Saturday 27 October 2012

Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo

Mwl Lwaitama,
 Nakubaliana na wewe juu ya yote uliyoandika, nimeyapenda. Ila naomba nitofautiane  na hitimisho lako juu ya malezi kwa watoto. Na Hapa singing kwenye dini au Imani, eneo Hilo naliogopa Kama uko a, maana mjadala hauishi n hakuna mshindi.

Ngoja tutumie akili ya kawaida, wote  wenye watoto, hivi mtoto yupi Ana malezi mazuri Yule aliyeaminishwa kuwa ukikojolea Quran unageuka nyoka?  Au yule alojaribu hiyo imani ya ajabu! Mambo ya kuwatisha watoto ni ya zamani, na tujue watoto wa sasa ni tofauti na sisi. Hilo tulikubali, haihitaji malezi mazuri au la, tuwaleze watoto ukweli, hizi Imani za kuwatisha watoto ndo zinazaa watu wanakua a na misimamo ya ajabu na uelewa mbovu wa Quran na biblia. Wanatafsiri vibaya hivi vitabu vitakatifu, wanatuletea vita!

Asante sana

From LR

On 26 Okt 2012, at 20:58, "Azaveli Lwaitama" <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:

Ndugu zangu wote,
Polisi wenyewe walisema kuwa Sheikh Ponda anatuhumiwa makosa kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichokuwa kinamilikiwa na Bakwata  halafu kikaunzwa na viongozi wa sasa wa Bakwata. Pia nadhani uchechozi ulihusiana na swali ilo na swala la  kuzingira  jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani kuhusiana na swala la sensa. Polisi wenyewe uchochezi walisema aliomtuhumu  Sheikh Ponda  kuhusika nao si ule wa matukio ya kuchoma makanisa Mbagala.  Kwa hiyo, ni vizuri polisi na mahakama zetu zionekane kumtendea haki hata huyo ambaye anatuhumiwa makosa ya aina yoyote ile hata kama makosa yenyewe yalitutia uchungu na hasira kiasi gani. Dhamana kwa mtuhumiwa wa makosa yasiyohusiana  na kutuhumiwa kuua kwa makusudi ni haki ya mwananchi yoyote.
 
Hata marehemu Ditopile alipotuhumiwa kuua bila kukusidia yule dereva wa daladala alipewa dhamana. Hivyo hivyo Mh Chenge alipotuhumiwa kuua bila kukusudia dada fulani waliokuwakwenye bajaji. Sheikh Ponda,  kama hatuhumiwi kuua kwa kukusudia, basi apewe apewe haki  ya kuomba dhamana kama atatimiza masharti ya dhamana. Haki hipatikani penye jazba na kuhukumiana nje ya mahakama. Nakubaliana na mwanangu Nevvile Meena tuwe wangalifu jamani kuhusu haya mambo yanayohusisha imani za watu.  Sioni tatizo katika kuwaimiza wahusika serikalini kumtendea haki huyo mtuhumiwa Sheikh Ponda. Wapo Waislamu wengi tu wanaompenda kama mtetezi wa maslahi ya Waislamu na hawa tuwaoneshe kuwa Sheikh Ponda atatendewa haki kama mwananchi yeyote  na ugomvi wake na viongozi wa Bakwata hautatumiwa kumtendea tofauti na wanavyotendewa wananchi wengine, ikiwa ni pamoja na watuhumiwa wa ufisadi na kuingia mikataba ya kunyonga maisha ya Watanzania.  Mimi kusema hivi hainifanyi kuwa Muislamu, wa siasa baridi au siasa kali,   wala  hainifanyi kuwa mwanasiasa anayetafuta kujipendekeza kwa Waislamu. Mwaka 2009 katika kuelekea  Uchanguzi wa 2010 Sheikh Ponda alikuwa ndiye huyu huyu  aliyetangaza Mwongozo wa  Sura ya Maimamu ulioelekeza Waislamu wamchangue mgombea wa Kiislamu aliyekuwa na nafasi ya kushinda, yaani mgombea wa CCM badala wa yule wa CUF. Wakati huo  serikali ya CCM sikuisikia ikitafuta kumkamata Sheikh Ponda kwa uchochezi!!!  Leo serikali ya CCM hisije kutengeza chuki  za wafuasi wa Sheikh Ponda kwa kujifanya kinafiki eti inachukia hao wanaoitwa sasa eti Waisalamu wenye siasa kali.  
 
Matukio ya kuchoma  makanisa Mbangala na kwingineko  ni vizuri kusichanganywe  kiulaini na mitafaruki ndani ya uongozi wa Waislamu.  Na matukio  ya Mbangala tutafute kuyatatua kwa umakini mkubwa tukizingatia kuwa  JAMBO LA MSINGI ni  kwa asisi zetu za malezi ya watoto   kutekeleza wajibu husika  kikamilifu wa kuwalea watoto wetu wote kuheshimu dini za wengine na kamwe kutofanya kejeli au mzaha juu ya dini ya mtu yeyeote.  Tuachie mahakama itueleze kama tuhuma dhidi  ya  Sheikh Ponda zinampa haki ya kupewa dhamana au la, na  baadaye  tuelezwe kama tuhuma hizo  ni za  kweli au la. Tumwache Prof Lipumba atoe maoni yake bila kumpachika majina yasiyolenga kujenga dhana ya kupinga au kukubaliana na hoja  kwa hoja badala ya kuangalia mtoa hoja anatoka chama gani.
Mwl. Lwaitama   

Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
From: nevilletz@gmail.com
Date: Fri, 26 Oct 2012 17:06:14 +0000

Sasa jama mnapambana tena hapa?
Basi tuseme hivi, tusubiri hoja za mawakili ziamliwe na mahakama maana kesi yenyewe haiko mbali.

Pili hoja ya Lipumba kwamba Ponda anadhaminika iko valid but kosa lake ni kusema kwamba Ponda hahusiki na kuchoma makanisa. Kwamba kauli hiyo inajaribu kuingilia uhuru wa mahakama kwani inazungumzia mashtaka.

Anapaswa kusubiri pia kwamba mahakama iseme iwapo wana kesi ya kujibu au la. Hili la mfumo wa ukristo au uislamu halipo maana hapa jukwaani tukienda uko basi itakuwa taabu tena.

Turejee kauli ya Mohamed Mtoi kuhus orodha ya maadui wa uislamu. Tuvumiliane, tuheshimiane na tusikilizane. Idd Mubaraka!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Date: Fri, 26 Oct 2012 09:44:52 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo

Godfrey,
Akili unayo wewe na wenye mawazo ya kibaguzi,chuki na roho mbaya kama wewe.
Ponda apewe dhamana kisha ninyi na hao maaskofu wenu mwende mtoe ushahidi mahakamani akafungwe hata miaka 100 kwani tabu ni nini?
Kwani hili nalo ni fumbo la imani mpaka lishindwe kueleweka.
SUALA NI KUPEWA DHAMANA BASI HIYO KUKOSA NI KAZI YA MAHAKAMA SI WEWE WALA MAASKOFU WAKO WENYE HAKI HIYO.
Mkoje ninyi viumbe.

Walewale.

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, October 26, 2012 7:28 PM
Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo

Bwana Chamani,nafikiri kama wewe huna huo upofu wa kidini,ungepingana kwanza na lipumba..Lipumba katamka nini kuhusu uchomaji makanisa bara na visiwani?ametamka nini kuhusu vurugu hiz za kidini za hapa na pale?Sheik Ponda anashikiliwa na polisi kwa makosa ya uchochez na uvunjifu wa amani.Mwenye uwezo wa kumwachia ni sheria za nchi.Tanzania sio dola ya kiislam na haitakuwa hivyo.Inaongozwa na sheria zake.Lipumba ni nani kuiamuru serikali?kwa ninavyomfahamu,ni mwanasiasa mufilisi aliyeamua kuegemea kuti la kidini kujiweka kwenye chati.amekwisha.Last time alitamka eti serikali iwasikize waislam kwenye madai yao ya katiba,yake 30.Ana akili kweli huyo?Ngupula

------------------------------
On Fri, Oct 26, 2012 7:16 PM EEST amour chamani wrote:

>Tony,
>Punguza upofu unaotokana na Mfumo Kristo.
>
>
>
>
>Walewale.
>
>
>
>
>
>________________________________
> From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Friday, October 26, 2012 5:57 PM
>Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
>
>
>Magiri,
>
>Rejea hotuba ya Prof lipumba hususani ya katibu msaidizi wa CUF pale  jangwani utaelewa anachojaribu kukisema! Wanasiasa wa aina hii ni hatari sana; wapo tayari kutumia dini kupata kura zao na kuisambaratisha nchi!
>
>Tuwaogope kama ukoma!
>Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>________________________________
>
>From:  Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>Date: Fri, 26 Oct 2012 15:43:32 +0100
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
>Subject: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
>Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na
>utaratibu.
>Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa
>makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu
>zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru
>nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam
>aachiliwe huru.
>http://wotepamoja.com/archives/9734#.UIqheGLFIxg.gmail  --
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>
>--

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment