Dear Bw. Mbuba,
Kaka ni kweli. Jamaa alikuwa kalewa chakari!
Soma msg ya hapa chini niliyoipokea sasa hivi.
...bin Issa.
----- Forwarded Message -----
To: "saidissa100@yahoo.com" <saidissa100@yahoo.com>
Sent: Friday, October 26, 2012 10:50:53 AM
Subject: Fw: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA
To: "saidissa100@yahoo.com" <saidissa100@yahoo.com>
Sent: Friday, October 26, 2012 10:50:53 AM
Subject: Fw: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA
Wlkm Slm.
Ni kweli hili tukio la mlevi kukojolea mas'hafu. Baada yakupokea hii email yako nimewapigia simu Pemba kuthibitisha. Kweli amepandishwa mahakamani lakini hapakua nafujo kwani suala hilo lilikua halihusiani naupinzani wakidini bali lilikua nimlevi na hapakua nauharibifu wowote wamali wala uvunjifu wa amani.
Asante, nakutakieni nyote Eid Mubarak!
Sent from my BlackBerry® smartphone powered by Mobilicity
From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, October 26, 2012 11:30:11 AM
Subject: Re: [wanabidii] MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA
Habari hii haiwezi kuwa ya Kweli! --- On Thu, 10/25/12, nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment