Sunday 7 October 2012

Re: [wanabidii] UVCCM Mkoa Iringa Umeanza, dalili Ushindi kwa Abba Ngwilangwa

Eti Tumaini hawezi kukitetea chama chetu! Chama chenu wewe na nani? Wenye chama ndiyo wamemchagua wewe sijui uko upande gani. Kilichobaki shirikianeni kukijenga chama chenu, siyo kumkosoa aliyeshinda.

--- On Sun, 10/7/12, adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com> wrote:

From: adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
Subject: Re: [wanabidii] UVCCM Mkoa Iringa Umeanza, dalili Ushindi kwa Abba Ngwilangwa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, October 7, 2012, 8:39 AM

Jamani nipo ,  Nilikuwa na nafuatilia  wagombea wote  kwa  kina
lakini  Wagombea  sahihi  ambao niliwaona na wanaweza kushinda
wameshindwa. Nadhani  kuna tatizo sehemu fulani. Tumaini  Msowoya
hawezi kukitetea  chama  chetu CCM.

Jamani nipo  nilikuwa natathimini kwa kina  kushindwa  kwa  ndugu
Abba  Ngwilangwa na  Ramadhani Baraza na kwani  wagombea  sahihi
wameshindwa

On 10/7/12, Elias Msuya <emsuya2001@yahoo.com> wrote:
> Mi nilimwambia jana kwamba Ngilangwa hawezi kushinda, akabisha. Naona
> ameandfika ujumbe eti Iringa itakuwa ngome ya Chadema. Mi sijui, ila bora
> ukweli umejulikana.
>
> --- On Sun, 10/7/12, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>
> From: hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] UVCCM Mkoa Iringa Umeanza, dalili Ushindi kwa Abba
> Ngwilangwa
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, October 7, 2012, 6:29 AM
>
> Makwega amekimbilia wapi? Ama keshapigwa nini huyu na mgombea wake? Sent
> from my BlackBerry® smartphone from Vodacom TanzaniaFrom:  Elias Msuya
> <emsuya2001@yahoo.com>
> Sender:  wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 7 Oct 2012 06:21:03 -0700 (PDT)To:
> <wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] UVCCM Mkoa Iringa Umeanza, dalili Ushindi kwa Abba
> Ngwilangwa
> Haya sasa Makwega na Ngwilangwa wako? Nilikwambia lazima apigwe chini tu.
> Tatizo una assumptions za kizamani.
>
> --- On Sat, 10/6/12, adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
> wrote:
>
> From: adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] UVCCM Mkoa Iringa Umeanza, dalili Ushindi kwa Abba
> Ngwilangwa
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Saturday, October 6, 2012, 12:42 AM
>
> Hakuna  mpiga  dede  wale  pipa   hizo  ndizo Hesabu za kisiasa  mpaka
>  sasa  Abba  Ngwilangwa  ameonyesha dalili zopte  za ushindi ,
> tunamjua Abba ni Mchapakazi na ni kada wa Chama   tangu kitambo
>
> On
>  10/6/12, Elias Msuya <emsuya2001@yahoo.com> wrote:
>> Wee Makwega ndiyo mpiga debe wa Abba Ngwilangwa? Acha majigambo tusubiri
>> matokeo. Mgombea wako atapigwa chini sasa hivi, wee ngoja.
>>
>> --- On Sat, 10/6/12, adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
>> wrote:
>>
>> From: adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
>> Subject: [wanabidii] UVCCM Mkoa Iringa Umeanza, dalili Ushindi kwa Abba
>> Ngwilangwa
>> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>,
>  "mabadilikotanzania"
>> <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
>> Date: Saturday, October 6, 2012, 12:24 AM
>>
>> Uchaguzi huo unafanyika Leo  na hivi sasa  wajumbe  wamefika,  katika
>> dalili  za mwanzo Abba Ngwilangwa ambaye ni Mwanasheria  na ana
>> Shahada ya  Pili ya Uongozi wa  Biashara anaoneka  wazi kuweza
>> kushinda kiti hicho.
>>
>> Wakati wagombea  mwenzake anayemkaribia ni  Tumaini Msowoya ambaye ni
>> mwanahabari wa gazeti la  mwananchi anaoekana kukosa  ushawishi  kwa
>> wajumbe vijana wa CCM  wa  mkoa huu ambao ni ngome mojawapo  ya CCM.
>>
>> Ikumbukwe  kuwa  CCM inafanya  chaguzi  zake  kwa kusudio  la
>> kukiimarisha
>  chama  chao.
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na
>  Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment