Wednesday 24 October 2012

Re: [wanabidii] Re: YONA MARO NA TANZANIA DAIMA WAMENIIBIA.

Ndugu Matinyi

Hili ndio jibu langu nililotoa mwanzo sasa kama na wewe huelewi sikulaumu , unahitaji kujipika zaidi kwenye masuala haya ya mitandao .

Makala yako ni hii hapa 
https://groups.google.com/group/wanabidii/browse_thread/thread/32bcc7... 

Na Kichwa cha Habari ni Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam 
@MohamediMtoi 

*Hawa ndiyo maadui wa Waisalam na Uislam* @*MohamediMtoi* - 
*Mwanzo*<https://groups.google.com/group/wanabidii/browse_thread/thread/32bcc7...

Sasa sema nimeiba wapi ? 

Pia tupe ushahidi kwamba mimi ndio nimehusika kutuma makala hiyo tanzania 
daima kwa kutumia anuani na jina langu . 

Pia uombe radhi kwa kunidhalilisha na kudhalilisha jukwaa la wanabidii .

2012/10/25 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Mmoja wa wachangiaji kule jamiiforums kwenye hiyo makala anasema "... huyu jamaa ni bingwa wa copy&paste. Hana kawaida ya kuweka chanzo cha habari zake. Hawezi kabisa ku-acknowledge chanzo cha habari zake na ashalalamikiwa sana humu JF kwa tabia hiyo chafu. Ndio sababu nikasema utakuwa unamfahamu, kwa sababu wewe mwenyewe umekuwepo JF kwa karibia miaka miwili sasa!"
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com>
Date: Thu, 25 Oct 2012 07:54:02 +0300
Subject: RE: [wanabidii] Re: YONA MARO NA TANZANIA DAIMA WAMENIIBIA.

Brother Matinyi.

Umeweka wazi na kama Yona hajaelewa anahitaji ushauri nasaha.

On Oct 24, 2012 9:22 PM, "Mobhare Matinyi" <matinyi@hotmail.com> wrote:
Yona,
 
Si kweli kwamba kila kitu cha kwenye mtandao ni cha bure kwa maana ya kukichota na kukitumia mahali pengine kama chako. Vitu hivi ni vya bure kwa maana kwamba hakuna gharama yoyote kuvipata lakini sheria ya hati miliki inaendelea kutumika kama kawaida. Kwa hiyo mimi ninaweza mathalani, nikachukua makala ya Mjengwa na kuitumia kwenye blogu nyingine au gazeti lakini mambo yafuatayo lazima yafanyike: Kwanza, nisibadili kitu chochote kama ninaitumia yote; pili, niweke wazi nilikoitoa na jina la mwandishi. Aidha, nikitumia kasehemu kadogo ka makala hiyo basi inanilazimu kusema wazi kwamba nimeibeba kutoka wapi na ni ya nani. Katika mazingira fulani au kwa ustaarabu tu, ni vema kupata ruhusa ya mhusika hata kama hakusema kwamba lazima aombwe ruhusa. Ni vema kufahamu pia kuwa mtu akisema kwamba aombwe ruhusa basi haina ujanja au akiweka sharti lolote lile ni lazima lifuatwe hata kama yeye hajui kinachoendeea.
 
Kwenye suala la makala ya Mtoi hakuna cha kukwepa hapo, kama ni ile ile hata kwa kiasi kidogo tu inabidi apewe heshima yake na haki yake ya kuwa mwandishi wa makala ile au sehemu ya makala iliyochapwa huko Tanzania Daima. Kama hilo halikufanyika inabidi wewe na mhariri wa Tanzania Daima muanze kuhangaika sasa.
 
Kama pia ulipoiweka Wanabidii hukumtaja inabidi tena uanze kuhangaika ili kuweka mambo sawa. Hili si jambo dogo labda kama kuna noma ya kibinadamu iliyotokea mahali fulani.
 
Matinyi.
 
> Subject: Re: [wanabidii] Re: YONA MARO NA TANZANIA DAIMA WAMENIIBIA.
> To: wanabidii@googlegroups.com
> From: mouddymtoi@gmail.com
> Date: Wed, 24 Oct 2012 16:37:47 +0000
>
> Matinyi.
> Angalia link kwenye post ya mwanzo kabisa au fungua tovuti ya Tanzania daima usome gazeti la leo.
>
> Yona sijakataza mjadala usiendelee lakini madhara ndio kama yanavyo onekana kwa baadhi ya wachangiaji hapa http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/342036-hawa-ndio-wabaya-wa-waislamu-na-uislamu-wenyewe-kwa-tanzania-51.html
>
> Lakini pia unakosea unaposema kila kitu ni free kwenye mitandao ya kijamii (sikutegema wewe uyasema haya maana ni kuhalilisha kutokuheshimu mawazo ya watu na kukiuka kanuni ya kutambua vyanzo/chanzo)!
>
> Hakuna ufree wa mawazo ya mtu kutumika bila kum-acknowlegde mhusika. Sija kataa mawazo yangu kutumika na nitakuwa mtu wa ajabu kukataa mawazo yangu yasitumike. Swala yanatumikaje.
>
> Uwongo wangu ni upi mbona una taka kujaribu kutoa povu, na kama nikuchafuka, mimi, wewe na Tanzaniadaima nani wanachafuka?
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> -----Original Message-----
> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wed, 24 Oct 2012 08:57:01
> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: [wanabidii] Re: YONA MARO NA TANZANIA DAIMA WAMENIIBIA.
>
> Mtoi umesema hapo juu kwamba unangoja mhariri wa tanzania daima atoe
> ufafanuzi wake halafu ukamaliza kwa kuomba mjadala huu uishe .
>
> Mimi nasema hapana , umeshatoa hukumu na kunichafua jina langu pamoja
> na la tanzania daima acha mjadala uendelee , ili siku nyingine
> usikurupuke tena na kuandika vitu vya uwongo ukweli ujulikane .
>
> Pia nikuambie tu hakuna mmiliki wa elimu na maarifa ndani ya mitandao
> hii ya kijamii , kila kitu ni free , kama unataka vya kwako pekee
> jifungie ndani uchat mwenyewe , ujitumie email mwenyewe na kila kitu
> ufanye mwenyewe kwa kujifungia na kila kitu uunde mwenyewe ili iwe ni
> yako tu .
>
> On Oct 24, 6:44 pm, mati...@hotmail.com <mati...@hotmail.com> wrote:
> > Mtoi,
> > Ni ipi hiyo?
> > Matinyi.
> >
> > T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
> >
> > ----- Reply message -----
> > From: "Chambi Chachage" <chamb...@yahoo.com>
> > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> > Subject: [wanabidii] YONA MARO NA TANZANIA DAIMA WAMENIIBIA.
> > Date: Wed, Oct 24, 2012 1:58 am
> > Hili tatizo tumelikemea sana humu mitandaoni (pitia rejea); tulidhani limekwisha kumbe, do, bado lipo - pole!
> > -------My mission is to acquire, produce and disseminate knowledge on and about humanity as well as divinity, especially as it relates to Africa, in a constructive and liberating manner to people wherever they may be.
> >
> > Address: 41 Banks Street # 1, Cambridge, MA 02138 USA
> > Cellphone: US = +1 (857) 413 - 9521/TZ = +255754771763
> > Skype: chambi100
> > Twitter: @UdadisiFacebook:http://www.facebook.com/chambi78Blogs:http://udadisi.blogspot.com&http://ufunuo.blogspot.com
> > Group:http://groups.yahoo.com/group/wanazuoni
> > From: Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Sent: Wednesday, October 24, 2012 1:52 AM
> > Subject: [wanabidii] YONA MARO NA TANZANIA DAIMA WAMENIIBIA.
> >
> > Wakuu.
> >
> > Nasikitika kwamba kiongozi na aliyekuwa moderator wa jukwaa letu la
> > wanabidii ambae kwa sasa ni bwana mawasiliano kwenye chuo kikuu cha
> > umoja wa Afrika ameniibia mawazo yangu na kuyatumia bila idhini yangu
> > kwenye gazeti la Tanzania daimahttp://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=41862na kibaya zaidi
> > amebadirisha mpaka na title ya awali kwenye makala husika ambayo pia
> > aliiweka hapa wanabidii bila kuni acknowledge huku ikionekana kama
> > yeye ndio muandishi husika.
> >
> > Nilichelewa kuiweka hapa ila kwa mshangao niliikuta makala ikiwa
> > tayari imeanza kujadiliwa, kwa kuwa mimi ni mwanachama hapa nikaona
> > niwe mpole kwani nilichukulia kuwa huenda ameghafirika  japo takwa la
> > kitaaluma ni kuheshimu na kutambua mawazo ya mtu mwingine.
> >
> > Kama alighafirika kuiweka hapa bila kunitambua kuwa mimi ndio
> > muandishi, je niendelea kuamini kuwa ameghafirika tena kwa kuibadili
> > heading na makala hiyo hiyo kupewa
> > jina lake?
> >
> > --
> > "Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
> > --
> > Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
> > Alternative: +255 784 24 67 64
> > Skype: Mohamedi.Mtoi
> > Facebook: Mohamedi Mtoi
> > Twitter: @mohamedimtoi
> > Jf: Mohamedi mtoi
> >
> > --
> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his
> > or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> > --
> > Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> > Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> > Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment