Tuesday 16 October 2012

Re: [wanabidii] Ripoti Ya Ngwilizi Yawasafisha Wabunge Waliotuhumiwa kwa Rushwa, Maswi, Profesa Muhongo Hatiani - Mwanzo

Hivi tulitegemea hiyo tume ije na majibu tofauti na hayo, kwani ilikuwa na tofauti gani na ile ya Nchimbi, hahahahahaha!!

Tume ya Bunge kuwachunguza wabunge, hamna kitu hapo, haiwezekani watuhumiwa wajichunguze wenyewe!

Felix

2012/10/16 Ellay Mnyamoga <mnyamoga@live.com>
Ni dhahiri shahiri repoti inayokuwa chini ya mbunge wa ccm majibu yake hayawezi kutofautiana na uso wa spika wa bunge,kwa kuwa anaogoga kuchafua chama na wabunge wake,hivyo ni kawaida sana.

----------
Sent from my Nokia phone

-----Original Message-----
From: Magiri paul
Sent: 10/16/2012 6:56:39 AM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Ripoti Ya Ngwilizi Yawasafisha Wabunge Waliotuhumiwa kwa Rushwa, Maswi, Profesa Muhongo Hatiani - Mwanzo
RIPOTI ya Kamati ndogo ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemuweka pabaya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Katibu Mkuu wake, Eliakim Maswi.

Taarifa za ndani zinaeleza kuwa ripoti hiyo inadaiwa kuwakaanga viongozi hao, huku ikiwasafisha wabunge waliokuwa wakituhumiwa kwa rushwa.

Chanzo chetu cha habari kimeweka wazi kuwa umeibuka mvutano baina ya Serikali, ofisi ya Bunge na Kamati ya Nishati na Madini kuhusiana na ripoti hiyo.

Kamati hiyo iliyokuwa chini ya Mbunge wa Mlalo, Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi (CCM), imekamilisha kazi yake ya uchunguzi na tayari ripoti hiyo imekabidhiwa kwa Spika wa Bunge, Anne Makinda.

http://wotepamoja.com/archives/8878#.UH0FClEdz7A.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment