Tuesday 16 October 2012

Re: [wanabidii] Tetesi za kupigwa Risasi na kuuwa RPC wa Mwanza

Tuwe kama Ulaya sasa. Tuweke Cameras za kificho za kuona nje katika angalau maduka na majumba makubwa ya ofisi na katika taa za barabarani. Huyo mama huenda atawataja. Tatizo wataweka mawakili na kesi itakwenda mpaka kiama (Hela sasa hiyo na ndugu wa kuwawekea dhamana kibao!). Halafu katika mauaji wazi kama haya, anapatikana muuaji kwa vidhibti eti kusiwepo na HUKUMU ya KIFO? hakieleweki haki gani inayotafutwa katika uwazi huu. Ndio kunakuwaga na makosa ya kumnyonga asiyehusika. Lakini mikumi na risasi au wengine na nguo, gari na vifaa vya aliyeuliwa unakutwa nanvyo au walikuona?!
Mtu anamkata albino viungo na anakutwa navyo kaua kwa makusudi, kabaka kakitoto mpaka kimekufa na DNA imeonyesha ni yeye-bado asiuawe yaani kunyongwa?! Hivi mtu ukichinjiwa mtu wako (mwanao, mzazi, ndugu) na ukajua kwa vidhibiti bado utasamehe wakae jela, uwagharimie kuwalisha,matibabu wasife bali wapewe  kazi za jamii??!!! kaingia na mtutu mkabondwa, wakafa bahati nzuri mmoja akakamatwa ktk mapambano wenzake wakakimbia lakini akaja kuwataja na kukutwa na baadhi ya vitu, wameua mkeo, mume, mwanao-unataka vidhibiti gani tena?
Hawa nao wakikamatwa watauawa au walakaa miaka wakila kodi zetu?
Watalia kuwa-tupunguziwe kifungo tuna familia? Nina mke na watoto, nipunguziwe! na yule baba uliyemuua kwa risasi? na katoto ulichobaka kikafa? Leo eti nawe una mke na watoto usamehewe? Hakieleweki wauao waachiwe wasiuawe.

--- On Tue, 16/10/12, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Tetesi za kupigwa Risasi na kuuwa RPC wa Mwanza
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 16 October, 2012, 14:43

Kiwasila,
Eneo hili la kitangiri mwaka jana kama sikosei wabunge Kiwia na Machemli walishambuliwa na vibaka na kujeruhiwa lakini akatokea mwanasiasa akaanza kuwatuhumu wanasiasa wenzie na polisi, sasa polisi wenyewe wameshambuliwa simwoni tena huyu mwanasiasa kuzungumzia tatizo hili ndo kwanza yuko UK akijinafasi kana kwamba hakuna kilichotokea. eneo hili la Kitangiri linajulikana siku nyingi ndo maana yule mama alimsihi bwana mkubwa amsindikize.

2012/10/16 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
 
Hatutafikia mbali ktk maendeleo endelevu bali tutarudi nyuma daima TZ na Africa kwa ujumla yanakoendelea haya.
 
 Kuviziana na kuuana kwa visasi, kuvamia magulio au wafanya biashara watokao gulioni vijijini na kuwapora, kuvizia walimu waliopokea mishahara kuwaponda na kuwapora, wizi wa mifugo na kuchomeana nyuma na kulipiza kisasi; kuchomeana nyumba zaidi ya moja kwa kushukiana uchawi; kuvizia mabasi njiani kuweka mawe na kupora watu; kuvunja bank kwa baruti na kuiba kwa mtutu. Kisha hela unatumia kwa anasa, unamaliza, unaiba tena.
 
Waajiriwa wanakimbia kukaa vijijini sababu ya usalama wao wa kuvamiwa majumbani kuporwa vijisent. Wasomi wote wanakimbilia mjini kwa usalama wao. Kuua viongozi wa vijiji, mtaa kata twaona na kusikia vinaendelea TZ. Mtu unapunguzwa makali yako ya kazi kwa visasi na kutishiwa uhai wako. Bila ya shaka ukienda kutoa ushahidi mahakamani utatishiwa uhai. Hivyo basi, atakamatwa jambazi watu watamtaja kwa maandiko ya kura za siri lakini atatolewa kutokana na watu kuogopa kwenda kutoa ushuhuda mahakamani kutokana na kuogopa kufa kama walivyofanya Mwanza. Matokeo yake majambazi yanakaa kwa muda korokoloni kisha yanatolewa yanakuwa huru-hakuna ushahidi.
 
 Mara wafugaji na wakulima kupigana na kuuana. Haya, hao wanamifugo wanalimbikiza kwao wao wanalima kila kona ya ardhi au wamezidisha mifugo beyond carrying capacity ya eneo, wanahamishia wetland za kilimo cha mtunga na mahindi-beyond carrying capacity na wanalishia mashamba ambapo kwao mahindi au mpunga si majani ya mifugo. Huko mwanza, magu, bunda geita, maswa etc ni majaruba ya mpunga mchele kuuza Kenya na ZNZ. Geita, Biharamulo machipo ya dhahabu na kulimbikiza ktk ununuzi wa ng'ombe. Ikifahamika kuna kiwango na mwisho wa kila kitu kwa uwezo wake hata ndege au meli ikijaa sana itazama au kuanguka. Karne hii ya sasa na climate change kulimbikiza na kuhamahama tija watoto hawasomi. Ni bakora tu za wafugaji zinapeta Kilosa, Rufiji, Kilombero, Kilosa. Mapanga na mikuki kutiana vilema na kuchomeana nyumba na vyakula.Kwa wenzetu DRC ni vikundi vya vita leo hiki kesho kule.
 
Mara-mapigano ya kidini kuchomeana mahekalu. Cha ajabu, huwapendi waumini wa Yesu,  Lakini Laptop, kiti, meza, stuli etc vya kanisani vilivyosaliwa na kufanyiwa maombi kwa jina la Bwana Yesu unavitaka, unavichukua, unabeba unapeleka nyumbani vinakuwa vyako!!. Duu! Huu ni Udini kweli ni njaa ya mtu binafsi? Adui yako unambeba unampeleka home kwako tena?
Yaani baniani mbaya kiatu chake dawa!! Hii njaa itatupeleka pabaya.
 
Ukianzishiwa ulinzi shirikishi-tayari watu wamepata kisingizio cha kula. Ikianzishwa mbadala mwingine wowote-mgambo, ukusanyaji hela za kuzoa taka mtaani, kikundi ya ujasiriamali fulani-kinabeba madaraka ya kuzidi mpaka hata Mabaraza ya Sheria ya Kata yamechukua majukumu kinyume na baadhi yamekuwa fisadi rushwa na hukumu za upendeleo hata kule chini kulikotegemewa kutenda haki labda uende mahakama kuu na maandiko ya hukumu iliyotoka kuyapata-miezi kama sio mwaka mradi tu una pesa yatakunyookea, huna-imekula kwako.
 
Tushirikishwe vipi sisi wabongo tuelekee ipasavyo? Inaumiza sana!!
 
Visasi vitatumaliza. Hakimu ataogopa kutenda haki kutokana na kuwa anakaa uswahilini watamuua. Aliyekamatwa akisafirisha wahamiaji haramu na gari lake kutaifishwa si ndio ataua polisi wote na afisa uhamiaji wote wa mpakani na magistrates. Tutavuruga haki na sheria zaidi, utu na nchi yetu kuwa sio kisiwa cha amani tena bali nchi ya wahuni. Mungu atusaidie.

--- On Tue, 16/10/12, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Tetesi za kupigwa Risasi na kuuwa RPC wa Mwanza
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 16 October, 2012, 9:47

Sikutegemea kamanda auwawe katika mazingira yale tena kirahisi hivyo, ukizingatia mwezi uliopita mfanyabiashara maarufu Mzee Manumbu aliuliwa getini kwake akisubiri mwanae amfungulie. Matukio ya watu kuviziwa getini yamekuwa ya kawaida hapa mwanza je iweje yeye asiione hatari hii mapema na kuanza kubishana na majambazi kwa kuyauliza kuwa kwani hawamjui yeye nani!
 
Kwa hali ilivyo Mwanza nilitegemea kamanda angekuwa amesheheni silaha nzito na angekufa na wengine katika majibizano ya risasi! kuna haja ya kuangalia upya uhodari wa makamanda wetu. Pia napata wasiwasi kama hakuwa katika hali ya kuzidiwa kinywaji kwakuwa alitokea kwenye sherehe. Narejea tena upo umuhimu wa idara ya usalama wa taifa kusimamia usalama wa viongozi wetu hasa wakuu wa mikoa na vitengo vyake, wabunge na mawaziri. Kule Uganda General Kazini aliuliwa alipokuwa akimsindikiza rafiki yake nyumbani, hivyo hatuwezi kuendelea kuyaacha maisha ya viongozi wetu rehani.

2012/10/13 Said Mwemba <smwemba@gmail.com>
hawezi kuuawa na majambazi,,hapo kuna tatizo,,,si ndio hapo,juzi alitaka kuawa mkuu wa immigration

2012/10/13 Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com>
Sasa wandugu kama RPC anauwawa na majambazi sisi wananchi wa kawaida tutaponaje? Inatia shaka sana. Poleni wana Mwanza kwa tukio hilo

On 13 October 2012 06:47, <nevilletz@gmail.com> wrote:
Duh, kapigwa risasi kweli kaka!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Vitalis M.Kisandu <vkisandu@yahoo.com>
Date: Sat, 13 Oct 2012 06:41:20 +0300
Subject: [wanabidii] Tetesi za kupigwa Risasi na kuuwa RPC wa Mwanza

Wadau wa Habari na Wakazi wa Mwanza,je hii Taarifa ni ya kweli kuwa Kamanda Liberatus Ballow kapigwa Risasi na kufa wakati anatoka kwenye sherehe ya Harusi jana?
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment