Wednesday 17 October 2012

Re: [wanabidii] RE: CCM SASA BASI MKALALE MAHALI PEMA PEPONI

MI SIMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

2012/10/17 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Wewe kijana,
Laana yako haiwezi kuzinduliwa. Utakufa nayo hivyo hivyo. Yaani Mzee Kingunge unamuita kipofu? POLE.
 
Kunyaranyara, E.M.S.

Paul Kagame wa Rwanda anasema rasilimali pekee aliyonayo ni kivutio cha watalii ambacho ni mnara wa sanamu ya makaburi ya mauaji ya kimbari ambayo hata Yanga walipoenda ndiyo waliyotembelea. Muulizeni Fred Felix Minziro. Kagame hana Bahari/Bandari ambayo ndiyo lango kuu la uchumi, hana mbuga hata moja ya wanyama ya kuringia, hana chimbo lolote la madini kama Kahama Gold mine nk, ameamua kuwekeza kwenye Brain/Human resource na anataka Rwanda iwe baadaye ndiyo Hub ya Afrika, leo hii Rwanda iko mbele kiuchumi x 10 ya Tanzania kwa mujibu wa ripoti ya Benki ya Dunia, Bajeti ya afya Rwanda ni 26% wakati Tz ni 10.3% tu....ukiandikisha mtoto shule Rwabda abapewa Laptop. Kagame yuko madarakani kuwasaidia Wanyarwanda. CCM na makuadi wake wako madarakani kuwaibia Watanzania. Mwaka 2015 hata aje nani kama ana damu ya CCM hapana kumpa nchi ndio hao hao. Tunataka Rais atoke upinzani, iwe CUF, NCCR, TLP, CHADEMA, SAU bora kuliko hawa nyang'au. Mshauri wa Kagame ni Tony Blair wakati wa Kikwete ni Kingunge Ngombale Mwiru alafu mnaishabikia CCM. Nchi itaendelea vipi wakati kipofu ndio mshauri wa Serekali. Disgusting!.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment