Friday 26 October 2012

RE: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo

Matinyi na Tony,
Mniwie radhi maana ni wachangiaji ninaopenda kusoma  michango yenu humu. Naomba kwa unyenyekevu mkubwa mnielewe tafadhali ndugu zangu. Polisi waimizwe wakamilishe upelelezi na ibainike kama mtuhumiwa anatuhumiwa makosa ya unyang'anyi wa kutumia silaha ambao hauna dhamana au la. Mtu yoyote si vizuri  eti apelekwe rumande kwa  zaidi ya  saa 24, sasa ni zaidi ya siku kadhaa, wakati polisi eti wanatafuta  ushaidi wakumtuhumu  kwa kosa  lipi jamani. Leo nii Sheikh Ponda anafanyiwa hivi kesho inaweza ikawa Matinyi. Mimi  nilidhani  walau polisi wanampeleka mahakamani mtu  walio tayari na ushaidi wa kumtuhumu kosa fulani maalumu  si  eti wampeleke mahakamani halafu waseme hasipewe  dhamana vile bado wanachunguza kama  kosa wanalomtuhumi ni lenye dhamana au la. Vile mtu hupendi hoja anazotoa Sheikh Ponda  kwenye maswala ya mgogoro wa uongozi wa Waislamu hususani uongozi wa sasa wa Bakwata hisiwe sababu yakutojali kama ametendewa haki kama binadamu yeyote au la. Ilo tu jamani.
 
TANU ilituaasa kusema "nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko"!!! Labda kama tunakubaliana na serikali ya CCM kuwa matukio ya kuchoma makanisa Mbagala tayari tuanjua mchawi wetu na kuwa  ni matokeo ya uchochezi wa Waislamu wenye siasa kali hawa hawa ambao waliopo  sema  kwenye uchanguzi wa 2010 tumchangue mgombea  Muislamu aliyekuwa na nafasi kubwa ya kushinda  serikali hii   hii haikuona umuhimu wa kuwaita Waislamu  hawa hawa wakina Sheikh Ponda eti Waislamu wenye siasa kali?  Chonde chonde  wote tumuunge mkono Prof Lipumba ( hata kama inadhaniwa anazo sababu  zake nyingine za kisiasa zilizo nyuma  ya pazia!!!)  katika kushauri kuwa polisi wasimkamate mtu na kumpeka mahakamani bila  ushaidi wakutosha wa kosa analotuhumiwa nalo halafu waiambie mahakama eti  hasipewe dhamana vile hawajakamilisha uchunguzi kuhusu kosa gani wanamtuhumu na mahakama iridhie hoja hii ya ajabu kimantiki ya polisi . Matinki  yake hii  haieleweki ki haki za binadamu!! Leo ni Sheikh Ponda  je mtindo huu ukizoeleka kesho akakamatwa Matinyi tutaanzia wapi kuhoji kulikoni.
 
Tutulizane jamani, tuhoji hoja si kuangalia sura ya mtu  iwe kupenda au kutompenda  kwetu. Kama Sheikh Ponda anatuhumiwa kosa la  unyanganyi wa kutumia  nguvu  (kosa lisilo na  dhamana) basi polisi wa harakishe waiambie mahakama hivyo na wapenzi wa Sheikh Ponda nao wapate kujua kuwa ilo ndilo kosa anatuhumiwa mpendwa wao, basi! Sheria ichukue mkondo wake hiwe ni  pamoja na polisi kutompeleka mtu mahakamani halafu wakasema bado tunachunguza kama tutamtuhumu kosa lisilo na dhamana. Tusifanye mtindo huu wa kubinya haki za msingi za mtu uzoeleke jamani vile  tu bado  tumekasirika juu ya yaliyotokea Mbagala ya kuchomwa makanisa!!! Kama  ambavyo tunawasihi  ndugu  zetu Waislamu wasiendekeze hasira zao za haki  juu ya kudhihakiwa maandishi  matakatifu yao na kijana Mkrito  kuwasukuma kuchoma makanisa,  basi wote pia tuwashauri, kama  alivyoshauri Prof Lipumba, polisi  na mahakama  wamtendee haki Sheikh Ponda kwa kuwahimiza polisi wasizoee kumpeleka mtu mahakamani halfu waimbie mahakama  eti bado wanachunguza wamshitaki kwa tuhuma  gani yule  wanayesema hasipewe dhamana.  Na mahakama zisikubali kutumiwa na polisi kwa njia hizi zisizo na haki.  Narudia : 'Sheria ichukue mkondo wake iwe ni  pamoja na polisi kutompeleka mtu mahakamani halafu wakasema bado tunachunguza kama tutamtuhumu kosa lisilo na dhamana'.  Hapana, hii siyo haki  hata kama tunamchukia Sheikh Ponda kwa mambo mengine yawayo!!!
Mwl. Lwaitama

To: wanabidii@googlegroups.com
From: matinyi@hotmail.com
Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
Date: Fri, 26 Oct 2012 15:17:30 -0400

Kamanda Suleiman alishaeleza vizuri, kwamba dhamana haikutolewa kwa kuwa polisi bado inachunguza, hivyo yeyote kati ya wote waliomo ndani anaweza kuingizwa kwenye makosa ya unyang'anyi wa kutumia silaha ambao hauna dhamana. Mchocheaji na mnyang'anyi wote ni kundi moja tu. Tunachotakiwa kufanya sisi ni kusubiri polisi ikamilishe upelelezi. Zaidi ya hapo basi ama hatujui tusemalo au ni ushabiki, siasa au hata udini.
Matinyi.

T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
Date: Fri, Oct 26, 2012 2:03 pm

Azaveli,

Hivi sisi hapa tunaweza kushawishi mahakama akapata dhamana hata kama hoja zetu ni sahihi? Ninachokiona ni kwa Prof lipumba kutaka ku-influence mahakama kufanya maamuzi ya kukidhi matakwa yake ya kisiasa. Anaingilia uhuru wa mahakama. Polisi hawana say baada ya kufikisha kesi mahakamani; ni DPP na Mahakama ndio alfa na omega kwenye hili!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

-----Original Message-----
From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 26 Oct 2012 17:57:52
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo

Ndugu zangu wote,
Polisi wenyewe walisema kuwa Sheikh Ponda anatuhumiwa makosa kuhusu mgogoro wa kiwanja kilichokuwa kinamilikiwa na Bakwata  halafu kikaunzwa na viongozi wa sasa wa Bakwata. Pia nadhani uchechozi ulihusiana na swali ilo na swala la  kuzingira  jengo la Wizara ya Mambo ya Ndani kuhusiana na swala la sensa. Polisi wenyewe uchochezi walisema aliomtuhumu  Sheikh Ponda  kuhusika nao si ule wa matukio ya kuchoma makanisa Mbagala.  Kwa hiyo, ni vizuri polisi na mahakama zetu zionekane kumtendea haki hata huyo ambaye anatuhumiwa makosa ya aina yoyote ile hata kama makosa yenyewe yalitutia uchungu na hasira kiasi gani. Dhamana kwa mtuhumiwa wa makosa yasiyohusiana  na kutuhumiwa kuua kwa makusudi ni haki ya mwananchi yoyote.

Hata marehemu Ditopile alipotuhumiwa kuua bila kukusidia yule dereva wa daladala alipewa dhamana. Hivyo hivyo Mh Chenge alipotuhumiwa kuua bila kukusudia dada fulani waliokuwakwenye bajaji. Sheikh Ponda,  kama hatuhumiwi kuua kwa kukusudia, basi apewe apewe haki  ya kuomba dhamana kama atatimiza masharti ya dhamana. Haki hipatikani penye jazba na kuhukumiana nje ya mahakama. Nakubaliana na mwanangu Nevvile Meena tuwe wangalifu jamani kuhusu haya mambo yanayohusisha imani za watu.  Sioni tatizo katika kuwaimiza wahusika serikalini kumtendea haki huyo mtuhumiwa Sheikh Ponda. Wapo Waislamu wengi tu wanaompenda kama mtetezi wa maslahi ya Waislamu na hawa tuwaoneshe kuwa Sheikh Ponda atatendewa haki kama mwananchi yeyote  na ugomvi wake na viongozi wa Bakwata hautatumiwa kumtendea tofauti na wanavyotendewa wananchi wengine, ikiwa ni pamoja na watuhumiwa wa ufisadi na kuingia mikataba ya kunyonga maisha ya Watanzania.  Mimi kusema hivi hainifanyi kuwa Muislamu, wa siasa baridi au siasa kali,   wala  hainifanyi kuwa mwanasiasa anayetafuta kujipendekeza kwa Waislamu. Mwaka 2009 katika kuelekea  Uchanguzi wa 2010 Sheikh Ponda alikuwa ndiye huyu huyu  aliyetangaza Mwongozo wa  Sura ya Maimamu ulioelekeza Waislamu wamchangue mgombea wa Kiislamu aliyekuwa na nafasi ya kushinda, yaani mgombea wa CCM badala wa yule wa CUF. Wakati huo  serikali ya CCM sikuisikia ikitafuta kumkamata Sheikh Ponda kwa uchochezi!!!  Leo serikali ya CCM hisije kutengeza chuki  za wafuasi wa Sheikh Ponda kwa kujifanya kinafiki eti inachukia hao wanaoitwa sasa eti Waisalamu wenye siasa kali.  

Matukio ya kuchoma  makanisa Mbangala na kwingineko  ni vizuri kusichanganywe  kiulaini na mitafaruki ndani ya uongozi wa Waislamu.  Na matukio  ya Mbangala tutafute kuyatatua kwa umakini mkubwa tukizingatia kuwa  JAMBO LA MSINGI ni  kwa asisi zetu za malezi ya watoto   kutekeleza wajibu husika  kikamilifu wa kuwalea watoto wetu wote kuheshimu dini za wengine na kamwe kutofanya kejeli au mzaha juu ya dini ya mtu yeyeote.  Tuachie mahakama itueleze kama tuhuma dhidi  ya  Sheikh Ponda zinampa haki ya kupewa dhamana au la, na  baadaye  tuelezwe kama tuhuma hizo  ni za  kweli au la. Tumwache Prof Lipumba atoe maoni yake bila kumpachika majina yasiyolenga kujenga dhana ya kupinga au kukubaliana na hoja  kwa hoja badala ya kuangalia mtoa hoja anatoka chama gani.
Mwl. Lwaitama  

Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
From: nevilletz@gmail.com
Date: Fri, 26 Oct 2012 17:06:14 +0000

Sasa jama mnapambana tena hapa?
Basi tuseme hivi, tusubiri hoja za mawakili ziamliwe na mahakama maana kesi yenyewe haiko mbali.

Pili hoja ya Lipumba kwamba Ponda anadhaminika iko valid but kosa lake ni kusema kwamba Ponda hahusiki na kuchoma makanisa. Kwamba kauli hiyo inajaribu kuingilia uhuru wa mahakama kwani inazungumzia mashtaka.

Anapaswa kusubiri pia kwamba mahakama iseme iwapo wana kesi ya kujibu au la.. Hili la mfumo wa ukristo au uislamu halipo maana hapa jukwaani tukienda uko basi itakuwa taabu tena.

Turejee kauli ya Mohamed Mtoi kuhus orodha ya maadui wa uislamu. Tuvumiliane, tuheshimiane na tusikilizane. Idd Mubaraka!

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 26 Oct 2012 09:44:52 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo

Godfrey,
Akili unayo wewe na wenye mawazo ya kibaguzi,chuki na roho mbaya kama wewe.
Ponda apewe dhamana kisha ninyi na hao maaskofu wenu mwende mtoe ushahidi mahakamani akafungwe hata miaka 100 kwani tabu ni nini?
Kwani hili nalo ni fumbo la imani mpaka lishindwe kueleweka.
SUALA NI KUPEWA DHAMANA BASI HIYO KUKOSA NI KAZI YA MAHAKAMA SI WEWE WALA MAASKOFU WAKO WENYE HAKI HIYO.
Mkoje ninyi viumbe.

Walewale.

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, October 26, 2012 7:28 PM
Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo

Bwana Chamani,nafikiri kama wewe huna huo upofu wa kidini,ungepingana kwanza na lipumba..Lipumba katamka nini kuhusu uchomaji makanisa bara na visiwani?ametamka nini kuhusu vurugu hiz za kidini za hapa na pale?Sheik Ponda anashikiliwa na polisi kwa makosa ya uchochez na uvunjifu wa amani.Mwenye uwezo wa kumwachia ni sheria za nchi.Tanzania sio dola ya kiislam na haitakuwa hivyo.Inaongozwa na sheria zake.Lipumba ni nani kuiamuru serikali?kwa ninavyomfahamu,ni mwanasiasa mufilisi aliyeamua kuegemea kuti la kidini kujiweka kwenye chati.amekwisha.Last time alitamka eti serikali iwasikize waislam kwenye madai yao ya katiba,yake 30.Ana akili kweli huyo?Ngupula

------------------------------
On Fri, Oct 26, 2012 7:16 PM EEST amour chamani wrote:

>Tony,
>Punguza upofu unaotokana na Mfumo Kristo.
>
>
>
>
>Walewale.
>
>
>
>
>
>________________________________
> From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Friday, October 26, 2012 5:57 PM
>Subject: Re: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
>
>
>Magiri,
>
>Rejea hotuba ya Prof lipumba hususani ya katibu msaidizi wa CUF pale  jangwani utaelewa anachojaribu kukisema! Wanasiasa wa aina hii ni hatari sana; wapo tayari kutumia dini kupata kura zao na kuisambaratisha nchi!
>
>Tuwaogope kama ukoma!
>Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>________________________________
>
>From:  Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>Date: Fri, 26 Oct 2012 15:43:32 +0100
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
>Subject: [wanabidii] Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo
>Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na
>utaratibu.
>Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa
>makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu
>zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru
>nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam
>aachiliwe huru.
>http://wotepamoja.com/archives/9734#.UIqheGLFIxg.gmail  --
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>
>--

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment