Wednesday 3 October 2012

Re: [wanabidii] This must be good news for our Bwana Mobhare Matinyi!!!

Mpaka hapo ilipofikia Muungano umevunjika tayari. Ni upuuzi kusema bado. Katiba ya Zanzibar jinsi ilivyo na vyote vinavyotakwa-mhuri; Wimbo wa---- Taifa au Serikali, nk inahitaji waTanzania Bara kuona umuhimu wa kuwa navyo ndipo tutajua Muungano ulivunjika zamani. naweza kuyasimamia hayo

--- On Tue, 10/2/12, John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com> wrote:

From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] This must be good news for our Bwana Mobhare Matinyi!!!
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, October 2, 2012, 3:52 PM

Hi All,
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Balozi Seif Ali Iddi, amesema serikali ya Zanzibar imeshajitosheleza katika mfumo 
wa serikali yake na haina haja ya kuwa na serikali ya Mkataba kwani kufanya hivyo ni sawa na kutaka kuvunjika kwa Muungano wa Tanzania.
Balozi Seif, alisema muundo wa serikali ya Zanzibar tayari umetoa fursa ya kuwa na vyombo muhimu vya juu ambavyo vimeweza kuunda serikali 
na hakuna haja ya kutaka kuwapo kwa serikali ya Mkataba ambayo ni sawa na kuuvunja Muungano. Akifafanua kauli hiyo Balozi Seif alisema mfumo 
wa serikali ya Zanzibar ndani ya Katiba umeruhusu kuwa na Katiba yake, Baraza la Wawakilishi, Muhuri, Bendera, Mawaziri, Wawakilishi na Wabunge 
jambo ambalo tayari mfumo huo umejitosheleza.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment