Friday 26 October 2012

Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA

sikiamini hiki chanzo cha habari. na kwa jinsi polisi wa tanzania na waandishi wa habari wa bongo walivyo na ushabiki ktk masuala ya dini na siasa hii ingekuwa habari kubwa in front page.
 
sishabikii hawa wahuni wanaojivika jina la uislamu kuchoma moto au kuharibu makanisa kwa sababu aliyefanya kosa hajatumwa na kanisa lolote. ELIMU INAHITAJIKA SANA. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
--- On Fri, 10/26/12, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, October 26, 2012, 1:26 AM

Wasiokuwa na dini pia nao wanaongezeka duniani, waislamu wa siasa kali pia na wakristu wa makanisa ya kilokole-manabii na mitume wanajaa makanisa makubwa sana hakuna kuonana mpaka kuwe na video system ndio umuone Nabii akihubiri. Labda huyu kijana ni muislamu jina sio kwa imani ya dini-mbona hawajamchinja hapo hapo kama walivyotaka kwa yule wa mbagala?
 
Ulaya baadhi ya makanisa yamefungwa yamekuwa sehemu ya makumbusho au ya kuuza compyuta. Wahubiri wengi ulaya wanatoka africa ambapo ukristu bado una nguvu sana kama Roma. mabadiliko ya imani za dini kwenda juu sana positive (fundamentalism)  na chini sana negative na msahafu (na ushoga na ndoa za jinsia moja kuhalalisha) au vitendo kuwepo na kufanywa hata na waswalihina wa dini zote) huleta migogoro katika jamii. Tuangalie kiwango cha uhuru uutakao usifuve mipaka kuathiri haki za binadamu wingine na maisha yao ya amani. Huyo aliyekojolea msahafu na kumvika mbwa tasbihi achunguzwe labda ni dalili ya kichaa. Kwa vile ni wa dini hiyo hiyo hawawezi kuchoma nyumba wala misikiti. lakini mbwa kwa wenzetu wengine ni kama binadamu, analelewa na kuwa na chumba na kitanda chache na anakuwa mrithi wa mali za mamilioni kumpita mwafrika wa bongo na $ yake 1 kwa siku. Tumpate nani aweze kuongea na ndugu zetu na kuweza kuwafanya waelewe essence ya matatizo yao sio ukristu na kuwa polisi hawezi kuvua viatu (hata Suleiman Kova mwislamu) anapokuwa kazini na kutaka kukamata watu wenye silaha ambao wapo msikitini au wamekimbilia huko huenda wana silaka kama wale wa kanisa la Efatha mwenge na silaha kanisani? mbwa nayo lazima itaingizwa huko kukamata wenye vurugu na askari aliyefanya hivyo ni mwiislamu hapo ukistu unakuwa umeingiaje? Uzuri wenyewe watu wa dini fulani wanapoanzisha vurugu waumiao ni watu wa dini zote hata wa kwao-biashara wanafunga, nao wanaibiwa na kufa, watoto wao shule wanaathirika kufika home usiku etc. Bado tu haisaidii kufahamu ubaya hata kwa kuangalia yanayotokea nchi jirani. Inakosesha raha kufahamu watu wanataka nini hasa. Sasa kupigana Arusha kwa mabomu na kutekana nyara watu wa dini moja kulikoni? Rabi tuonee huruma.

--- On Fri, 26/10/12, Nickson ngajilo <nngajilo@yahoo.com> wrote:

From: Nickson ngajilo <nngajilo@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 26 October, 2012, 7:14

sasa jamani,mambo hayo,Waisalamu wenye siasa kali chomeni misikiti  basi.

--- On Thu, 10/25/12, frank John <msike24@hotmail.com> wrote:

From: frank John <msike24@hotmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA
To: "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, October 25, 2012, 11:43 PM

Maisha magumu mno! Watu wamepinda na wanatuletea vioja!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

-----Original Message-----
From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
Date: Fri, 26 Oct 2012 06:40:45
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI
HUKO PEMBA

Mtume !!! Vya kushangaza !!

Courage

On 10/26/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
> wakati sakata la kijana wa Mbagala kukojolea kitabu kitakatifu likiwa
> bado bichi mahakamani.
> Huko Pemba maeneo ya Chakechake kijiji cha Wawi mwislamu amekashifu kitabu
> hicho kwa kukikojolea  kumvisha mbwa tasibii na kumlazimisha mama yake
> kumpakata mbwa huyo.
>
> Mtu huyo mwanamme baada ya kutenda tukio hilo kajipeleka mwenyewe kwa
> shehe na kumtaarifu kuhusu hilo
> Tayari kijana huyo amekwishafikishwa kwenye vyombo vya sheria ili
> sheria ichukue mkondo.
> Tofauti na mbagala hapakuwepo na maandamano wala uharibifu wa mali za
> kanisa au msikiti wowote.
>
> Jamani sasa dunia sijui inakoelekea ni wapi, inabidi tuiombee nchi
> yetu na kuiepusha na mabalaa haya.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com <http://www.mwanabidii.com>
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com <http://www.kazibongo.blogspot.com>
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com <http://www.patahabari.blogspot.com>

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment