Tuesday 23 October 2012

Re: [wanabidii] Wanaoshinda Vijiweni Kunywa Kahawa Wasisumbuliwe – Kaborou - Mwanzo

Hapo tumueleweje huyo mwenyekiti huyo, anataka sifa za hao wanaoshinda kijiweni au anawaonea vivu akiwashitua watachangamuka, cha ajabu, pamoja na kwamba ni mawazo yake, viongozi wa ngazi za juu wasiste kukemea hoja kama hizo mara moja.


From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, 23 October 2012, 15:45
Subject: Re: [wanabidii] Wanaoshinda Vijiweni Kunywa Kahawa Wasisumbuliwe – Kaborou - Mwanzo




Hapa ndio patamu.Kamwe hatutakubali hata kidogo mtu anayeshinda toka asubuhi mpk jioni anakunywa kahawa akalingane kimaisha na anayeamka asbh na kuchapa mzigo. Watu wasidanganyike,hakuna serikali hata moja yenye uwezo wa kumletea mwananchi maendeleo moja kwa moja.Maendeleo yanaletwa na mtu mwenyewe.Na huu ndio mfumo wa tz yetu ya leo na inayokuja..Ngupula

------------------------------
On Tue, Oct 23, 2012 3:54 PM EEST Magiri paul wrote:

>MWENYEKITI wa CCM Mkoa Kigoma, Dkt. Aman Kabourou ametaka wananchi wa mji
>wa Kigoma Ujiji wanaoshinda kwenye vijiwe na kunywa kahawa kutwa nzima
>wasisumbuliwe kwani huo ndiyo utamaduni wa mji huo.
>
>Akihutubia Mkutano wake wa kwanza wa hadhara tangu achaguliwe kushika
>nafasi hiyo uliofanyika kwenye viwanja vya Cine Atlas Ujiji, Kabourou
>alisema watu hao wamezoea kuvaa kanzu zao nzuri nyeupe na kukaa kwenye
>vigenge vya kahawa kubadilishana mawazo.
>
>Akizungumzia maendeleo ya Mkoa huo, Kabourou aliwataka wananchi kumuunga
>mkono katika mkakati wa kusimamia na kuleta maendeleo ya mkoa huo, kama
>ambavyo Rais Jakaya Kikwete alivyoonesha mfano kwa kuufungua mkoa huo na
>kuleta miradi mbalimbali ya maendeleo.
>
>http://wotepamoja.com/archives/9554#.UIaS9SLj0qw.gmail
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment