswahili hakimilikiwi na yeyote. Hii ni lugha ya kimataifa
>> na
>> kila taifa la Afrika Mashariki limekichangia Kiswahili. Kama kuna
>> makosa ya tahajia nilyoyafanya hapa chini ni yale yajulikanayo kwa
>> kiingereza dittographic ambayo hata wewe uliyafanya katika waraka wako
>> soma
>> hapa JE wewe hukuivuruga lugha hapa?
>> Hata hivyo baadhi ya wakenya wamekuwa wakilamika kuwa vitabu vingi vya
>> Watanazani vimekuwa vikitahiniwa nchini Kenya hususan katika vidato vya
>> tatu na vinne.
>> Nimekuonyesha sababu kuu zinazotetea msimamo wangu. Kwavile wakenya wengi
>> wameviandika vitabu vingi vya Kiingereza ambavyo vimetahiniwa Tanzania
>> wao
>> ni mabingwa wa Kiingereza? Hata wazungumzaji wa Kisukuma, kimrima au
>> kiarabu hawajiiti mabingwa. Tafadhili pinga kauli zangu zote kwa kudondoa
>> kila moja yazo ukitolea mifano mahususi. Wacha kujitapa ukiwa uchi wewe.
>> Erevuka Ndugu.
>>
>> ------------------------------
>> *From:* Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>> *Sent:* Wednesday, October 3, 2012 1:02 AM
>> *Subject:* Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>
>> Umesomeka mkuu!
>>
>> Tarehe 2 Oktoba 2012 6:53 alasiri, Mobhare Matinyi
>> <matinyi@hotmail.com>aliandika:
>>
>> *Paul,*
>> **
>> *Usipoteze muda wako bure tu - kwa kigezo chochote kile huwezi
>> kuwalinganisha Watanzania na watu wa taifa ama kundi lolote lile duniani.
>> Soma uliyoandika uone ulivyovuruga Kiswahili humo kwenye ujumbe wako
>> pamoja
>> na ubishi wako au sijui niite kuwaonea gere Watanzania. *
>> **
>> *Watanzania, ama tuwaite mabingwa au jine lolote lile, ndio miamba ya
>> Kiswahili duniani. Kubishia jambo la wazi ni kupoteza muda bure!*
>> **
>> *Asante,*
>> **
>> *Matinyi.
>> *
>> ------------------------------
>> Date: Tue, 2 Oct 2012 09:20:00 -0700
>> From: pauliyai@yahoo.com
>> Subject: Re: [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>> To: wanabidii@googlegroups.com; uchunguzionline@yahoogroups.com;
>> progressive-kenyans@googlegroups.com; giving-it-straight@googlegroups.com
>>
>>
>>
>> Kwa wapenzi wote wa Lugha ya Kiswahili,
>> Ninasikitika sana nisomapo mambo ambayo ndugu zetu Watanzania wanaendelea
>> kuyaandika hapa kuwa wao ni mabingwa wa Kiswahili. Sasa basi ninyi ndo
>> mabingwa basi leni mkanone! Nakumbuka katika idhaa ya taifa ya Sautu ya
>> Kenya kulikuwa na kipindi kimoja cha lugha ya Kiswahili kilichoitwa
>> Mabingwa wa Kiswahili, kipindi hiki kilikuwa kizuri sana katika
>> maendelezo
>> ya Lugha lakini kule kujitapa kwao kulileta hoja mbali mbali. Wale wote
>> waliokuwa wakijadili katika kipindi hiki wakiwemo, Mwalimu Walter
>> Mbotela,
>> Kazungu Katana, Ireri Mbaabu, Abdala Mwasimba, Abdala Baruwa na wengine
>> wengi wakaamua kubadilisha jina la kipindi hicho kwa sababu walikubaliana
>> kuwa hakuna mtu yeyote yule ambaye anaweza kusema kuwa yeye ndiye bingwa
>> wa
>> lugha kwa sababu lugha ni hai na inakua kila kukicha. Watanzania hawawezi
>> kuwa mabingwa wa lugha hii kwani hawaujui msamiati wote wa lugha ya
>> Kiswahili.
>>
>> Kule Kukitumia Kiswahili katika nyanja mbalimbali hakuwezi kuwafanya
>> Watanzania kuwa mabingwa. Vitabu vinavyotumiwa katika kufundishia Fasihi
>> ya
>> Kiswahili ni vitabu vinavyoteuliwa na jopo maalumu katika Taasisi ya
>> Elimu
>> ya Kenya na vitabu vinatoka kote. Vitabu vilivyotumiwa miaka ya awali kama
>> Mashimo
>> ya Mfalme Suleimani Cha Alan Paton, Mabepari wa Venisi,cha William
>> Shakespear tafsiri ya Marehemu Mwalimu Nyerere, Mkaguzi Mkuu wa Srikalicha
>> Nikolai Gogol, Masaibu
>> ya Ndugu Jero cha Wole Soyinka ni baadhi ya vitabu vilivyotumiwa katika
>> kufundishia fasihi. Vitabu hivi havikuandkwa na Watanzania.
>>
>> Watanzania hawawezi kuwa mabingwa wa Lugha kwa sababu ya kuwa vitabu
>> vinavyotumia katika Fasihi sasa viliandikwa na wao. Things Fall Apart cha
>> Chinua Achebe, The River Between, cha Ngugi wa Thiongo, The Concubine cha
>> Elechi Amadi ni riwaya za Kiingreza zilizotumiwa kufundishia Fasihi
>> katika
>> Kiingereza katika Nchi nyingi zikiwemo nchi za Afrika Mashariki. Kuandika
>> riwaya au Tamthilia katika Lugha fulani hakuwanyi watu wa Taifa lolote
>> kuwa
>> mabingwa wa Lugha hiyo. Wakenya si Mabingwa wa Kiingereza kwa sababu
>> wameandika Vitabu vingi katika Kiingereza.
>>
>> Hata hivyo vitabu vingi vinavyotumiwa kufundishia Lugha ya Kiswahili
>> nchini Kenya vimeandikwa na Wakenya wenyewe. Hata baadhi ya vitabu vya
>> fasihi viliandikwa na wakenya wenyewe vikiwemo, Siku Njema cha Ken
>> Walibora Waliaula, Kaburi bila Msalaba,Mtawa Mweusi, Visiki, Kilio Cha
>> Haki,Kwahivyo Ndugu zetu Watanania acheni kujitapa bure. Leopold Sengor
>> wa Senagal alikifahamu kifaransa barabara lakini hawezi kuitwa Bingwa wa
>> Kifaransa. Natamatisha mchango wangu kwa mada hii nikisema kuwa Kiswahili
>> ni lugha ya wote, yenye chimbuko lake katika Pwani ya Afrika Mashariki na
>> ni lugha inayo zidi kukua. Na ninasema hapa kuwa niliweza Kufundishwa
>> kiswahili na Mwalimu kutoka Tanzania ambaye kwakweli alitupotezea muda
>> wetu
>> bure. Kama hatungepata Mkenya amabaye alituzamisha katika Mashairi ya
>> Vitabu kama Dafina ya Umalenga, Kina Cha Maisha, na vinginevyo,
>> tungeufeli
>> mtihani.
>> Paulo
>>
>> ------------------------------
>> *From:* Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>> *Sent:* Tuesday, October 2, 2012 11:31 AM
>> *Subject:* [wanabidii] Watanzania Mabingwa Wa Kiswahili? - Mwanzo
>>
>> Kwa mpenzi yeyote wa Kiswahili ni sharti azingatie stadi nne za lugha
>> hiyo. Yaani kuzungumza, kusoma kuandika na kuelewa lugha ya Kiswahili.
>> Hata hivyo baadhi ya wakenya wamekuwa wakilamika kuwa vitabu vingi vya
>> Watanazani vimekuwa vikitahiniwa nchini Kenya hususan katika vidato vya
>> tatu na vinne. Ukweli ni kuwa Watanzania wamewabwaga wakenya na ipo
>> mifano
>> ya kutajika kuhusiana na hilo katika vitabu hususan vya fasihi. Swali ni
>> je
>> Wakenya wamepewa fursa ya kuandika au la? Ni nani anastahili kuwaambia
>> waandike vitabu vya Kiswahili, na je wachapishaji vitabu wako radhi
>> kuzichapisha kazi za Wakenya? Kuanzia miaka ya themanini hadi sasa, idadi
>> ya vitabu vya Watanzania vilivyotahiniwa katika kunga za riwaya,
>> tamthilia
>> na ushairi ni kubwa kushinda vya Wakenya.
>>
>> http://wotepamoja.com/archives/7833#.UGptucPAMEw.gmail --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>>
>> --

> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment