Monday 15 October 2012

Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

Fake hiyo kaka! Ukibonyeza lazima zije IME namba ya siba lazima iwe 1au 0 kudhibitisha kuwa simu yako ni halisi.

Sijajua wataalamu wanasema kabla ya namba ya saba inapo anza nukta halafu namba.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 15 Oct 2012 03:43:59 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

Mbona mimi nikibonyeza *#06# napata namba mbili?

From: Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, October 15, 2012 1:34 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

Yona

Kwanza hongera on your appointment, lakini I stand to be corrected, nadhani ukiflash simu IMEI inabaki ileile. Ni ile unayoipata kwa kupress *#06# na ndiyo hiyo hiyo iliyo nyuma ya betri ya simu.
Purpose ya kuflash ni kuifanya simu-card iweze kukubalika katika mtandao mwingine kama hapo awali ilikuwa imefungwa .Inasemekana kuwa digit ya 7 na 8 zikiwa 00 au 01 basi wewe una simu, 

Lutinwa
2012/10/15 Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu Lushengo Lutinwa

Hapo kabla uliongelea suala la imei , sasa unapoflash simu kuna uwezekano mkubwa wa kuchezea namba hiyo , matokeo yake ni kwa simu hiyo kutumika ndivyo sivyo na hata pale inapotumika kwenye tukio la uhalifu inaweza kuwa tabu kupambana nayo na mara nyingi hii imei inaweza kuwa shared kati ya mhalifu na yule ambaye anatumia simu sahihi .

Suala lingine muhimu ni vizuri tusinunue simu used ambazo zimekuwa flashed au kuchezewa kwa njia yoyote ile tununue mpya kujiepusha na visa kama hivi .

2012/10/15 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
Nijuavyo mimi ni kuirudisha simu kwenye factory default. zipo simu zinakuwa locked au simu zilizoibiwa, ukii-flash unafuta kila kitu -  kinachobaki ni firmware na basic software kama vile ndio kwanza inatoka kiwandani.

2012/10/15 Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
Kuflash simu maana yake ni nini?

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Cc: Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Monday, October 15, 2012 12:32 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo

Tunapoongelea simu feki hatumaanishi zile zinazouzwa madukani tu kuna matukio yanayofanywa katika simu yako uliyonunua ambayo yanaweza kusababisha simu kuwa fake .

1 - Kuna hawa wenzetu wanaoleta simu kutoka simu za nje ambazo haziwezi kutumika nchini mpaka kuziflash ( hizi simu ni original lakini ukiflash ili zitumike nchini ni kosa )

Kumbuka unaponunua simu hiyo in legal licence pamoja na taratibu nyingine unapoenda kinyume na hapo ni makosa , hiyo ni pamoja na kuflash au kubadilisha vitu ili iweze kuendana na matumizi yako binafsi na sio yale ya industry inavyotaka yawe

2012/10/15 Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com>
TCRA ni regulator wa industry ya Telecommunication na Mawasiliano. Kazi yao sio kuuza simu.
Features nyingine za kuangalia 
4. kama simu inauzwa official agent wa manufacturer
5. Warrant isiwe chini ya mwaka mmoja
Nasubiri nyingine

2012/10/15 Demetria Kalogosho <demetria.kalogosho@tgnp.org>
Je TCRA wana duka?
 
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Lushengo Lutinwa
Sent: Monday, October 15, 2012 12:10 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Tanzania: Fake Phones to be Blocked Soon! - Mwanzo
 
Joyce,
Nakushukuru, kiukweli sikuwahi kuyasikia hayo iliyoyandika. Lakini kama hizo ndio features za kuitambua simu fake nadhani bado wapo mbali.
Simu fake zinakuwa kwenye box, ukitaka risti utapewa na hata guarantee utapewa hata ya mwezi. Mimi nilidhani simu fake zinatambuliwa pamoja na mambo mengine:
1. IMEI, soma digit ya 7 na 8, Baadae google kwenye mtandao kujua maana ya digits hizo. Nikipata muda  
 
2. Takataka nyingi zinatoka China, angalia nyuma ya betri kujua imetengenezewa wapi
3, Tathimini bei ya simu unayonunua, kuna takataka za  Samsung Galaxy 3 zinauzwa 150,000/= wakati bei halisi ya 
    simu ni kati ya 1100000 na 1,400,000/=
Naomba wadau mnaozitumia simu fake muongezee features nyingine ili kuwasaidia TCRA na wadau wengine ambao hawazijui.
 
Lutinwa
2012/10/15 Joseph Beda Rupia <rupia.joseph@gmail.com>
Lutinwa,
Huenda waandishi wa habari tukawa ndio wenye makosa katika kuelimisha wananchi kuhusu simu fake. Lakini ninakumbuka mara mbili hivi kwenye mikutano ya TCRA na press, wamekuwa wakilizungumzia sana hili.

Miongoni mwa dondoo walizokuwa wakisisitiza kuwa Watanzania, kupitia vyombo vya habari wanapaswa kuzifahamu kuhusu simu 'original' ni kwamba, kwanza usinunue simu ambayo haipo kwenye boksi; pili ukinunua simu dai risiti na tatu simu utakayonunua lazima iwe na 'guarantee'.

Walau hayo ndio ninayoyakumbuka akiyasema Bwana Isaac Mruma, kwa hiyo TCRA wasilaumiwe moja kwa moja.

Joe Beda

On Mon, Oct 15, 2012 at 7:00 AM, Jesse Kwayu <jessekwayu@gmail.com> wrote:
Af,??!chjjggubjhrgukojopjrdwrfgyhuhtffffdfgtttfghhhuutrujteyhyhyyyyyrefffkmxc hvsfcscxxxzzc vvbhhq
jKwayu2012
On Oct 14, 2012 9:53 PM, "Lushengo Lutinwa" <lutinwa@gmail.com> wrote:
TCRA ni wahuni. Ni lini mmesikia wakiwaelimisha watu kuhusu simu fake? Nitaomba apology kama kweli kitu hiki kipo.
Ninachoona wamekishikia bango ni kuzima technology ya analogy kwenye TV na kwenda digital.
Nitaupokea uamuzi huo kwa mikono miwili.
Lutinwa
On Oct 14, 2012 11:13 AM, "STEVEN ROBERT" <stvrobby@gmail.com> wrote:
Hapo itasaidia sana, huu wizi wa simu umekithiri mtu unajipanga unanunua kitu cha bei kali the unaibiwa.Kuna tetesi niliskia hii kitu ilikuwa ianze kutumika ata kabla ya kenya kutangaza ila makampun ya simu yalikuwa yanazuia kwamba yatapoteza wateja wengi ukizingatia simu nyingi sana tunazotumia hasa zile za bei kuanzia tsh150,000/, USA= na kuendelea ni zakupigwa nchi mbalimbali has SA, USA, EUROPE and CANADA. na zingine hazipo katika grade inayotakiwa, zingine zina IME namba zaidi ya moja.
 
On Sunday, October 14, 2012 12:10:28 AM UTC-7, kiganyi wrote:
TANZANIA will join her neighbour Kenya in getting rid of counterfeit telephone handsets in the country by switching them off.

Speaking to "Sunday News' the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Acting Corporate Communication Manager Mr Semu Mwakyanjala said the regulatory authority is first planning to educate the public on the need to buy genuine mobile phones. "It is a long term plan to switch off counterfeit mobile phones in operation, for now we are only focusing on educating the public into buying genuine mobile phones," Mr Mwakyanjala noted. He said the move will eventually be taken by all the other East African Member states, including Rwanda, Uganda and Burundi.

http://wotepamoja.com/archives/8659#.UHplOPY837Q.gmail
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment