Wednesday 17 October 2012

Re: [wanabidii] Picha & Maelezo; Kiongozi Wa UAMSHO Sheikh Farid Atiwa Mbaroni Zanzibar - Mwanzo

Inakuwaje waandamane na kumtafuta polisi kama alipanda gari analolijua
yeye kwa hiari yake mwenyewe bila kushurutishwa? Pengine habari
haijakamilika tunaomba mwenye taarifa zaidi atujuze

2012/10/17 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>:
> Kwa mujibu wa Katibu wake, Abdallah Said Ally, amesema alikuwa na dereva
> wake maeneo ya Michenzani akitokea nyumbani kwake Mbuyuni, ndipo akakutana
> na gari moja ambalo dereva halifahamu na akashuka mwenyewe kwenye gari lake
> na kuingia katika hilo gari na kuanzia hapo hadi sasa hajulikani alipo.
> Katibu huyo wa Uamsho na wenzake wamekuwa katika juhudi za kutuliza jazba za
> wafuasi wao na sasa wanawasiliana na polisi kujua alipo kiongozi wao.
>
>
> http://wotepamoja.com/archives/9011#.UH7A5QwakJU.gmail
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment