Hakuna mpiga dede wale pipa hizo ndizo Hesabu za kisiasa mpaka
sasa Abba Ngwilangwa ameonyesha dalili zopte za ushindi ,
tunamjua Abba ni Mchapakazi na ni kada wa Chama tangu kitambo
On 10/6/12, Elias Msuya <
emsuya2001@yahoo.com> wrote:
> Wee Makwega ndiyo mpiga debe wa Abba Ngwilangwa? Acha majigambo tusubiri
> matokeo. Mgombea wako atapigwa chini sasa hivi, wee ngoja.
>
> --- On Sat, 10/6/12, adeladius makwega <
makwadeladius@googlemail.com>
> wrote:
>
> From: adeladius makwega <
makwadeladius@googlemail.com>
> Subject: [wanabidii] UVCCM Mkoa Iringa Umeanza, dalili Ushindi kwa Abba
> Ngwilangwa
> To: "wanabidii" <
wanabidii@googlegroups.com>, "mabadilikotanzania"
> <
mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Date: Saturday, October 6, 2012, 12:24 AM
>
> Uchaguzi huo unafanyika Leo na hivi sasa wajumbe wamefika, katika
> dalili za mwanzo Abba Ngwilangwa ambaye ni Mwanasheria na ana
> Shahada ya Pili ya Uongozi wa Biashara anaoneka wazi kuweza
> kushinda kiti hicho.
>
> Wakati wagombea mwenzake anayemkaribia ni Tumaini Msowoya ambaye ni
> mwanahabari wa gazeti la mwananchi anaoekana kukosa ushawishi kwa
> wajumbe vijana wa CCM wa mkoa huu ambao ni ngome mojawapo ya CCM.
>
> Ikumbukwe kuwa CCM inafanya chaguzi zake kwa kusudio la
> kukiimarisha chama chao.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment