Thursday 25 October 2012

RE: [wanabidii] Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA - Mwanzo

Kwa vile waliochanguliwa ndio  wataowaongoza vijana wa chama cha kijani watakao kuwa wanafanya mbinu zote ili CCM ibaki madarakani ni vizuri tuwajue kwa kina. Tupeni CV zao jamani. Walisoma wapi na wamesomea nini? Wazazi wao ni kina nani---watoto wa wakulima au wa wajasiria mali? Tupeni taarifa za kina jamani? Je inawezekana UVCCm walikubaliana kimya kimya na ushauri kuwa Mwenyekiti sasa atoke Zanzibar na Makamu Mwenyekiti awe mwanamke toka Bara? Je hii ni ishara ya mambo yatakavyo kuwa katika uchanguzi wa 2015...ushauri utatolewa mgombea wa Urais wa Muungano atatoka Zanzibar na mgombea mwenza wake atoka Bara  na atakuwa mwanamke?  Tuemeni uchambuzi mliokuwa Dodoma ukipima joto la kisiasa ndani ya jumuia za CCM. 
Mwl.  Lwaitama
 
> Date: Thu, 25 Oct 2012 07:34:22 -0700
> From: revomajula@gmail.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA - Mwanzo
>
> Nionavyo mimi watu wanaposhindwa ndio wanaibua tuhuma na hakika yake wangeshinda usingesikia hayo maneno pia Takukuru walikuwa wapi kama hao waliona rushwa zinagawiwa na je walitowa taarifa? Waache kutusumbua
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

0 comments:

Post a Comment