Wednesday 24 October 2012

RE: [wanabidii] Presentation ya Hon. Mulugo

Chamani,
Tusaidie atolewe huyu. Acha hizo za kuchomekea, tusaidie atoke. Usiangalie kila jambo kwa jicho la udini kwa sababu tunayo mifano mingi mno kama suala ni kuendekeza dini za kila mtu anayeharibu - jambo ambalo si sahihi kabisa.
Matinyi.
 
Date: Wed, 24 Oct 2012 21:24:00 -0700
From: abachamani@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Presentation ya Hon. Mulugo
To: wanabidii@googlegroups.com

Issa,
Ndiyo hao ambao tunaambiwa walisoma wanastahiki nafasi za uongozi na utendaji katika nchi hii.Mungu bariki sio katika wale watu wa FUJO na MAANDAMANO angekiona cha moto.Wanapewa nafasi kwa sababu ya uwezo wao siyo?

Walewale.

From: Said Issa <saidissa100@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "lucsyo@gmail.com" <lucsyo@gmail.com>
Sent: Wednesday, October 24, 2012 10:53 PM
Subject: Re: [wanabidii] Presentation ya Hon. Mulugo

Wengine wanasema nini juu ya huyu mwanaharakati wa CCM?

Bofya hapa:

http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/mhe-philipo-augustino-mulugo-huyu-anafaa.html#more

From: "lucsyo@gmail.com" <lucsyo@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, October 24, 2012 3:30:53 PM
Subject: [wanabidii] Presentation ya Hon. Mulugo

Wadau hii mmeipata lkn

http://www.youtube.com/v/e3BNegmIUKM
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment