Thursday 18 October 2012

Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

Hellow.
  Hata mie nilikuwa na matumaini makubwa,hata polisi waliniambia kuwa watatafuta hiyo CDR CALL DETAIL ndo wakaniambia nitoe hicho kiasi cha fedha wakanunue hako kakifaa wao hawana.Sipati picha hata kidogo kwa nini hadi leo hawanipi majibu.Jana nimefika kuulizia mara ooo kutokana na tatizo lililotokea Mwanza la kifo cha RPC bado hawajakaa vizuri,wakti wiki iliyopita waliniambia kuwa aliyekuwa anafuatilia yuko kwenye usimamizi wa mitihani ya kidato cha nne.Jamani niachane na hii issue au vipi????

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, 16 October 2012, 13:09
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

Eva,

 Labda majibu wanayotoa polisi yanatokana na ufahamu wao unapoishia. Ukipiga simu au ukituma message, mitambo (CDR - Call Detail Record) ina-record IMEI namba  ya simu iliyotuma message au kupiga simu.
Kwa hiyo inakuwa rahisi kujua handset iliyotumika.

Lutinwa

2012/10/16 eva mushi <mushieva2000@yahoo.co.uk>
Wasaalam,
   Nashukuru kuhusu swala lililopo la Fake Phones ...katika maelezo nimeelewa ila ninataka kujua kuhusu matumizi ya baadae manake kuna uwezekano mkubwa watu kutumia hii fursa kutuma maujumbe fake then wanabadili line.
Nimekuwa victim kwa hili swala,kuna mtu alituma ujumbe wa dhihaka kwenye simu yangu,nikamfuatilia from polisi to voda,tukapata namba pamoja na jina lake,tumemtrace hadi tukampeleka polisi,cha kunishangaza hadi leo huyo jamaa alihojiwa kwa masaa ka manne akakataa kuwa line yake ilipotea akaenda voda wakaisap wakamrudishia line yake,,,jamaa akapewa dhamana yuko nje na polisi wanaendelea na uchunguzi ambao unanitia mashaka..kivipi??????niliambiwa nitoe hela kiasi cha shilingi 28,000 wakanunue kifaa cha kutrace ka kweli line iliokotwa na mtu na ikawekwa kwenye simu ndo zikatumwa hizo sms,kifaa hicho kitaonyesha kwa sasa hivi hiyo handset sasa hivi inatumia line gani na ni ya nani.....jamani nipeni wazo hadi leo hii mwezi umeisha kila nikiuliza wanasema bado,nifanyeje????

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, 15 October 2012, 14:18
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

Nenda http://www.numberingplans.com/ . Ukishaingia hapo click Number analysis tool. Ingiza IMEI yako

2012Nenda http://www.numberingplans.com/ ingiza namba za IMEI utapata status ya simu yako
/10/15 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
Nenda http://www.numberingplans.com/ ingiza namba za IMEI utapata status ya simu yako

2012/10/15 Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Naona IMEI namba ina uhusiano na line. Hii simu yangu inayotoa IMEI namba mbili ina lini mbili. Hata pale nyuma ya simu inapolala betri zimeandikwa IMEI namba mbili.

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, October 15, 2012 1:50 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

Peter 

Zinatakiwa kuja digits 15 kama zinakuja mbili nadhani hiyo ni dalili nyingine kuwa na wewe ni victim. Namba zinazotoka baada ya kupress hiyo *#06# unaweza kuzisoma pia  inapolala betri kwenye simu.

Lutinwa

2012/10/15 Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Mbona mimi nikibonyeza *#06# napata namba mbili?

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, October 15, 2012 1:34 PM

Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

Yona

Kwanza hongera on your appointment, lakini I stand to be corrected, nadhani ukiflash simu IMEI inabaki ileile. Ni ile unayoipata kwa kupress *#06# na ndiyo hiyo hiyo iliyo nyuma ya betri ya simu.
Purpose ya kuflash ni kuifanya simu-card iweze kukubalika katika mtandao mwingine kama hapo awali ilikuwa imefungwa .Inasemekana kuwa digit ya 7 na 8 zikiwa 00 au 01 basi wewe una simu, 

Lutinwa
2012/10/15 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu Lushengo Lutinwa

Hapo kabla uliongelea suala la imei , sasa unapoflash simu kuna uwezekano mkubwa wa kuchezea namba hiyo , matokeo yake ni kwa simu hiyo kutumika ndivyo sivyo na hata pale inapotumika kwenye tukio la uhalifu inaweza kuwa tabu kupambana nayo na mara nyingi hii imei inaweza kuwa shared kati ya mhalifu na yule ambaye anatumia simu sahihi .

Suala lingine muhimu ni vizuri tusinunue simu used ambazo zimekuwa flashed au kuchezewa kwa njia yoyote ile tununue mpya kujiepusha na visa kama hivi .

2012/10/15 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
Nijuavyo mimi ni kuirudisha simu kwenye factory default. zipo simu zinakuwa locked au simu zilizoibiwa, ukii-flash unafuta kila kitu -  kinachobaki ni firmware na basic software kama vile ndio kwanza inatoka kiwandani.

2012/10/15 Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Kuflash simu maana yake ni nini?

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Monday, October 15, 2012 12:32 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

Tunapoongelea simu feki hatumaanishi zile zinazouzwa madukani tu kuna matukio yanayofanywa katika simu yako uliyonunua ambayo yanaweza kusababisha simu kuwa fake .

1 - Kuna hawa wenzetu wanaoleta simu kutoka simu za nje ambazo haziwezi kutumika nchini mpaka kuziflash ( hizi simu ni original lakini ukiflash ili zitumike nchini ni kosa )

Kumbuka unaponunua simu hiyo in legal licence pamoja na taratibu nyingine unapoenda kinyume na hapo ni makosa , hiyo ni pamoja na kuflash au kubadilisha vitu ili iweze kuendana na matumizi yako binafsi na sio yale ya industry inavyotaka yawe

2012/10/15 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
TCRA ni regulator wa industry ya Telecommunication na Mawasiliano. Kazi yao sio kuuza simu.
Features nyingine za kuangalia 
4. kama simu inauzwa official agent wa manufacturer
5. Warrant isiwe chini ya mwaka mmoja
Nasubiri nyingine

2012/10/15 Demetria Kalogosho <demetria.kalogosho@tgnp.org>
Je TCRA wana duka?
 
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Lushengo Lutinwa
Sent: Monday, October 15, 2012 12:10 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo
 
Joyce,
Nakushukuru, kiukweli sikuwahi kuyasikia hayo iliyoyandika. Lakini kama hizo ndio features za kuitambua simu fake nadhani bado wapo mbali.
Simu fake zinakuwa kwenye box, ukitaka risti utapewa na hata guarantee utapewa hata ya mwezi. Mimi nilidhani simu fake zinatambuliwa pamoja na mambo mengine:
1. IMEI, soma digit ya 7 na 8, Baadae google kwenye mtandao kujua maana ya digits hizo. Nikipata muda  
 
2. Takataka nyingi zinatoka China, angalia nyuma ya betri kujua imetengenezewa wapi
3, Tathimini bei ya simu unayonunua, kuna takataka za  Samsung Galaxy 3 zinauzwa 150,000/= wakati bei halisi ya 
    simu ni kati ya 1100000 na 1,400,000/=
Naomba wadau mnaozitumia simu fake muongezee features nyingine ili kuwasaidia TCRA na wadau wengine ambao hawazijui.
 
Lutinwa
2012/10/15 Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>
Lutinwa,
Huenda waandishi wa habari tukawa ndio wenye makosa katika kuelimisha wananchi kuhusu simu fake. Lakini ninakumbuka mara mbili hivi kwenye mikutano ya TCRA na press, wamekuwa wakilizungumzia sana hili.

Miongoni mwa dondoo walizokuwa wakisisitiza kuwa Watanzania, kupitia vyombo vya habari wanapaswa kuzifahamu kuhusu simu 'original' ni kwamba, kwanza usinunue simu ambayo haipo kwenye boksi; pili ukinunua simu dai risiti na tatu simu utakayonunua lazima iwe na 'guarantee'.

Walau hayo ndio ninayoyakumbuka akiyasema Bwana Isaac Mruma, kwa hiyo TCRA wasilaumiwe moja kwa moja.

Joe Beda

On Mon, Oct 15, 2012 at 7:00 AM, Jesse Kwayu <jessekwayu@gmail.com> wrote:
Af,??!chjjggubjhrgukojopjrdwrfgyhuhtffffdfgtttfghhhuutrujteyhyhyyyyyrefffkmxc hvsfcscxxxzzc vvbhhq
jKwayu2012
On Oct 14, 2012 9:53 PM, "Lushengo Lutinwa" <lutinwa@gmail.com> wrote:
TCRA ni wahuni. Ni lini mmesikia wakiwaelimisha watu kuhusu simu fake? Nitaomba apology kama kweli kitu hiki kipo.
Ninachoona wamekishikia bango ni kuzima technology ya analogy kwenye TV na kwenda digital.
Nitaupokea uamuzi huo kwa mikono miwili.
Lutinwa
On Oct 14, 2012 11:13 AM, "STEVEN ROBERT" <stvrobby@gmail.com> wrote:
Hapo itasaidia sana, huu wizi wa simu umekithiri mtu unajipanga unanunua kitu cha bei kali the unaibiwa.Kuna tetesi niliskia hii kitu ilikuwa ianze kutumika ata kabla ya kenya kutangaza ila makampun ya simu yalikuwa yanazuia kwamba yatapoteza wateja wengi ukizingatia simu nyingi sana tunazotumia hasa zile za bei kuanzia tsh150,000/, USA= na kuendelea ni zakupigwa nchi mbalimbali has SA, USA, EUROPE and CANADA. na zingine hazipo katika grade inayotakiwa, zingine zina IME namba zaidi ya moja.
 
On Sunday, October 14, 2012 12:10:28 AM UTC-7, kiganyi wrote:
TANZANIA will join her neighbour Kenya in getting rid of counterfeit telephone handsets in the country by switching them off.

Speaking to "Sunday News' the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Acting Corporate Communication Manager Mr Semu Mwakyanjala said the regulatory authority is first planning to educate the public on the need to buy genuine mobile phones. "It is a long term plan to switch off counterfeit mobile phones in operation, for now we are only focusing on educating the public into buying genuine mobile phones," Mr Mwakyanjala noted. He said the move will eventually be taken by all the other East African Member states, including Rwanda, Uganda and Burundi.

http://wotepamoja.com/archives/8659#.UHplOPY837Q.gmail
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment