Tuesday 23 October 2012

RE: [wanabidii] Wanaoshinda Vijiweni Kunywa Kahawa Wasisumbuliwe – Kaborou - Mwanzo

Anajipanga kugombea Ubunge huyo, atapata kura tu.

-----Original message-----
From: kailima kombwey
Sent: 23/10/2012, 19:14
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Wanaoshinda Vijiweni Kunywa Kahawa Wasisumbuliwe – Kaborou - Mwanzo


Sijuwi hiyo Mikakati yake ya Maendeleo itapatikana vipi wakati anawahimiza
watu wasifanye kazi badala yake wakae vijiweni kunywa "gahawa?" kwetu kule
Kibondo na Kasulu watu wanashinda kazini mashambani na kwenye shughuli
zingine na siyo vibarazani kunywa "gahawa". Na huo siyo utamaduni wa watu
wa Kigoma angesema ni utamaduni wa Ujiji.
On Oct 23, 2012 3:54 PM, "Magiri paul" <kiganyi@gmail.com> wrote:

> MWENYEKITI wa CCM Mkoa Kigoma, Dkt. Aman Kabourou ametaka wananchi wa mji
> wa Kigoma Ujiji wanaoshinda kwenye vijiwe na kunywa kahawa kutwa nzima
> wasisumbuliwe kwani huo ndiyo utamaduni wa mji huo.
>
> Akihutubia Mkutano wake wa kwanza wa hadhara tangu achaguliwe kushika
> nafasi hiyo uliofanyika kwenye viwanja vya Cine Atlas Ujiji, Kabourou
> alisema watu hao wamezoea kuvaa kanzu zao nzuri nyeupe na kukaa kwenye
> vigenge vya kahawa kubadilishana mawazo.
>
> Akizungumzia maendeleo ya Mkoa huo, Kabourou aliwataka wananchi kumuunga
> mkono katika mkakati wa kusimamia na kuleta maendeleo ya mkoa huo, kama
> ambavyo Rais Jakaya Kikwete alivyoonesha mfano kwa kuufungua mkoa huo na
> kuleta miradi mbalimbali ya maendeleo.
>
> http://wotepamoja.com/archives/9554#.UIaS9SLj0qw.gmail
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Emai
Email truncated to 2,000 characters
:::0:8bd4539d8db41b5723e95ee2ad8c4438:7d0::::

Original message is located on server

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment